Mzee Makamba anasema Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki ndani ya CCM kwakuwa wamekuwa wamekuwa wakipingana na Serikali hasa kwenye swla hili la chanjo.
Mzee Makamba anasema baadhi ya viongozi wa CCM wamekuwa wakimdharau sana Rais samia hivyo ametaka washughulikiwe mara moja.
Mzee Makamba anasema yeye si msemaji wa CCM lakini anashangaa ukimya wa baadhi ya Wana CCM na viongozi wa CCM hasa katika hali ya Rais kuonekana ana dharauliwa na baadhi ya wana CCM.
Mzee Makamba ametaka wana CCM kuwachukulia hatua Gwajima na Pole pole.. kwani hawavumiliki.
Chanzo: Magazeti
Huyu mzee atulie kwanza. asije akamharibia mwanae njia ya kwenda Ikulu.Mzee Makamba anasema Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki ndani ya CCM kwakuwa wamekuwa wamekuwa wakipingana na Serikali hasa kwenye swla hili la chanjo.
Mzee Makamba anasema baadhi ya viongozi wa CCM wamekuwa wakimdharau sana Rais samia hivyo ametaka washughulikiwe mara moja.
Mzee Makamba anasema yeye si msemaji wa CCM lakini anashangaa ukimya wa baadhi ya Wana CCM na viongozi wa CCM hasa katika hali ya Rais kuonekana ana dharauliwa na baadhi ya wana CCM.
Mzee Makamba ametaka wana CCM kuwachukulia hatua Gwajima na Pole pole.. kwani hawavumiliki.
Chanzo: Magazeti
Analipiza kisasi?Mzee Makamba anasema Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki ndani ya CCM kwakuwa wamekuwa wamekuwa wakipingana na Serikali hasa kwenye swla hili la chanjo.
Mzee Makamba anasema baadhi ya viongozi wa CCM wamekuwa wakimdharau sana Rais samia hivyo ametaka washughulikiwe mara moja.
Mzee Makamba anasema yeye si msemaji wa CCM lakini anashangaa ukimya wa baadhi ya Wana CCM na viongozi wa CCM hasa katika hali ya Rais kuonekana ana dharauliwa na baadhi ya wana CCM.
Mzee Makamba ametaka wana CCM kuwachukulia hatua Gwajima na Pole pole.. kwani hawavumiliki.
Chanzo: Magazeti
Hafi mtu hapa. Makamba for lifeWewe makamba unatafuta kutukanwa. Si unyamaze, usubiri kufa. Ulifanya yako ukamaliza sasa unakenua meno ya nini? Watu wasiseme? Imperial president unamtetea nini? asisemwe? Rubbish!
aiseeeeeeeeAlitakiwa aendelee kuiweka chini volume kama alivyofanya tulipokumbwa na tukio zito kama Taifa. Kwa sasa kuiweka volume juu ataleta rabsha zisizoza msingi. Asilazimishe watu waanze kumshuku isivyotakikana! Yangu ni hayo.
alikaa kimya kabisa hahaha sasa hivi kuna uhuru na yeye ana washangaa kutumia uhuru waoMzeer makamba aache unafiki, wakati jiwe anawashambulia wa vaaa barakoa na waliokua wanataka kuwepo chanjo,yeye alijitokeza kupigania alicho kiamini kuhusu corona?.
Ila sishangaiii, kamuambukiza hata mwanae tabia za kinafkii
Watauana😂😂😂😂 Wala haituhusu hata kama chimeumana:
View attachment 1899361
Yaache yarukaruke yakanyagane yatajiju.
at that age unachokisubiri ni kuitwa na Mungu.Hafi mtu hapa. Makamba for life
zee jinga hiloooooooooooooooooooooo lilikaa kimywa wakati wa Magu, leo linafugua domo kuzuia watu wasiseme wanayoona si mazuri.alikaa kimya kabisa hahaha sasa hivi kuna uhuru na yeye ana washangaa kutumia uhuru wao
Mzee Makamba pindi akiwa katibu mkuu CCM kwa kitendo cha yeye kuwa sehemu ya kuweka wagombea dhaifu wa CCM, ilipelekea kuonekana wana uwezo mdogo kwenye kipindi cha TV TBC1, mchakato majimboni; hii ilipelekea TIDO Mhando kifanyiwa zengwe na kibarua chake cha u-boss kuota magugu.Mzee Makamba anasema Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki ndani ya CCM kwakuwa wamekuwa wamekuwa wakipingana na Serikali hasa kwenye swla hili la chanjo.
Mzee Makamba anasema baadhi ya viongozi wa CCM wamekuwa wakimdharau sana Rais samia hivyo ametaka washughulikiwe mara moja.
Mzee Makamba anasema yeye si msemaji wa CCM lakini anashangaa ukimya wa baadhi ya Wana CCM na viongozi wa CCM hasa katika hali ya Rais kuonekana ana dharauliwa na baadhi ya wana CCM.
Mzee Makamba ametaka wana CCM kuwachukulia hatua Gwajima na Pole pole.. kwani hawavumiliki.
Chanzo: Magazeti
Kila nafsi itaonja umauti. Hii kauli ya kusema hafi mtu hapa ni ujingaHafi mtu hapa. Makamba for life
'Long term effects' zinatokana na kile kilichomo kwenye chanjo, sio 'speculations'. Wataalamu wamefanya 'sequencing' na kuthibitisha kwamba hakuna kilichomo kwenye chanjo kinachoweza kuwa na 'Long term effects'Wasilazimishe watu suala la chanjo..dharau inatoka wapi? Watu wana uhuru wa kutoa maoni. Wana haki ya kuchagua what's injected into their bodies. Pole Pole na Gwajima wametoa maoni and its constitutional. Hili suala linaweza kuiumiza sana ccm wasipokuwa makini.
Those of us who are not vaccinated are choosing to stay that way because we are allowed to make that choice for ourselves. My body, my choice, am tired with this bs on social media trolling us to get experimental vaccine that is not even approved.
What studies have been done showing the long term effects?? No one has even had the vaccine that long to conduct that type of study...
Touché. My same train of thought...iko too obvious.Anapiga kelele sababu anataka mwanae ateuliwe uwaziri, is it so hard to figure that out?
Kufanya kazi au kutofanya kazi ni hiari lakini kuwashawishi watu wasifanye kazi, ni kosa.Mimi ninachojua chanjo ni hiari. Anayetetea kuchanja ana haki sawa na anayekataza watu wasichanje.
Hivyo, wote wapo sawa, wote haki zao ni sawa.
Mmh. Labda ikulu ya Bumbuli....Huyu mzee atulie kwanza. asije akamharibia mwanae njia ya kwenda Ikulu.
Kipindi kile walipigwa pini kwa sababu hizi hizi na kutaka kujionesha yupo.
Makamba nae anafungua kinywa chake against hiyo miamba?Mzee Makamba anasema Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki ndani ya CCM kwakuwa wamekuwa wamekuwa wakipingana na Serikali hasa kwenye swla hili la chanjo.