PATIE DE CHRISS
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 465
- 246
Basi nenda kamchukue akae na bibi au dada ako au ndgu unayemuamini kuwa atamjali nakumpenda mwanaoAna mwaka mmoja

Habarini;
Nina tatizo moja kuna mdada nilizaa nae mtoto mmoja wa kiume kutokana na maisha nilimpangia pa kuishi na nikaa namhudumia mpaka sasa. Cha ajabu ukimpa pesa ya matumizi mfano elfu hamsini haipiti siku tatu imeisha, nikimwambia huanza kunitukana matusi na kudharau kazi yangu inayomtunza.
Siku hizi amemwita ndugu yake wa kike mmoja anakaa nae hapo nilipompangia, wana umri sawa ni matusi kila mda na amesema mtoto si wangu nisimjue na kule nisikanyage na wala nisimpigie simu na hahitaji chochote kutoka kwangu.
SASA TATIZO; niliwahi kumsitishia huduma kutokana na tabia zake za kunitukana na kusema nisimjue mtoto na nyinginezo, lakini cha ajabu akaja ofisini mpaka kwa bosi wangu eti mimi simtunzi tangu mimba jambo ambalo ni uongo, alishawawahi kwenda mpaka ustawi wa jamii nikiitwa yeye anatokomea mitini, yaani imekuwa ni usumbufu.
JE NIFANYEJE MAANA NIMESHAMCHOKA SANA!
Mchango wenu tafadhali.
Wewe unatumia kinga kila ukikutana na mtu kingono?hivi kwanini unagegedana na mwanamke bila kinga ?
Rudi huko ustawi wa jamii, watatoa watakushauri cha kufanya, pamoja na kumwita na kumpa maelekezo ya nini cha kufanya, weka budget ya mtoto kwa mwaka ni kiasi gani, peleka ustawi wa jamii watampatia, mwaka mzima asikusumbue, zoezi liwe endelevuHabarini;
Nina tatizo moja kuna mdada nilizaa nae mtoto mmoja wa kiume kutokana na maisha nilimpangia pa kuishi na nikaa namhudumia mpaka sasa. Cha ajabu ukimpa pesa ya matumizi mfano elfu hamsini haipiti siku tatu imeisha, nikimwambia huanza kunitukana matusi na kudharau kazi yangu inayomtunza.
Siku hizi amemwita ndugu yake wa kike mmoja anakaa nae hapo nilipompangia, wana umri sawa ni matusi kila mda na amesema mtoto si wangu nisimjue na kule nisikanyage na wala nisimpigie simu na hahitaji chochote kutoka kwangu.
SASA TATIZO; niliwahi kumsitishia huduma kutokana na tabia zake za kunitukana na kusema nisimjue mtoto na nyinginezo, lakini cha ajabu akaja ofisini mpaka kwa bosi wangu eti mimi simtunzi tangu mimba jambo ambalo ni uongo, alishawawahi kwenda mpaka ustawi wa jamii nikiitwa yeye anatokomea mitini, yaani imekuwa ni usumbufu.
JE NIFANYEJE MAANA NIMESHAMCHOKA SANA!
Mchango wenu tafadhali.
Huwa kavu ni tamu zaidihivi kwanini unagegedana na mwanamke bila kinga ?
Wakaka, angalieni na aina ya wanawake mnaoamua kuwa nao kimahusiano...
Wengine ni vichaa...
Kuweni makini.
Asante mpendwa,I'm your sister.kunywa bia ndugu nitalipa ...umewaambia vyema ..sema tatizo lao ni kama nzi kafa kwenye kidonda habanduki ng'o..na mwenye bahati habahatiki@ una akili kama kitoto cha paka ..utakuwa baba bora hongera🙁
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mpeleke kwa Ticha Msigwa kama anazingua atamyoosha tu.........maana hamna namna
Habarini;
Nina tatizo moja kuna mdada nilizaa nae mtoto mmoja wa kiume kutokana na maisha nilimpangia pa kuishi na nikaa namhudumia mpaka sasa. Cha ajabu ukimpa pesa ya matumizi mfano elfu hamsini haipiti siku tatu imeisha, nikimwambia huanza kunitukana matusi na kudharau kazi yangu inayomtunza.
Siku hizi amemwita ndugu yake wa kike mmoja anakaa nae hapo nilipompangia, wana umri sawa ni matusi kila mda na amesema mtoto si wangu nisimjue na kule nisikanyage na wala nisimpigie simu na hahitaji chochote kutoka kwangu.
SASA TATIZO; niliwahi kumsitishia huduma kutokana na tabia zake za kunitukana na kusema nisimjue mtoto na nyinginezo, lakini cha ajabu akaja ofisini mpaka kwa bosi wangu eti mimi simtunzi tangu mimba jambo ambalo ni uongo, alishawawahi kwenda mpaka ustawi wa jamii nikiitwa yeye anatokomea mitini, yaani imekuwa ni usumbufu.
JE NIFANYEJE MAANA NIMESHAMCHOKA SANA!
Mchango wenu tafadhali.
Asante mpendwa,I'm your sister.
Welcome my dear
- wooow ..nice to hear that i have a sister in JF let me announce from today onwards your 😀😀😀😀
Pole mkuuKila kitu nafanya mm lkn nahisi kama mwehu huyu dada
Huu ushauri kwa ambao hawajajiingiza kwenye mahusiano(ushauri mzuri sana)Wakaka, angalieni na aina ya wanawake mnaoamua kuwa nao kimahusiano...
Wengine ni vichaa...
Kuweni makini.