My worry is rhis ; Mafwele does not need going to the USA

Very useless kumfungia mtu asiye na mpango wa kwenda huko.

Bashite alifungiwa ila hadi leo anadunda tu. US waache huu ujinga wa kudhani kila mtu anataka kwenda huko.
Labda kwa faida ya wengi unapopigwa us ban ni doa, sio tu kuingia Us, even huto pata nafasi za kuongoza au kuwa member wa masharika mengine ya nje.
Nafasi yako after uongoz kwenye international community is over, ww ni wa hapa hapa hata ukija kuwa rais

Lakin pia kama ana mali america ndio bye bye.

So itadepend
 
Hata kama mtu haendi Marekani, kutajwa rasmi na serikali ya Marekani kama mhusika wa ukiukwaji wa haki za binadamu huathiri sifa yake kimataifa. Taasisi nyingine, nchi nyingine, na mashirika ya kimataifa huanza kumchukulia kwa tahadhari. Hata hapo South Africa ambapo familia yake inaishi wataanza kuwa na mashaka naye.

US pia inatuma ujumbe kwa serikali kwamba inaona kuna tatizo. Mara nyingi si mtu mmoja tu anayelengwa, bali ni onyo kwa mfumo mzima wa uongozi au vyombo vya dola
Ni onyo kweli, ila ina tofauti gani na ile ya kuwasuta kina mashirika ya umma kwa mujibu wa ripoti za CAG?
 
Haya Mafwele hayamashitui maana hana haja ya kwenda Marekeni!

Hivyo Pompeo you need to do more than maneno
Lengo ni kuwafurahisha CDM na wanaharakati. Waweza kuona jinsi CDM wanavyoshangilia
 
Ishu sio kumfungia; ishu ni kumuanika dunia ifahamu kuhusu ufala wake huo.
Hiki mtu anaweza kuona ni kidogo, lakini ni kitu kikubwa sana kimefanyika, dunia imefahamu juu ya ufala wake huo.
Usikute hata Samia anafikiri hivyo hivyo kwamba si US tu
 
Marekani ikikutaa ni kama Dunia imekukataa, hapo ajaribu hata kwenda Germany au Ufaranza uone kama watamruhusu. Hapo ni kama amefungiwa kwenda Ulaya na America, na hata hizo nchi nyingine akienda usalama wake unaweza kuwa mdogo kwa sababu mkono wa Marekani na CIA ni mkubwa mno, kwasababu hao CIA ni zaidi ya magaidi.
 
Labda kwa faida ya wengi unapopigwa us ban ni doa, sio tu kuingia Us, even huto pata nafasi za kuongoza au kuwa member wa masharika mengine ya nje.
Nafasi yako after uongoz kwenye international community is over, ww ni wa hapa hapa hata ukija kuwa rais

Lakin pia kama ana mali america ndio bye bye.

So itadepend

Wengi hawana mpango wa kwenda huko. Wao ni China na SA if wakienda nje at all. Case in point, Bashite. Toka awe banned kapata hasara gani yeye au taifa?
 
do you think ban isingekuwepo wasinge kuwa na mpango wa kwenda? Before ban alikuwa anafululiza kwenda kufanya nn?
 
Marekani ikikutaa ni kama Dunia imekukataa, hapo ajaribu hata kwenda Germany au Ufaranza uone kama watamruhusu. Hapo ni kama amefungiwa kwenda Ulaya na America, na hata hizo nchi nyingine akienda usalama wake unaweza kuwa mdogo kwa sababu mkono wa Marekani na CIA ni mkubwa mno, kwasababu hao CIA ni zaidi ya magaidi.

I see. Ndo maana Bashite anapata sana tabu toka awe banned. Kachakaa sana Bashite kwa sasa.
 
Haya Mafwele hayamashitui maana hana haja ya kwenda Marekeni!

Hivyo Pompeo you need to do more than maneno
Issue si kwenda Marekani. Issue ni kuingeza nguvu, ushahidi, uzito kwenye hoja kwamba kuna utekaji na Mafwele anahusika.

Mfano, siku ikianzishwa kesi ICC hizi habari za Marekani zitaongeza uzito. Kwamba hiki suala hata Wamarekani walililivia nstari hivi na hivi, hapa na hapa, kwa hoja hizi na hizi.

Tatizo naona Mafwele ni mtu mdogo wangewaunganisha wote humo.

Ila inaonekana ike kesi ya Mkenya na Mganda (Boniface na Agatha) ndiyo imepelekea hii move.

Maana yake Watanzania kuna kitu hatujafanya sawa.
 
Hata kama mtu haendi Marekani, kutajwa rasmi na serikali ya Marekani kama mhusika wa ukiukwaji wa haki za binadamu huathiri sifa yake kimataifa. Taasisi nyingine, nchi nyingine, na mashirika ya kimataifa huanza kumchukulia kwa tahadhari. Hata hapo South Africa ambapo familia yake inaishi wataanza kuwa na mashaka naye.

US pia inatuma ujumbe kwa serikali kwamba inaona kuna tatizo. Mara nyingi si mtu mmoja tu anayelengwa, bali ni onyo kwa mfumo mzima wa uongozi au vyombo vya dola
Makonda ndio kwanza anapeta na kina Rio Ferdinand Wala hawajali kwamba amepigwa ban na USA

USA waachane na huo upumbavu hizo sanction zao za kuzuia watu kuingia USA now days it's not worth
 
Sasa hiyo ziara ina tofauti gani na chaka to chaka ya singeli na kigodoro
 
Lengo ni kuwavuta wajinga ili wawe upande wao na katika Hilo wata win cause wajinga tz ni wengi kuliko werevu ,

Wewe unaona hivyo cause unajitambua haya umesha jiuliza huo upeo Ulionao majority ya watanzania inao !?
 
I see. Ndo maana Bashite anapata sana tabu toka awe banned. Kachakaa sana Bashite kwa sasa.
Ni ngumu sana, hata kusafiri nje, hata kwenda tu hapo Kenya unaona ni shida. Maana CIA wana mkono mrefu, ukishatoa pua nje tu wanakufyeka.
 
Back
Top Bottom