Mzee na Kijana kabisa wa JF

Shikamoo,

msalimie na bibi yetu.

Hawa ulowataja watakuwa vitukuu mie mjukuu.

Naona niweke mkongojo pembeni, natangaza ujana kwa kuingia MMU na love connect. Subirini akina King'asti, Preta watawapa feedback!
 
Katika wanawake mimi nakuja just after Mamndenyi (Sote tulizaliwa 1949 ila yeye mwezi wa tatu, mimi mwezi wa nane)
 
Last edited by a moderator:
wee babu huyu, ndevu zake zishakuwa kama unela.

Huwa mnaanza hivyohivyo...Kesho utasema mvi zake kama gold...Keshokutwa: Babu na wewe una utani khaa mi sipendi.

Mtondogoo sasa; Babu ukivaa saspenda unakuwa hendisam...Mchezo umekwisha.
 
Hebu soma hii PM
'' Kaka Nguluvi, what's up! ukiacha thoda unakunywa nini zaidi? Mi napenda wine, aftena napenda vi-top tank natupia na mkoba! Hobi yako ni nini kwa sanaaa! c ya mmmwwwa!''

Wewe, Kongosho na Katavi mnitue, tena mnikome! khaa! eti mkongojo, si kuchuliana huku, tafazalini.
Ngoja nijibu PM

Tayari wameshanasa....Si unaona chitchat patamu wewe unakesha jukwaa la siasa kila wakati na ma-stress juu, utakosa vitu vizuri hivi...

Mimi huwa nachungulia narudi.....Mwambie na mzee mwenzako Mkandara aje
 
Last edited by a moderator:
hongera kama umepata hii PM, angalia wasile mafao yako ya uzeeni.

Ukiona vipi, kimbia sana.

Hebu soma hii PM
'' Kaka Nguluvi, what's up! ukiacha thoda unakunywa nini zaidi? Mi napenda wine, aftena napenda vi-top tank natupia na mkoba! Hobi yako ni nini kwa sanaaa! c ya mmmwwwa!''

Wewe, Kongosho na Katavi mnitue, tena mnikome! khaa! eti mkongojo, si kuchuliana huku, tafazalini.
Ngoja nijibu PM
 
ila huyu ni sawa na kula pensheni ya Mzee wa East Africa, zambi ivyoo.

Huwa mnaanza hivyohivyo...Kesho utasema mvi zake kama gold...Keshokutwa: Babu na wewe una utani khaa mi sipendi.

Mtondogoo sasa; Babu ukivaa saspenda unakuwa hendisam...Mchezo umekwisha.
 
hongera kama umepata hii PM, angalia wasile mafao yako ya uzeeni.
Ukiona vipi, kimbia sana.
In Box inajaa kwa PM!
Hivi kwanini mumeng'ang'ania neno uzee, kama vipi si bora mniite dingi! neno uzee linatibua nzi jamani! Tena sasa nitaweka signature ' Nguruvi Bwanga la Tanga'
 
Da mkuu wewe una ujamaa na kina Bwanga?
 
au uwe Nguruvi 'The Super Old Red Wine'

au 'Brazamen wa Zamani'

In Box inajaa kwa PM!
Hivi kwanini mumeng'ang'ania neno uzee, kama vipi si bora mniite dingi! neno uzee linatibua nzi jamani! Tena sasa nitaweka signature ' Nguruvi Bwanga la Tanga'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom