Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,120
- 7,911
Mwenye picha za mzee majuto enzi za ujana naomba plz....
huyu jamaa ni marehemu?ooh.rip(RIP ayeya poa poa),
He is the best plus senga na pembe walau kwa bongo commedy hua wanaleta ladha sio akina futuhiMi ndo mchekeshaji na muigizaji pekee ninaye mkubali sana hapa bongo ,nikitaka kucheka sana naangaliaga chuchill show (RIP ayeya poa poa), akina JB waendelee tu kufuga matumbo na kumsupport mr F F F F F F F.
View attachment 499587View attachment 499588