ANDERSON YM
Member
- Sep 5, 2016
- 76
- 32
- Thread starter
- #81
Umri sasa 1 yearNakushauri. Nenda kamchukue mtoto mle wewe au mpeleke kwa bibi ake au ndgu yako yeyote kutoka huko utakuwa unamtunza mwanao na kumuhudumia. Yeye anafnya hivyo kisa anajua wewe unafnya vyote kwa sababu ya mtoto na anjua mtoto ndo kila kitu kwako . So anatake advantage ya mtoto . Au nenda kwa wanasheria sema hanauwezo wa kulea mwanao katika maadili mema