Mzee Makamba Pole sana

Mzee Makamba Pole sana

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,191
Reaction score
8,394
Wakuu,

Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe

Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri

Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
 
Wazuri hawafi!!!
 
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya Sasa alambe asali Vizuri

Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
Tabia ya Chura Kiziwi haitofautiani sana na ya American tyrant Donald Trump. Wote wanathamini sana machawa na wana visasi vya kijinga sana!

Ingawa Makamba naye ni mtu wa ovyo, angeachwa akakabiliane na wapigakura wake. Chura Kiziwi is abusing her position!
 
Wakuu,

Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe

Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri

Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
Mze Makamba hafai, ni mnafiki mno. Yule anafaa kuimba taarab tu
 
Back
Top Bottom