Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,047
- 20,411
BINTI kwa sasa anawaza mtu "atakayemtakasa" maana hakuzoea misolopa.Apumzike kwa amani, naona binti kapata mtaji.
BINTI kwa sasa anawaza mtu "atakayemtakasa" maana hakuzoea misolopa.Apumzike kwa amani, naona binti kapata mtaji.
No hakuna utabiri, the age can dictate the longevity of somebody1We we mtabiri ? Kafa sasa kweli
why?Mkuu tunaanza kukuchunguza
masikini poleni sana!Mzee wa watu amekufa kwa pressure. Imetangazwa Leo.
hakuna ccha kalimanzira, these are natural events dictated by science.....the age of someone under normal circumstances can predict the remaining days....We mzee Kalumanzira hatari sana.
Amekufa sasa
RIP DR Ng'wandu!
Kwa hiyo ana PhD ya nini?na Sheria alisomea Open University
Misolopa ndo nini?BINTI kwa sasa anawaza mtu "atakayemtakasa" maana hakuzoea misolopa.
mzee masikini amekufa. Kama alijikunja ili kitoke kwa nguvu matokeo ndiyo hayo! Anyway, nwapa pole wafiwa. Umri ule kuna vitu tuviache jamani!Kwa hiyo ana PhD ya nini?
Acha uhuni wewe,umpe Pole au umtongoze na kumrithi huyu mjane?!!!Nani ana namba ya huyu demu nimpe pole?
how old was he?.... kuna mahali waliandika nimesahauView attachment 1634263
My take; Vijana tafuteni pesa kwa nguvu zote, ukishakuwa na fedha, Uzee unaisha, watoto wa mjini wanasema "Uzee mwisho Chalinze". Sasa wewe endelea kutafuta Six pack,utaishia kuwaita watoto wazuri Shemeji.
vyoteAcha uhuni wewe,umpe Pole au umtongoze na kumrithi huyu mjane?!!!
Ameshafariki....Huyu mzee anatafuta kufa mapema kwa STRESS kabla ya muda wake tu, Demu atapoanza kumuingizia wanaume wengine ndani yeye akiwa kasinzia ndio atajifunza the HARD WAY
79 going to 80how old was he?.... kuna mahali waliandika nimesahau
Angekuwa anatafuta joto kwa mikataba mifupi mifupiMzee anataka joto kutoka kwa huyo binti.
this is old age in the real sense of the word!! all in all tunawapa pole wafiwa79 going to 80
dicksonMisolopa ndo nini?
zina gharama yake hasa kwa mcha Mungu ni dhambi,Angekuwa anatafuta joto kwa mikataba mifupi mifupi
Mmhhhdickson
YamewadiaHuyu mzee anatafuta kufa mapema kwa STRESS kabla ya muda wake tu, Demu atapoanza kumuingizia wanaume wengine ndani yeye akiwa kasinzia ndio atajifunza the HARD WAY