Badili namba ya simu ili asiweze kukutukana. Akija ofisini waambie walinzi wamzuie kuingia... Ili mtoto wako asife njaa kutokana na kiburi chake, endelea kumtumia hizo elfu hamsini hamsini kupitia kibanda cha simu ili asijue namba yako mpya...
Hivi hadi mtoto afikishe miaka 18 ndyo umchukue na cyo miaka 7 tena?Anakwambia mtoto si wakwako kwanini usijaribu kupima DNA? Au huyo mtu wako hatokubali? Kama huna shaka mtoto ni wako basi endelea kumhudumia tu pamoja na vituko vyote kwasababu wakati "mnakutana" kabla ya huyo mtu wako kupata pregnancy ulikuwa una-enjoy sasa ni zamu yako kuona hekaheka.
Unajua haya mambo wanaume na sisi hatufikirii sawasawa, kwanini uzae tu na mtu unafahamu kabisa huyu SIMPENDI......bado hutumii contraceptives unatarajia nini? Au unataka kusema aaaah bahati mbaya tu?
Mkuu hapo inabidi uendelee kuhudumia tu hadi mtoto afikiashe 18 au 21. Mwenzako ameshakuwa single mother.....na unajua kasheshe wanazokutana nazo.....au vipi muoe kabisa muishi wote.
Sio kumchukua.....suala ni kumuhudumia. Anaweza akawa na miaka 7,8,9....15,16 akaendelea kukaa kwa mama yake pia. Hapo utata ni namna kumuhudumia angali wazazi hawana maelewano. Akifikisha miaka 18 na kuendelea ataanza kujitegemea angalau......hapa fights zitapungua.....lakini jamaa atakuwa amepata joto la jiwe.Hivi hadi mtoto afikishe miaka 18 ndyo umchukue na cyo miaka 7 tena?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Inaonekana huyo demu ana ugwadu,na wewe umekazania kumpa pesa tu,mpe ukuni apoze roho yake na utashangaa atakavyokuwa anakuheshimu,na pesa atatunza,ni ukuni tu kila ukifika kwake mpe ukuni mpaka afike mlimani,jenga heshima mwanaume acha kuvaa hereni.
Ahsante mkuu.Ni pole mkuu
Haya mambo noma sana kuna jamaa yangu anasumbuliwa na mzazi mwenzie cjapata kuona. Ustawi wamepelekana, sijui dawati la njisia hadi mahakamaniHabarini;
Nina tatizo moja kuna mdada nilizaa nae mtoto mmoja wa kiume kutokana na maisha nilimpangia pa kuishi na nikaa namhudumia mpaka sasa. Cha ajabu ukimpa pesa ya matumizi mfano elfu hamsini haipiti siku tatu imeisha, nikimwambia huanza kunitukana matusi na kudharau kazi yangu inayomtunza.
Siku hizi amemwita ndugu yake wa kike mmoja anakaa nae hapo nilipompangia, wana umri sawa ni matusi kila mda na amesema mtoto si wangu nisimjue na kule nisikanyage na wala nisimpigie simu na hahitaji chochote kutoka kwangu.
SASA TATIZO; niliwahi kumsitishia huduma kutokana na tabia zake za kunitukana na kusema nisimjue mtoto na nyinginezo, lakini cha ajabu akaja ofisini mpaka kwa bosi wangu eti mimi simtunzi tangu mimba jambo ambalo ni uongo, alishawawahi kwenda mpaka ustawi wa jamii nikiitwa yeye anatokomea mitini, yaani imekuwa ni usumbufu.
JE NIFANYEJE MAANA NIMESHAMCHOKA SANA!
Mchango wenu tafadhali.
Nilishafanya hivyo kumrecod nk lkn anachokifanya ni kubadili NGOS mara huku mara kule,OK ntafanyia kazi mawazo yakoSi una simu mkuu! Siku mrekodi afu weka kama kithibitisho. Sitisha huduma afu uone dharau zake zitaishia wapi!
Kweli aseeWakaka, angalieni na aina ya wanawake mnaoamua kuwa nao kimahusiano...
Wengine ni vichaa...
Kuweni makini.
Kila kitu nafanya mm lkn nahisi kama mwehu huyu dadaKumbe tayari alishakupeleka ustawi wa jamii... Kesi yako rahisi sana, nawewe nenda huko huko..., ila uwe na proof ya kuonesha unamlipia pango na kumtumia hizo fedha pia ushahidi usio na shaka kuhusu yeye kukutusi
Kupiga siku kaka unaweza fungwa kwa sababu wengine wameshachokasasa unataka tukushauri nini? mtu kama hamuwezani si unampotezwa tu,akileta ujinga unapiga.
nakala: ustawi wa jamii na kwa bosi wako.
Hapana mkuuMkuu usije ukawa ndo wale wale wa kuwakimbia panya road,kulamba mdomo,na kumwogopa scorpion, ooohh angalia,mwanamke atakutukanaje aisee na huku umezaa nae?