[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]wanawake wengine bhana.....hlf ukute kweli mtoto si wako ndo maana... kuna mwenzio pia anaambiwa yule mtoto ni wake.. sema hatoi matumizi
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]wanawake wengine bhana.....hlf ukute kweli mtoto si wako ndo maana... kuna mwenzio pia anaambiwa yule mtoto ni wake.. sema hatoi matumizi
Kama mtoto kashakuwa mchukue umlee mwenyewe mbona mm mzee wangu kanilea mwenyewe na maisha yamekuwa poa tuu. Anakuona mjinga ndio maana anakutukana na wewe kukomi kama ruba bado umemng'ang'ania tuuHabarini;
Nina tatizo moja kuna mdada nilizaa nae mtoto mmoja wa kiume kutokana na maisha nilimpangia pa kuishi na nikaa namhudumia mpaka sasa. Cha ajabu ukimpa pesa ya matumizi mfano elfu hamsini haipiti siku tatu imeisha, nikimwambia huanza kunitukana matusi na kudharau kazi yangu inayomtunza.
Siku hizi amemwita ndugu yake wa kike mmoja anakaa nae hapo nilipompangia, wana umri sawa ni matusi kila mda na amesema mtoto si wangu nisimjue na kule nisikanyage na wala nisimpigie simu na hahitaji chochote kutoka kwangu.
SASA TATIZO; niliwahi kumsitishia huduma kutokana na tabia zake za kunitukana na kusema nisimjue mtoto na nyinginezo, lakini cha ajabu akaja ofisini mpaka kwa bosi wangu eti mimi simtunzi tangu mimba jambo ambalo ni uongo, alishawawahi kwenda mpaka ustawi wa jamii nikiitwa yeye anatokomea mitini, yaani imekuwa ni usumbufu.
JE NIFANYEJE MAANA NIMESHAMCHOKA SANA!
Mchango wenu tafadhali.
Kaka, nimekosa cha kumshauri 'cause nina jamaa yangu naye alikumbwa na dhahama kama hiyo, tofauti ni kuwa jamaa yangu ilikuwa ni mke wa ndoa.Ilibidi waachane.Huu ushauri kwa ambao hawajajiingiza kwenye mahusiano(ushauri mzuri sana)
Je ushauri kwa huyu mwenzetu ambae tayari ameshauvaa mkenge inakuwaje hapo dada Pat??
huu unaweza kuwa ukweli mchungu japo hatuombi iwe hivyo.wanawake wengine bhana.....hlf ukute kweli mtoto si wako ndo maana... kuna mwenzio pia anaambiwa yule mtoto ni wake.. sema hatoi matumizi
hiyo ya kupiga sikuwa serious usije ukaozea jela maana mwanamke ni kama nyara ya serikali...Kupiga siku kaka unaweza fungwa kwa sababu wengine wameshachoka