Mzee Shakka leo katolewa fasta hewani

Mzee Shakka leo katolewa fasta hewani

ni baada ya source wake pale studio kuzungumzia masuala ya US ghafla jamaa mmoja akakimbia kumvua kinasa sauti na pakasalia idle,let's watch what comes next week!
....yani umeshindwa kutuambia mada ilikuwa inahusu nini,na huyo 'source' alizungumziaje hayo masuala ya US ili na sie tupate picha;
.....unaweka kidhungu koko tukuone umeelewa kipindi wakati uzi mzima umedhihirisha hukuelewa kitu ndo mana unarukaruka tu!
 
Wanaochangia kwa Kua wanaielewa Hii thread wote ni wapuuzi.
Nyie ni wapuuzi na ni wabinafsi.

Haiwezekani kuna watu hatujaelewa na tunauliza kuelewa nyie mnaendelea kutupuuzia.
Sasa unataka ueleweshwe nini na snapshot ya tweet tumeweka hapo ku suppliment maelezo unataka maelezo zaidi,yapi?
 
....yani umeshindwa kutuambia mada ilikuwa inahusu nini,na huyo 'source' alizungumziaje hayo masuala ya US ili na sie tupate picha;
.....unaweka kidhungu koko tukuone umeelewa kipindi wakati uzi mzima umedhihirisha hukuelewa kitu ndo mana unarukaruka tu!
lengo la uzi halikuwa kukueleza yaliyokuwa yakizungumziwa,lengo lilikuwa kukueleza kwamba kipindi kilisitishwa ghafla na nimekuwekea alichotweet shaka,sikuleta uzi kukueleza content bali kilichojiri,hayo ya kizungu koko unayaelewa wewe sikai hata siku nikajisifu kwa kiingereza ni ushamba! kwa hiyo kama nilielewa au sikuelewa haina haja ufahamu!
 
.....kwahiyo ulitegemea uwaambie watu kilichojiri tu wasiulize sababu?.,na kimsini 'sababu' umetoa ila inaelea na haina muunganiko ndo mana wengi hatujaelewa;
...wakati ujao,jipange!
 
Hizi thread zingine ni za kupigwa ban hazieleweki.
ha ha ha,mkuu shaka sali ni mtangazaji wa voice of america,
sina uhakika na uraia wake ila ni muafrika,anatangaza kipindi cha straight talk Africa
 
Mi nikajua n Mawingu Tv tu na Kafulila ndo wanaweza fanyiana hivyo kumbe hata baba wa demokrasia......???? No wonder watoto wa demokrasia wanarithi tabia ya baba yao taaratiibuuu.......
Demoghasia, vyama vingi, soko huria, haki za binadamu na mambo mengine kama hayo ni sanaa tu za maigizo tulizoletewa sisi vichwa maji tuyaigize tu. Wenyewe hata hawajawahi hata kuzicheza movie hizi.
 
wengine ni wanasikolojia hapa,
andiko lako tu linaonyesha uko kidato cha pili,shule za kata

Invisible ana signature yake naipenda sana.
Umefanikiwa kuficha upumbavu wako!
Umeweza kwa usahihi kabisa kujua nasoma sekondari!
 
Jamani, tuliani mnieleze a to z, neno US lilitumbukizwa katika mada ipi?
 
lengo la uzi halikuwa kukueleza yaliyokuwa yakizungumziwa,lengo lilikuwa kukueleza kwamba kipindi kilisitishwa ghafla na nimekuwekea alichotweet shaka,sikuleta uzi kukueleza content bali kilichojiri,hayo ya kizungu koko unayaelewa wewe sikai hata siku nikajisifu kwa kiingereza ni ushamba! kwa hiyo kama nilielewa au sikuelewa haina haja ufahamu!
Tv gani Tbc1 au Star tv au Chanel ten?
 
Invisible ana signature yake naipenda sana.
Umefanikiwa kuficha upumbavu wako!
Umeweza kwa usahihi kabisa kujua nasoma sekondari!
ha ha ha,we jinga kweli,niufiche upumbavu wangu kwa kumhofia nani sasa?,
hujui kuwa upumbavu wa mungu unahekima kuliko mwanadamu?,
bogas kabisa
 
Back
Top Bottom