Mzazi mwenzangu ananitukana sana

Mzazi mwenzangu ananitukana sana

Anakwambia mtoto si wakwako kwanini usijaribu kupima DNA? Au huyo mtu wako hatokubali? Kama huna shaka mtoto ni wako basi endelea kumhudumia tu pamoja na vituko vyote kwasababu wakati "mnakutana" kabla ya huyo mtu wako kupata pregnancy ulikuwa una-enjoy sasa ni zamu yako kuona hekaheka.

Unajua haya mambo wanaume na sisi hatufikirii sawasawa, kwanini uzae tu na mtu unafahamu kabisa huyu SIMPENDI......bado hutumii contraceptives unatarajia nini? Au unataka kusema aaaah bahati mbaya tu?

Mkuu hapo inabidi uendelee kuhudumia tu hadi mtoto afikiashe 18 au 21. Mwenzako ameshakuwa single mother.....na unajua kasheshe wanazokutana nazo.....au vipi muoe kabisa muishi wote.
Suala la DNA alishakataa kwa sababu niliongea hadi na madaktari lkn akagoma kwenda,hapo ndo napata mtihani
 
Badili namba ya simu ili asiweze kukutukana. Akija ofisini waambie walinzi wamzuie kuingia... Ili mtoto wako asife njaa kutokana na kiburi chake, endelea kumtumia hizo elfu hamsini hamsini kupitia kibanda cha simu ili asijue namba yako mpya...
Wazo zuri lkn naogopa kupoteza mawasiliano ya ofis
 
huyo binti kwanza atakuwa ana mtu mwingine anaye mpa kiburi na pia sio wa kuishi nae koz anataka akunyee kichwani na ushauri we kaa kimya na uachane nae na kama una huakika mtoto ni wa kwako basi hamna jinsi mchukue mtoto ukae nae umuache yeye kivyake
Mtoto ana mwaka mmoja hapo ndo napata mtihani,kungekuwa na taratibu ambazo zinaruhus kumchukua mtoto ningeshamchukua
 
Pole sana mzee.
Kuwa na akili ni kitu kimoja, kuna na ufahamu ni kitu kingine, kuwa mjanja ni kitu kingine pia.
Uwezo ya kuviunganisha au kuvitumia hivyo ni kitu cha kipekee zaidi.

''Wisdom is the principal thing, therefore get wisdom; and with all thy getting get understanding'' Proverbs 4:7
Asante sana
 
Huyo mwanamke mwehu,na atakupelekesha sana usipo jipanga,kama mtoto sio wako unamlea wa nini? nenda na wewe ustawi wa jamii ukaseme alivyokwambia kua mtoto sio wako na usonge mbele na maisha asikuchefue roho mda wote..
[emoji122] [emoji122] [emoji122] kwa ushaur
 
Yes achague moja.....aoe au aendelee kumuhudumia mtoto wake huku akipewa hekaheka. Akimuoa atajua namna gani atamtuliza.....atajua amu-handle vipi. Ila tatizo inaonyesha jamaa HAMPENDI mama mtoto wake yeye alidhani atapita tu. Noma sana haya mambo.....kuwa mwangalifu sana unavyoendesha life yako.....kimahusiano, kiuchumi everything.
[emoji23]
 
Inaonekana huyo demu ana ugwadu,na wewe umekazania kumpa pesa tu,mpe ukuni apoze roho yake na utashangaa atakavyokuwa anakuheshimu,na pesa atatunza,ni ukuni tu kila ukifika kwake mpe ukuni mpaka afike mlimani,jenga heshima mwanaume acha kuvaa hereni.
Kaka mapenzi si lazima kwa mzazi mwenzako kwan magonjwa mengi sijui anakopita na hajui nakopita
 
Hayo ndio mapenzi yalivyo,jaribu kutafakari zile siku za mwanzoni maisha yenu yalivyokuwa matamu,ulishawahi kuwaza kama huyu bi dada anauwezo hata wa kutamka tusi!!pia jaribu kumuuliza mtu yoyote ambaye ameyaingia mapenzi kama na yeye hajawahi kukutana na matatizo ya aina yako,hapo ndio huwa nakuja ku conclude kuwa there si nothing so special in love,labda tu kama utaamua kumshirikisha Mungu ndio itakuwa salama yako.
Santee
 
Ha ha ha yaani umuhudie akutukane? Huyo hajakutana na machizi.

Kata flow meter, Badili no ya simu na hama mtaa kama umepanga uone.

Kazini ni issue za mke wa ndoa siyo Kimada!!!
Unajua baadhi ya ofis hawaelewag kabisa wanafosi umhudumie tu
 
Aiseee yaani anachezea sharubu na umetulia tu, ngoja azinyofoe uone maumivu yake
 
Wewe umeshaambiwa mtoto sio wako, sasa huku unatafuta ushauri gani mwingine?, halafu hizi sampuli unampa hela halafu anakutukana hua mnazitoa wapi?, hata kama kusoma hujui hata kuangalia picha napo kunakushinda?
Nilishaelewaga lkn usipompa ni tatizo
 
Huyo bado anakupenda kwahyo ulivyomuacha ameumia sanaaa kiasi cha kwamba akikukumbuka tu anakupgia cm anakutukana.Nakushaur kaka fwata sheria akikupgia cm anakutukana mrecord au akikutumia msg za matusi usifute nenda kwny vyombo husika vya sheria.
Asante ntafanya
 
Back
Top Bottom