Unamchukia kwa sababu zako binafsi.otherwise shaka yupo vizuri sana.Namchukia sana shaka, huwa anajifanya anajua kukandia africa utadhani yeye ni mzungu. Kipindi kile anamshabikia nyeupe eti ashinde yaani huyu shaka bora afukuzwe tu us, na akirudi kwa m7 amuweke kolokoloni maisha yake yote
Siyo lazima uchangie kila thread, ukiona huielewi basi haikuhusu. Hapa tupo watu wengi wenye interest mbali mbali. Habari ikigusa angle yako utaielewa tu.Sio lazima kila mtu aanzishe thread....
TrueHovyoo! Ilikuwa hakuna haja ya kukileta hadharani. Hopeless!
Inawezekana wewe ndie hopeless...kwani taarifa kwamba matangazo yamesimamishwa ghafla ulitaka iwe supplimented na nini zaidi ndio nyie mnakomaa haina nyama,haina nyama kwani huu mnofu wa nguruwe ebooh! walioelewa wameelewa nenda kaulize kwenye tweeter ya Shaka nini kilitokea unaniuliza mie ambae pia najiuliza hopeless kabisa!
Na wewe Kama Unajua si utudadavulie?!!!Acha upumbavu..hii ni public forum...andika walau nyie experts na sisi ma-laymen tuelewe..
Ulivyo mshamba unakuja na denoted language as if kila mtu anaijua,tunavyoomba walau uturahisishie unajibu utumbo kama ****...
Binafsi najua,ila ambao hawajui wakisoma ulichoandika trust me no one will understand...for the benefit of the public walau ungetoa paragraph iliyoshiba kuelezea kisa...
Mngetumiana basi inboxes humo hamna haja ya kuja public kama ni hivyo...shule umefundishwa vizuri kabisa public communication ila hapa unaleta matusi na lugha ya kejeli wakati watu wanakuuliza legitimate questions
Unaleta tabia za CCM kwenye maswala ya kimataifa.Namchukia sana shaka, huwa anajifanya anajua kukandia africa utadhani yeye ni mzungu. Kipindi kile anamshabikia nyeupe eti ashinde yaani huyu shaka bora afukuzwe tu us, na akirudi kwa m7 amuweke kolokoloni maisha yake yote
Wazungu kupitia vyombo vyao vya habari wameleta madhara makubwa sana africa, leo unawatetea. UlaaniweUnaleta tabia za CCM kwenye maswala ya kimataifa.
Taarifa hii imfikie Kajubi Mukajanga na Kijo Bisimba na hii pia wapeleke mahakamanini baada ya source wake pale studio kuzungumzia masuala ya US ghafla jamaa mmoja akakimbia kumvua kinasa sauti na pakasalia idle,let's watch what comes next week!
hahaha na mwendo wa mwendokasi.Thread ya mwendokasi,uchangiaji wa mwendokasi.
Mbona mapovu mkuuInawezekana wewe ndie hopeless...kwani taarifa kwamba matangazo yamesimamishwa ghafla ulitaka iwe supplimented na nini zaidi ndio nyie mnakomaa haina nyama,haina nyama kwani huu mnofu wa nguruwe ebooh! walioelewa wameelewa nenda kaulize kwenye tweeter ya Shaka nini kilitokea unaniuliza mie ambae pia najiuliza hopeless kabisa!
Shaka sali nae asitaafu sasa,tangu niko la tano hadi leo yumo tu
Shaka sali nae asitaafu sasa,tangu niko la tano hadi leo yumo tu