Hebu pata picha,unaingia kwenye daladala..ile unaingia tu sura ya kwanza kuiona ni ya king majuto kakaa seat ya nyuma kabisaaaaa halafu anasmile au anaachia lile cheko lake
Duh mie nampenda sana huyu mzee ila roho iliniuma sana kuna siku alikuwa na salama kwenye kipindi cha mkasi akamuomba jk trekta duh nliskia huruma sana ina maana siku zote hizo anaigiza leo kawa wa kuomba wakati wengi wanasema sanaa inalipa au kuna nini nyuma ya pazia? Tanzania bado sana yaani mzee kama huyu na kipaji chote hicho anakufa maskini!!!!
Ndio hivyo tena....lakini na wao wamezidi hata hicho kidogo wanachokipta hawakithamini....badala yake wanakula ujana...
and your point is?
Kama unajua viwango vya comedy, huwezi kusema Majuto ni comedian mzuri.
Hata mimi ki ukweli sivutiwi nae hata kidogo...Hanichekeshi kabisaaa hata iweje zaidi zaidi ananiboa.
Kweli binaadamu tumetofautiana....mimi nimejitahidi kucheka nikiangalia komedi zake lakini wapi...yaani hata unywele haushtuki....lakini kingwendu ananivunja sana mbavu...
Kweli binaadamu tumetofautiana....mimi nimejitahidi kucheka nikiangalia komedi zake lakini wapi...yaani hata unywele haushtuki....lakini kingwendu ananivunja sana mbavu...
Yaani we ndo hujui comedy, kingwendu? Sasa yule analeta mambo ya uswahilini uzaramoni ndio comedy zile? Hapo umefail