JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,816
Historia inaonyesha ccm asili wana akili kubwa sana na mbinu za kupata wanachotaka.Tunataka uongozi wa chama na rais utenganishwe ili mwenyekiti wa chama amuwajibishe na ikibidi amvue uanachama SSH kwa kuonyesha udhaifu katika uongozi ili tupate rais mwingine strong kama magufuli.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hyo haipo ,na haitakuja kutokea boss!!! Mwenyekiti wa chama atakuwa na nguvu kuliko raisi....chama kikihtaji msaada na Raisi asifanye , mwenyekiti anamtupia lawama Kwa wajumbe ......
Raisi awe mwenyekiti tu, hakuna dikteta atakayetokea akaishi milele, ila mfumo wa kakikundi kumwendesha raisi kupitia mwenyekiti unaishi.CCM ni chama kikongwe, ni vyema kisijenge tabia ya kuishi kwa mazoea eti tu ni kwa sababu ya kudumisha fikra za waasisi wake. Ni lazima kiwe na uthubutu wa kufanya mabaliko na kuishinda dhana ya "fear of unknown" pale inapopasa kufanya hivyo...
Mkapa kupitia kikwete, Jk hakumtaka lowasa na Jk anahusika sana na uraisi wa Jpm unless una ubishi ule wa vijiweni tu.Hata asemeje, hakuna asiyejua kuwa yeye alikuwa team Membe na kila mtu anajua damu ni nzito kuliko maji! Aliyembeba Magufuli alikuwa ni Mkapa.
Jiwe hakustahili kuheshimiwa na kiumbe chochote kinachovuta pumziKama ni kweli basi mama hakuonesha adabu Kwa jiwe.
Tunataka uongozi wa chama na rais utenganishwe ili mwenyekiti wa chama amuwajibishe na ikibidi amvue uanachama SSH kwa kuonyesha udhaifu katika uongozi ili tupate rais mwingine strong kama magufuli.
Wakifanya hivyo CCM ndio utakuwa mwisho waoWanataka Mama asiwe Mwenykiti ili waweze mbana....
Akipewa Uenyekiti ataachana na ya hayati
Kuna kila sababu ccm kupiga kura kutenganisha urais na uwenyekiti.Juzi Mzee Msuya kalisemea hili jambo leo Kikwete naye kazungumza jambo hilo hilo, kuna nini kinafukuta huko ndani?
View attachment 1764497
HII NI HABARI MBAYA KWA WAFUASI WA MWENDAZAKEJuzi Mzee Msuya kalisemea hili jambo leo Kikwete naye kazungumza jambo hilo hilo, kuna nini kinafukuta huko ndani?
View attachment 1764497
KWANINI HIYO SABABU HAIKUJA WAKATI WA MWENDAZAKE?Kuna kila sababu ccm kupiga kura kutenganisha urais na uwenyekiti.
Hapa tulikofikia bado samia hatujamuona kama kamudu urais,sasa mnataka kumuongezea tena uwenyekiti wa Chama?HII NI HABARI MBAYA KWA WAFUASI WA MWENDAZAKE
Tunataka uongozi wa chama na rais utenganishwe ili mwenyekiti wa chama amuwajibishe na ikibidi amvue uanachama SSH kwa kuonyesha udhaifu katika uongozi ili tupate rais mwingine strong kama magufuli.
Ili ionekane kamudu urais ni mpaka aanze kuteka wapinzani na kuwaua? Naona bado mna hangover ya utawala wa dhalimu. Mtakula kwa jasho, yale mambo ya kupita bila kupingwa yamefikia mwisho.Hapa tulikofikia bado samia hatujamuona kama kamudu urais,sasa mnataka kumuongezea tena uwenyekiti wa Chama?
Mkuu mwenyekiti wa chama awe na nguvu kuliko rais? Sio kwa katiba hii, labda huyo rais awe dhaifu. Kwa taarifa yako hata vikao tu vya chama vinaweza kukaliwa kwa ruhusa ya rais pekee, na akapanga nini kijadiliwe, na kitendo cha kwenda kinyume na maagizo yake kikao kikapigwa mabomu. Kinachoibeba ccm ni cheo cha urais kupewa mwenyekiti wa ccm. Ili ccm ibaki hai au ipotee ni hapo kwenye kofia ya urais na uenyekiti.Hyo haipo ,na haitakuja kutokea boss!!! Mwenyekiti wa chama atakuwa na nguvu kuliko raisi....chama kikihtaji msaada na Raisi asifanye, mwenyekiti anamtupia lawama Kwa wajumbe.