Mzee na Kijana kabisa wa JF

Mzee na Kijana kabisa wa JF

kweli mie bado miaka miezi tu nifikishe 60... mtoto wangu wa mwisho ana 14 ila yupo hapa JF.
 
Mie kuanmtu anaitwa Nguruvi3, ndo huwa namuona na mkongojo kabisa
Sijui hata kwa nini?

Watoto wajo wengi tu, wengine wana miaka 4
Kongosho 62, Nguruvi3 hata mimi nakuunga mkono, @ mwali 19, @ preta 42 (ingawa anajiona kigori), charminglady 22 (bado kibichi kabisa), EMT 18 (nafikiri atakuwa amemaliza form 6 mwaka jana), sweetlady 42 (ngoma droo na preta)............. Invisible 6o, Paw 23.......Huwa sikosei kwenye kubahatisha wananiita "ngekewa" Niulizeni
 
Last edited by a moderator:
Hapa jamvini kwa utafiti wangu naona kuwa Mzee Mwanakijiji ndio member mzee kuliko wote hapa Jf (60 or above)

Na Temu ndio mdogo kuliko members wote (15 or below)...................................na nyinyi mnasemaje???

sio avatar, ni kutokana na threads za mhusika, kwa mfano Temu huwa anapenda sana kusifia Icecream za Bakharesa...

you have too much free time in your hands -.-
 
afadhali mtuambie mapema tusije bambikiziwa kesi za kubaka.
Wengine humu wana sifa za Lulu, hawajulikani ni wakubwa au wadogo. Hapa inabidi mtu kufanya utafiti mwenyewe hasa anapo comment. Mia
 
Loya Klorokwini ana jiwe 63 Keshi..(Source: cheti chake cha kuzaliwa)
 
Mie kuanmtu anaitwa Nguruvi3, ndo huwa namuona na mkongojo kabisa
Sijui hata kwa nini?Watoto wajo wengi tu, wengine wana miaka 4
Naona niweke mkongojo pembeni, natangaza ujana kwa kuingia MMU na love connect. Subirini akina King'asti, Preta watawapa feedback!
 
Back
Top Bottom