Rais Dkt John Magufuli amtembelea Mzee King Majuto hospitalini kumjulia hali

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo amemtembelea muigizaji mkongwe wa filamu na maigizo nchini Tanzania, Mzee King Majuto hospitalini kumjulia hali.

km2.jpg
km1.jpg

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimjulia hali msanii mkongwe Amri Athumani maarufu kama King Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018
km3.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali msanii mkongwe King Amri Athumani maarufu kama Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018
km4.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali na kumtakia apone haraka msanii mkongwe Amri Athumani maarufu kama King Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018
km5.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli akimuaga baada ya kumjulia hali msanii mkongwe King Amri Athumani maarufu kama Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018.
 
Back
Top Bottom