Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
haya basi, endelea kubaki hivyo hivyoahahahaa wacha nibaji na chaka langu ila hbr ndo hiyo! LOL
haya basi, endelea kubaki hivyo hivyoahahahaa wacha nibaji na chaka langu ila hbr ndo hiyo! LOL
mmmh, kile kifua cha 1949 kweli? Mbona kama cha 1996?
Ha ha ha haaaah!! Haya Babu....ooohh shiiiiit sorry ulimi umeteleza...........kijana Nguruvi3, nimekubali wewe kijana.Hebu soma hii PM
'' Kaka Nguluvi, what's up! ukiacha thoda unakunywa nini zaidi? Mi napenda wine, aftena napenda vi-top tank natupia na mkoba! Hobi yako ni nini kwa sanaaa! c ya mmmwwwa!''
Wewe, Kongosho na Katavi mnitue, tena mnikome! khaa! eti mkongojo, si kuchuliana huku, tafazalini.
Ngoja nijibu PM
Yep! kuna utamu wake! kule ntakuwa nachungulia. Nitafikisha salam kwa mkuu.Tayari wameshanasa....Si unaona chitchat patamu wewe unakesha jukwaa la siasa kila wakati na ma-stress juu, utakosa vitu vizuri hivi...Mimi huwa nachungulia narudi.....Mwambie na mzee mwenzako Mkandara aje
Nop! neno old au zamani yasitumike!au uwe Nguruvi 'The Super Old Red Wine'
au 'Brazamen wa Zamani'
Yep! kuna utamu wake! kule ntakuwa nachungulia. Nitafikisha salam kwa mkuu.
Wasalimie DA, AD, Amyner, Roullete,Fix point, Nyumba kubwa,FirstLady, WOS,Cheusi mangala(kapotea huyu) na Lizzy(kama hatanishukia na sentesi fupi)
Mtoto wa kitanga
Now you're talking! mwambie katavi na kongosho wasinipeperushie tetere wangu wanaokula mpunga wa PM!Sawasawa Checkbob...."
We konnie,nguruvi who?
Umehamia mtaa gani?
Njoo basi Bamboo leo, lunch time.
Jana mechi ya uholanzi niliiangalia bamboo,unamfahamu matemba?
Najua najua...Nilikuwa naogopa ningesema upo under 22 wabaya wetu humu ndani wangesema una umri wa Lulu...nikaamua kuwapoteza
...kumbe kweli...?nilidhani utakosea........
..hapa una kana umri...shemeji naomba usinizeeshe.....nina miaka 12....
..hapa naona giza sasa..siku zote mbn hukusema....?sijui kitu.....na MC tumeachana....mpaka nikue.....