Ushauri wa kisheria kwa Mzazi mwenzangu

atlas copco

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
8,292
9,390
Habar za asubuhi wapendwa

Kama kichwa cha habarI kinavyosema naombeni ushauri wa kisheria,

Ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wa kiume kutokana na tabia zake haikuwezekana kuishi pamoja. Sasa huyo mzazi mwenzangu amekuwa ni mtu wa shari shari muda wote na hii tabia ndio mojawapo ya sababu za kushindwana.

Najaribu kufupisha story kidogo mnielewe ili niende kwenye points,kuna wakat nilistopisha huduma kwa mtt na nikamwambia kama vp huyo mtt nimempa bure na sababu za kufanya hivyo ni tabia ya kutukana bila sababu,yaan hawezi kipiga sim kistaarabu akanieleza labda mahitaji ya mtt,unaweza kupokea simu yake neno la kwanza ni tusi.

Kweli nilikuwa nakereka sana,baada ya kuona matusi yamezid niliwasiliana na mmoja wa ndg zake nikamweleza hali halisi na nikamwambia kuanzia ss hivi huyo sitoi huduma yeyote kwa mtt acha nibaki kuwa baba jina tuu,ila kama yupo tayar anipe mtt wangu muda wowote akihitaji kumuona hamna tatizo sababu kwa upande wangu hata kumuona mtt ni inshu,kweli yule ndg yake alifanya juu chini akatukutanisha,katika mazungumzo yetu mm nilihitaji nipatiwe mtt tuu na nikatoa sababu za kuhitaji nipewe mtt na ndio ulikuwa msimamo wangu ila yy aligoma kutoa mtt na hakua na sababu za msingi,

Mwisho mwisho wa mazumgumzo na kwa ushauri wa ndg yake aliniomba nisubir mtt afikishe miaka 7 basi nifuate taratibu za kisheria niweze kupewa mtoto ILA ana ombi moja,kwakuwa mtt bado miaka 2 afikishe 7 na mwishon mwa huo mwaka ambao tulikutana kwenye mazungumzo mwaka unaofuata mtt alitakiwa aanze darasa la kwanza sababu alishaanza nursery, Ombi/wazo la huyo ndg nimlipie mtt ada kwa muda wa hio miaka 2 pamoja na bima ya afya basi,suala la chakula/malazi alisema anachokula mama yake ndio hicho hicho atakula na mtoto

Mimi nilikubaliana na hilo wazo,ss huu mwaka umeanza kijana ameingia la kwanza ila ss mzazi si kaendelea na tabia zile zile na kunitext sms za matusi na mpaka amefikia mahali anawahusisha mpaka ndg zangu,imefika mahali nimezoea maneno yake ila kilichonileta hapa kuomba ushauri wa kisheria amefika mahali anafanya kama ananiwinda huku anatembea na kisu kwenye mkoba,akisikia nipo mahali ananifuata hapo tena akiwa amelewa,mm ninachofanya namkwepa ila imefika mahali naona imekuwa too much kweli anaweza akaniotea akanijeruhi au mm kama binadamu sitakubali anishambulie lzm nita revenge na ktk harakat za kujilinda kuna uwezekano nikamwuumiza,

Mwisho wa siku awe ama amenijeruhi kama anavyosema au nimwuumize mm ndio nitaingia kwenye matatizo,hivyo ninahitaji kupata ushaur/uzoefu kwa waliopitia hii hali,je kuna taratibu zozote za kisheria ninazoweza kuzifuata ili hata asiweze kunifuata na kuleta fujo na ikitokea nina uwezo wa kumuadhibu bila sheria kunitia hatiani?,naombeni ushauri wenu,

Hii ni mojawapo ya text zake,"Nakuahidi mm nitaenda magereza kwa ajili yako kama si leo itatokea tuu ila ww utaenda kaburini"

Karibuni kwa ushauri,muwe na jpili njema watu wa Mungu
 
Habar za asubuhi wapendwa
Kama kichwa cha habar kinavyosema naombeni ushauri wa kisheria,ipo hivi kuna binti nilizaa nae mtt mmoja wa kiume kutokana na tabia zake haikuwezekana kuishi pamoja,ss huyo mzazi mwenzangu amekuwa ni mtu wa shari shari muda wote na hii tabia ndio mojawapo ya sababu za kushindwana,najaribu kufupisha story kidogo mnielewe ili niende kwenye points,kuna wakat nilistopisha huduma kwa mtt na nikamwambia kama vp huyo mtt nimempa bure na sababu za kufanya hivyo ni tabia ya kutukana bila sababu,yaan hawezi kipiga sim kistaarabu akanieleza labda mahitaji ya mtt,unaweza kupokea sim yake neno la kwanza utasikia "we malay* k***a la mama yako"kweli nilikuwa nakereka sana,baada ya kuona matusi yamezid niliwasiliana na mmoja wa ndg zake nikamweleza hali halisi na nikamwambia kuanzia ss hivi huyo sitoi huduma yeyote kwa mtt acha nibaki kuwa baba jina tuu,ila kama yupo tayar anipe mtt wangu muda wowote akihitaji kumuona hamna tatizo sababu kwa upande wangu hata kumuona mtt ni inshu,kweli yule ndg yake alifanya juu chini akatukutanisha,katika mazungumzo yetu mm nilihitaji nipatiwe mtt tuu na nikatoa sababu za kuhitaji nipewe mtt na ndio ulikuwa msimamo wangu ila yy aligoma kutoa mtt na hakua na sababu za msingi,mwisho mwisho wa mazumgumzo na kwa ushauri wa ndg yake aliniomba nisubir mtt afikishe miaka 7 basi nifuate taratibu za kisheria niweze kupewa mtoto ILA ana ombi moja,kwakuwa mtt bado miaka 2 afikishe 7 na mwishon mwa huo mwaka ambao tulikutana kwenye mazungumzo mwaka unaofuata mtt alitakiwa aanze darasa la kwanza sababu alishaanza nursery, Ombi/wazo la huyo ndg nimlipie mtt ada kwa muda wa hio miaka 2 pamoja na bima ya afya basi,suala la chakula/malazi alisema anachokula mama yake ndio hicho hicho atakula na mtt,mm nilikubaliana na hilo wazo,ss huu mwaka umeanza kijana ameingia la kwanza ila ss mzazi si kaendelea na tabia zile zile na kunitext sms za matusi na mpaka amefikia mahali anawahusisha mpaka ndg zangu,imefika mahali nimezoea maneno yake ila kilichonileta hapa kuomba ushauri wa kisheria amefika mahali anafanya kama ananiwinda huku anatembea na kisu kwenye mkoba,akisikia nipo mahali ananifuata hapo tena akiwa amelewa,mm ninachofanya namkwepa ila imefika mahali naona imekuwa too much kweli anaweza akaniotea akanijeruhi au mm kama binadamu sitakubali anishambulie lzm nita revenge na ktk harakat za kujilinda kuna uwezekano nikamwuumiza,mwisho wa siku awe ama amenijeruhi kama anavyosema au nimwuumize mm ndio nitaingia kwenye matatizo,hivyo ninahitaji kupata ushaur/uzoefu kwa waliopitia hii hali,je kuna taratibu zozote za kisheria ninazoweza kuzifuata ili hata asiweze kunifuata na kuleta fujo na ikitokea nina uwezo wa kumuadhibu bila sheria kunitia hatiani?,naombeni ushauri wenu,

Hii ni mojawapo ya text zake,"Nakuahidi mm nitaenda magereza kwa ajili yako kama si leo itatokea tuu ila ww utaenda kaburini"

Karibuni kwa ushauri,muwe na jpili njema watu wa Mungu

Anakupenda huyo
 
Fanya umrudie umpige bakora za uhakika tuone kama hutapata amani.

Na huyo atakuwa mke wako wa pili usipoangalia vizuri. Hayo yote ni hasira tu.
Kuna siku nilikutana nae town mida ya night alin'gan'gana na mm ajue ninapolala nikamwambia ww kuona mboo yangu ni never labda niwe nimekufa aise,alinikera saaan
 
Habar za asubuhi wapendwa

Kama kichwa cha habarI kinavyosema naombeni ushauri wa kisheria,

Ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wa kiume kutokana na tabia zake haikuwezekana kuishi pamoja. Sasa huyo mzazi mwenzangu amekuwa ni mtu wa shari shari muda wote na hii tabia ndio mojawapo ya sababu za kushindwana.

Najaribu kufupisha story kidogo mnielewe ili niende kwenye points,kuna wakat nilistopisha huduma kwa mtt na nikamwambia kama vp huyo mtt nimempa bure na sababu za kufanya hivyo ni tabia ya kutukana bila sababu,yaan hawezi kipiga sim kistaarabu akanieleza labda mahitaji ya mtt,unaweza kupokea simu yake neno la kwanza ni tusi.

Kweli nilikuwa nakereka sana,baada ya kuona matusi yamezid niliwasiliana na mmoja wa ndg zake nikamweleza hali halisi na nikamwambia kuanzia ss hivi huyo sitoi huduma yeyote kwa mtt acha nibaki kuwa baba jina tuu,ila kama yupo tayar anipe mtt wangu muda wowote akihitaji kumuona hamna tatizo sababu kwa upande wangu hata kumuona mtt ni inshu,kweli yule ndg yake alifanya juu chini akatukutanisha,katika mazungumzo yetu mm nilihitaji nipatiwe mtt tuu na nikatoa sababu za kuhitaji nipewe mtt na ndio ulikuwa msimamo wangu ila yy aligoma kutoa mtt na hakua na sababu za msingi,

Mwisho mwisho wa mazumgumzo na kwa ushauri wa ndg yake aliniomba nisubir mtt afikishe miaka 7 basi nifuate taratibu za kisheria niweze kupewa mtoto ILA ana ombi moja,kwakuwa mtt bado miaka 2 afikishe 7 na mwishon mwa huo mwaka ambao tulikutana kwenye mazungumzo mwaka unaofuata mtt alitakiwa aanze darasa la kwanza sababu alishaanza nursery, Ombi/wazo la huyo ndg nimlipie mtt ada kwa muda wa hio miaka 2 pamoja na bima ya afya basi,suala la chakula/malazi alisema anachokula mama yake ndio hicho hicho atakula na mtoto

Mimi nilikubaliana na hilo wazo,ss huu mwaka umeanza kijana ameingia la kwanza ila ss mzazi si kaendelea na tabia zile zile na kunitext sms za matusi na mpaka amefikia mahali anawahusisha mpaka ndg zangu,imefika mahali nimezoea maneno yake ila kilichonileta hapa kuomba ushauri wa kisheria amefika mahali anafanya kama ananiwinda huku anatembea na kisu kwenye mkoba,akisikia nipo mahali ananifuata hapo tena akiwa amelewa,mm ninachofanya namkwepa ila imefika mahali naona imekuwa too much kweli anaweza akaniotea akanijeruhi au mm kama binadamu sitakubali anishambulie lzm nita revenge na ktk harakat za kujilinda kuna uwezekano nikamwuumiza,

Mwisho wa siku awe ama amenijeruhi kama anavyosema au nimwuumize mm ndio nitaingia kwenye matatizo,hivyo ninahitaji kupata ushaur/uzoefu kwa waliopitia hii hali,je kuna taratibu zozote za kisheria ninazoweza kuzifuata ili hata asiweze kunifuata na kuleta fujo na ikitokea nina uwezo wa kumuadhibu bila sheria kunitia hatiani?,naombeni ushauri wenu,

Hii ni mojawapo ya text zake,"Nakuahidi mm nitaenda magereza kwa ajili yako kama si leo itatokea tuu ila ww utaenda kaburini"

Karibuni kwa ushauri,muwe na jpili njema watu wa Mungu
Huyu anakujua wewe ni muoga sana, hicho kiso ni kukutishia tu, wewe punguza hasira kama unaishi kwenye nyumba ya kupanga mkaribishe tena kama mmerudiana akileta huo ujinga mpe kichapo kitakatifu mkiwa wawili usipige kichwani mpige sehemu ambazo hazionyeshe harama ya kipingo tafuta fimbo kama ya rabba hivi au rungu mbona akili zitamrudi na kumuacha utamuacha kwa heshima ataondoka vizuri tu mwenyewe, sharia itakulinda huo ni ugomvi wa familia sio jinai.
 
Mkatie mtoto hiyo bima ya afya then nenda shule lipa gharama za mtoto na chukua mawasiliano ya hapo shule,baada ya hapo block namba yake na kila namba atakayotumia ukijua ni yeye wewe ni kublock tu.

Kuna wanawake jeuri na wasumbufu nyie hatari.
 
Mwanamke anapata wapi jeuri ya kukutisha kukupeleka kaburini tena sio kwa ndumba,ni kwa mkono wake mwenyewe....something wrong with you somewhere,jitathmini upya mkuu
 
Kiharakaharaka ameshindwa kukubaliana na ukweli kuwa ameachwa na anatumia mtoto kama fimbo ya kukuchapia,nenda polisi fungua shtaka la kutishiwa maisha ili lolote likikutokea wataanza na yeye ila pia tafuta utaratibu upate huyo mtoto maana kumwacha nae ni sawa na kuiuza roho ya mtoto,wanawake wengi wanao pitia such issues wanageuka wanyama kama amekukosa wewe anaweza lipiza kwa mtoto.Usidharau jambo nakwambia hata alieunguzwa kwa petrol ndani ya nyumba hakujua kama angeishia hivyo
 
Huyu anakujua wewe ni muoga sana, hicho kiso ni kukutishia tu, wewe punguza hasira kama unaishi kwenye nyumba ya kupanga mkaribishe tena kama mmerudiana akileta huo ujinga mpe kichapo kitakatifu mkiwa wawili usipige kichwani mpige sehemu ambazo hazionyeshe harama ya kipingo tafuta fimbo kama ya rabba hivi au rungu mbona akili zitamrudi na kumuacha utamuacha kwa heshima ataondoka vizuri tu mwenyewe, sharia itakulinda huo ni ugomvi wa familia sio jinai.
Kuna wakat nilikutana nae usiku akaniletea ujinga nikavua mkanda kipigo alichokutana nacho...
 
Mkatie mtoto hiyo bima ya afya then nenda shule lipa gharama za mtoto na chukua mawasiliano ya hapo shule,baada ya hapo block namba yake na kila namba atakayotumia ukijua ni yeye wewe ni kublock tu.

Kuna wanawake jeuri na wasumbufu nyie hatari.
Ndio nilichokifanya,tatizo huwa anatumia no mpya kupiga sim na nikimgundua ni yy huwa nakata sim baada ya hapo zinafuata text hata 50 kwa siku
 
Mwanamke anapata wapi jeuri ya kukutisha kukupeleka kaburini tena sio kwa ndumba,ni kwa mkono wake mwenyewe....something wrong with you somewhere,jitathmini upya mkuu
Inawezekana ngoja nijitathmini mkuu
 
Back
Top Bottom