Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
9,952
2,000
IMG-20201124-WA0013.jpgMy take; Vijana tafuteni pesa kwa nguvu zote, ukishakuwa na fedha, Uzee unaisha, watoto wa mjini wanasema "Uzee mwisho Chalinze". Sasa wewe endelea kutafuta Six pack,utaishia kuwaita watoto wazuri Shemeji.
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,181
2,000
View attachment 1634263


My take;Vijana tafuteni pesa kwa nguvu zote,ukishakuwa na fedha,Uzee inaisha,watoto wa mjini wanasema "Uzee mwisho Chalinze".Sasa wewe endelea kutafuta Six pack,utaishia kuwaita watoto wazuri Shemeji.
Binti anatafuta matunzo, kurithi, hakuna love hapo, pumbavu wote kabisa. Jizee lmebakiza siku ngapi kufa? Linaoa ili iweje?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom