Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,226
- 30,462
Ni ngumu sana, hata kusafiri nje, hata kwenda tu hapo Kenya unaona ni shida. Maana CIA wana mkono mrefu, ukishatoa pua nje tu wanakufyeka.
Hizi story unatoa kijiwe gani?
Makonda alihudhuria final ya AFCON Morocco alishikwa?
Watoto wake wamezaliwa SA ambako aliweka kambi karibu mwaka mzima, alishikwa?
CIA imshike Makonda au Mafwele kwa kosa gani? Wamevunja sheria gani za US? US wana mamlaka gani over TZ? US haipo hata ICC.
Ban na arrest warrant ni vitu viwili tofauti kabisa. TZ, as a country, ipo banned kwenda US under Trump sanctions, watz wanashikwa au wanazuiwa kwenda nchi zingine? Wabongo wengi uelewa mdogo sana.
Presuming kweli haendi huko nje, imempunguzia nini yeye kama yeye wakati ndani ya nchi anatamba atakavyo kwa kodi zenu? Hizi ban za kutoingia USA ni ujinga.