ππππππ
Hii ajabu sana. Mfiwe nyie alafu nilie mimi π€£π€£π€£π€£
Huyo hatakuelewa!Acha shobo. Sijakukwoti wewe wala sina muda wa kujibishana na mtu mjinga ambaye hata haelewi taifa lake na vizazi vyake vinataka nini. Magufuli alikuwa na mapungufu yake lakini alikuwa mtu sahihi kwa taifa hili. Ila kwenu vyeti feki na mafisadi mauza unga hamtakaa mmsahau.
Haya sasa hayupo. Ni nini kilichobadilika? Tunaendelea au tunarudi nyuma? Miafrika mingine hopulesi kabisa. Hata kama unafaidika na mfumo wa Samia lakini you are selfish, myopic and just inhumane!
In maana huna hoja nyingine zaidi ya mimba? Mungu aliwapiga na kitu kizito sana nyie Sukuma gang. Moaka leo bado mko na maumivu. Poleni na msonge mbele. Ile ilikuwa laana kwa Taifa
Huyo jiwe wako alikuwa sahihi kwa watu kama wewe mliokuwa mnajiita wanyonge. Mimi sifaidiki na mfumo wa sa100 lakini mambo ya jiwe sikuwahi kuyakubali hata kidogo.Acha shobo. Sijakukwoti wewe wala sina muda wa kujibishana na mtu mjinga ambaye hata haelewi taifa lake na vizazi vyake vinataka nini. Magufuli alikuwa na mapungufu yake lakini alikuwa mtu sahihi kwa taifa hili. Ila kwenu vyeti feki na mafisadi mauza unga hamtakaa mmsahau.
Haya sasa hayupo. Ni nini kilichobadilika? Tunaendelea au tunarudi nyuma? Miafrika mingine hopulesi kabisa. Hata kama unafaidika na mfumo wa Samia lakini you are selfish, myopic and just inhumane!
Katika viapo vya kuwa mwana siasa mwiko mkubwa ni kutokuwa na aibu,kama unajijua una aibu fanya tu shughuli nyingine za kujiingizia kipato...Wakuu,
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri
Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
Mimi sina maumivu yoyote,hapa ni furaha tele baada ya Mungu kutushindia Watanzania. Je wewe una furaha au maumivu baada ya Mungu kutushindia?Pole kwa maumivu mkuu
Huyo jiwe wako alikuwa sahihi kwa watu kama wewe mliokuwa mnajiita wanyonge. Mimi sifaidiki na mfumo wa sa100 lakini mambo ya jiwe sikuwahi kuyakubali hata kidogo.
Mimi sina maumivu yoyote,hapa ni furaha tele baada ya Mungu kutushindia Watanzania. Je wewe una furaha au maumivu baada ya Mungu kutushindia?
Hata kama umefurahi hakuna haja ya kuropoka adharani, mchawi pekee ndiye anaweza kufurahi matatizo ya mwingine!!Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!
January ni katibu mkuu wa CCM baada ya mzee Nchimbi, itunze hiii
Laana wapi wewe acha hasira au kwa sababu alikuchapia dada yako.Chato kwa Jiwe π€£π€£π€£π€£π€£
Jiwe ilikuwa laana kwa Taifa lenu
Sasa mambo ya kuchapia dada yanatoka wapi? Au ulitaka akuchape wewe? Jiwe alikuwa laana hilo halina ubishi. Lakini yawezekana kwako alikuwa mkombozi wa unyonge wakoLaana wapi wewe acha hasira au kwa sababu alikuchapia dada yako.
Mwenye dada hakosi shemeji acha ubwege wewe.
Daaah!Alisema kwamba Watanzania wote sasa wanalamba asali. Na sijui anajisikiaje akiona watoto wa wenzake wanalamba asali wakati wa kwake katupwa nje. Wazuri kweli hawafi. Zee la hovyo sana na siku yeye na mshika rimoti wakifa watu watakesha baa.
πππππππππππ
Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN
1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar
Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE
1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga
2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze
Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda
1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu
2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro
Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini
Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar
2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar
3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar
4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar
Mkuu iko hivi, Nchi hii Vyeo salama zaidi ni vile ambayo uta serve bila pleasure ya aliyekuteua ambavyo ni Ubunge tu at least na CAG , The rest uko ukitibuana na aliyekuteua unakuwa Fired,Huijui CCM. Weka akiba ya maneno.
Usishangae ukasikia January anamrithi Nchimbi kwenye ukatibu mkuu
Awe katibu mkuu wa CCM anaeuza siri za nchi kwa Mange Kimambi, Thubutuuu labda sio bongo hii.January ni katibu mkuu wa CCM baada ya mzee Nchimbi, itunze hiii
Well said, umefikiri kama ninavyofikiri, nadhani Makamba watampa position kwenye chao CCM. Huwa hawatupani moja kwa moja hawa watu.January ni katibu mkuu wa CCM baada ya mzee Nchimbi, itunze hiii
Aliwahi kusema wazuri hawafi!!!Wakuu,
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri
Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.