My thoughts, what are yours?

My thoughts, what are yours?

PA maneno yanayozungumzwa wakati wa kufunga ndoa ni MAZITO mno.. Laiti every single phrase ingekua inazingatiwa - basi haya matatizo yasingekuwepo kabisa... Hio phrase sio applicable in most cases... Kwanza kabisa unakuta vigezo vilivowavuta na kuwafanya muoane ni uwezo wa kila mmoja ama mmoja wao.... sasa Kweli kwa SHIDA NA RAHA itaingia hapo?? Naona ndio maana in most cases magharibi siku hizi they write their own lines ... Which could go "I will love you untill i do not desire you any more - and then we will live like neighbors in harmony" - Well hapa I kid kidogo, but that is the whole idea and how yale maneno yamkua kama hayana maaana.
Ha ha ha kuna vitu vingine kama hivi siku vikija huku kwetu patakuwa hapatoshi

Kuna mkasa mmoja nilikuwa nausikiliza kwenye redio fulani hivi mwanaume amezaa watoto na mwanamke katika kufarakana mwanaume akamwambia mwanamke "Kama wewe kweli ni mwanamke nionyeshe uanamke wako uko sehemu gani" hayo maneno binafsi mimi mwenyewe yaliniuma sana maana mwanamke alikuwa anaongea kwa uchungu kwamba mume wangu ataniambiaje mimi hayo maneno wakati anafahamu fika kwamba nimezaa naye watoto

Duh hili ni balaa
Yaani umekaa nae miaka yote haujui uanamke wa mke wako uko wapi
And the mean here ni kwamba mwanaume hajaona utofauti wake yeye na mkewe theye are like the same

Mkuu nafikiri kuna watu wanasome kile kiapo kama hadithi ( tena sio hadithi tuu maana kuna hadithi nilisoma nikiwa mdogo mpaka leo nazikumbuka) Nafikiri wanasome kama wajibu kutimiza kile wanachoambiwa kufanya ila ukweli halisi haumo moyoni mwao na hawajui wanaapa nini Unaposema kwa "Shida na Raha" unamaanisha kwa kila kitu shida za mwenzako na raha zake zote ikiwa ni pamoja na mapungufu yake. Kama unajikuta mwenza wako ana shida suluhisho sio kwenda kuwatangazia watu wa pembeni ila ni kukaa nae mjaribu nyie wenyewe kwanza kusolve lile tatizo na mkiona hakuna mafanikio mnawaona wataalam husika sio kwenida kukimbilia kwa washkaji zako unaenda kumtangaza mkeo kuwa ana mapungufu haya na haya Unategemea kwa washkaji zako watakupa nini au watakusaidia nini (ambapo washkaji zako asilimia sifuri ni rafiki kweli wengine waliobaki ni wanafiki wa kutupwa wanatafuta habari za kukusema na kukuharibia) i

Leo ulikoamkia... uwe unaamkia huko huko... I like what umesema...

Tufike mahali tuseme kuwa zile habari za ndani ya kuta nne za kile chumba unakiita master bed room ziwe za mle mle na tujifunze kutatua mambo ya ndani ya nyumba kabla ya kuwafaidisha watu wa njeNdo maana wengi wa wanandoa hata wakiwa na differences huwezi elewa muda wote wana raha na wanajitahidi kumaliza tofauti zao kabla jua kuzama wakiwa ndani ya chumba chao bila watu wa nje kujua ni nini kinaendelea mle ndani

Tatizo ndio linakuja hapo... haya mambo hayaendeshwi kwa Formulae... kitu kikubwa upate mwenza mwenye madhaifu (for nobody is perfect) but muelewa na anajua umuhimu wako then mengine yanakua rahisi hata kuvumilia... Watu wamesahau the way MARRIAGE INSTITUTION ni holy...Umuhimu wa kugombea this institution i-succeed at all cost once you are in it... na umuhimu na end result ya huo uvumilivu - It is worth it, But how ever huweza lazimisha and it takes two to tangle... maana speaking from experience you can do that and still ukaonekana ni mpumbavu; na ukaonekana wa maana when you are already fade up...

Ha ha ha kuna vitu vingine kama hivi siku vikija huku kwetu patakuwa hapatoshi

But mkuu why not tusiwe navyo
Kwa nini ushindwe kukaa na mkeo yaani mnapendana mpaka inafikia kipindi mnajiona kama hamuishi duniaini ila mko somewhere else kusiko na shida
Yaani mnaishi mpaka watu wanawatamani waishi kama nyie wanauliza siri yenu ya kuelewana ni nini
Yaani mnasolve matatizo yenu ya ndani bila hata watoto kujua
Tofauti zenu za kimtizamo hakuna mtu anayezijua
Yaani mnaishi the way mlivyoapa kwa shida na raha wattoto hawajui siku gani baba aliwahi kuishiwa maana mnayamaliza humo humo ndani au ni siku gani baba na mama waligombana

Duh hili ni balaa
Yaani umekaa nae miaka yote haujui uanamke wa mke wako uko wapi
And the mean here ni kwamba mwanaume hajaona utofauti wake yeye na mkewe theye are like the same
Dah!!! Mkuu kuna visa ukivisikia unaweza kusema labda watu walikuwa wamevuta bangi, kumbe la hasha ni watu na akili zao timamu

Umenikumbusha 80 Percent vs 20 Percent

Hivi ilikua thread gani?? Nimesahaua - i just remember it was one of those Great discussions... In fact PA the perfect fit was 60% Vs 40%... ikiwa too disparse the other anakua mzigo... ni stress kwa 80% for the other anakua treated as if ni mtoto sasa.... Nani anataka aishi na mtoto badala ya partner...lol

Leo ulikoamkia... uwe unaamkia huko huko... I like what umesema...

Tatizo ndio linakuja hapo... haya mambo hayaendeshwi kwa Formulae... kitu kikubwa upate mwenza mwenye madhaifu (for nobody is perfect) but muelewa na anajua umuhimu wako then mengine yanakua rahisi hata kuvumilia... Watu wamesahau the way MARRIAGE INSTITUTION ni holy...Umuhimu wa kugombea this institution i-succeed at all cost once you are in it... na umuhimu na end result ya huo uvumilivu - It is worth it, But how ever huweza lazimisha and it takes two to tangle... maana speaking from experience you can do that and still ukaonekana ni mpumbavu; na ukaonekana wa maana when you are already fade up...

Thank you a Lot AshaDii
Well said and ready to fulfil it in my own marriage

Tatizo liko hapo kujua kuwa taasisi ya ndoa ina umuhimu gani na je anayeingia humo anajua umuhimu wake na anajua wajibu wake
Unaposhindwa kujua umuhimu wako kwenye taasisi hii ni lazima utakuwa unapwaya na utakua hujui wajibu wala dhima nzima ya kuingia humo
Jiangalie wewe je ni mkamilifu
Je wewe una mapungufu gani na je uko tayari kuambiwa kuwa haya ni mapungufu yako na uko tayari kuishi kulingana na mapungufu yako na kujitahidi kukabiliana nayo hata kuyaoindoa ikibidi
Je unajua mwenza wako ana mapungufu haya na haya na uko tayari kuyaelewa na kukabiliana nayo
Hapo ukishaelewa sema sasa kwa Shida na Raha till death do us apart na usisome kama maandishi bali maanisha

Hio belief hapo juu ndio hufanya watu wasahau kua kila binadamu lazima ana madhaifu... na kua it is best to live na madhaifu ya ulonae for tayari unayajua kuliko yule ambae humjui... na kua waweza ona mwenzio ana madhaifu saaana na kila saa ukalalama kwake - na hali huyo mwenzio anaona the same thing kwako ila sababu tu huyo mwenzio hana tabia ya kulalama na hua anamezea basi unajiona you are better that the other... Ndo unajikuta waweza achia hio Ngazi ya chuma only to find unakutana na ya mbao ilochakaa na kuvamiwa na mchwa!

Hii mamii nimeipenda....
Ukijitambua tu kuwa hata wewe una mapungufu yako basi unaweza kumvumilia mwenzio na yake (ofcoz yapo yasovumilika)

Wadada wengi ni mabingwa wa kutoa 'risala' (sijui ni asili yetu) ila binafsi huwa inanipa nafuu sana (sipendi kuweka kutu kwenye moyo). Na hilo linasaidia kuimarisha upendo wangu kwa mwenzangu kwa kweli.

(mada ni nini tena TF?)

Well, binafsi naona msingi mkuu hapa ni upendo, uvumilivu na heshima baina ya wawili. Hii naamini intani guarantee furaha ya kweli.
Kuna watu wana fedha na mali na hawana furaha kwenye ndoa na mahusiano yao. Sasa pesa ni ya nini hapo?

Hivi ilikua thread gani?? Nimesahaua - i just remember it was one of those Great discussions... In fact PA the perfect fit was 60% Vs 40%... ikiwa too disparse the other anakua mzigo... ni stress kwa 80% for the other anakua treated as if ni mtoto sasa.... Nani anataka aishi na mtoto badala ya partner...lol
Najaribu kuikumbuka lakini bado sijaipata

Duh hili ni balaa

Yaani umekaa nae miaka yote haujui uanamke wa mke wako uko wapi

And the mean here ni kwamba mwanaume hajaona utofauti wake yeye na mkewe theye are like the same

Mkubwa penzi likiingiaga dosari ni heri ukoroge acid na maji ya betri pamoja! Maneno unayoweza kusikia watu wakisemezana utashaa...

But mkuu why not tusiwe navyo
Kwa nini ushindwe kukaa na mkeo yaani mnapendana mpaka inafikia kipindi mnajiona kama hamuishi duniaini ila mko somewhere else kusiko na shida
Yaani mnaishi mpaka watu wanawatamani waishi kama nyie wanauliza siri yenu ya kuelewana ni nini
Yaani mnasolve matatizo yenu ya ndani bila hata watoto kujua
Tofauti zenu za kimtizamo hakuna mtu anayezijua
Yaani mnaishi the way mlivyoapa kwa shida na raha wattoto hawajui siku gani baba aliwahi kuishiwa maana mnayamaliza humo humo ndani au ni siku gani baba na mama waligombana
Labda tufanye kwa matakwa yetu wenyewe tu

Hii mamii nimeipenda....
Ukijitambua tu kuwa hata wewe una mapungufu yako basi unaweza kumvumilia mwenzio na yake (ofcoz yapo yasovumilika)

Wadada wengi ni mabingwa wa kutoa 'risala' (sijui ni asili yetu) ila binafsi huwa inanipa nafuu sana (sipendi kuweka kutu kwenye moyo). Na hilo linasaidia kuimarisha upendo wangu kwa mwenzangu kwa kweli.

(mada ni nini tena TF?)

Well, binafsi naona msingi mkuu hapa ni upendo, uvumilivu na heshima baina ya wawili. Hii naamini intani guarantee furaha ya kweli.
Kuna watu wana fedha na mali na hawana furaha kwenye ndoa na mahusiano yao. Sasa pesa ni ya nini hapo?
Aisee nidai lunch for this useful post

Mkubwa penzi likiingiaga dosari ni heri ukoroge acid na maji ya betri pamoja! Maneno unayoweza kusikia watu wakisemezana utashaa...

Usifikie kuichukia ndoa yako
Kwenye ndoa kila siku ni mpya katika maisha yako na ndoa yako ni changa hata kama ina miaka ishirini
Yafanye yale uliyokuwa unafanya kwenye uchumba na hutaichoka ndoa
Sio mmeoana outing kwishney, maua kwishney, maneno yale ya kimapenzi kwishey, kusaidiana kati yako na mke/mume wako ndani ya nyumba ndo mwisho, yaani ndani ya nyumba kunabaki na amri tuu na matusi
Ndoa lazima itakuwa chungu

Labda tufanye kwa matakwa yetu wenyewe tu

Aisee nidai lunch for this useful post

Nimefunga sita, nifuturishe movenpick jioni...lol!

Nothing gives me joy in the heart as being in an understanding with my man...si najiskia dunia ni mali yangu?!!
Kinyume na hapo, I tell you hakuna hata kinachoshuka aisee....ndio maana mm nasema hayo mambo ya hela and stuff haviniingii akilini!

Hata nikila tembele na dagaa kama nina furaha akhaa sina shaka mie, sasa ww mwenye kila kitu chako na moyo umegubikwa na wimbi la simanzi kuna manufaa gani?

Anyway, tunatofautiana sana aisee! Wengine nyumba zao hazijengengeki bila faranga za kutosha (that is their happiness may be)

Kwa comment hii lunch sio Movenpick tena nimehamisha itakuwa Seychelles nimeishafanya booking ya ndege

Nimefunga sita, nifuturishe movenpick jioni...lol!

Nothing gives me joy in the heart as being in an understanding with my man...si najiskia dunia ni mali yangu?!!
Kinyume na hapo, I tell you hakuna hata kinachoshuka aisee....ndio maana mm nasema hayo mambo ya hela and stuff haviniingii akilini!

Hata nikila tembele na dagaa kama nina furaha akhaa sina shaka mie, sasa ww mwenye kila kitu chako na moyo umegubikwa na wimbi la simanzi kuna manufaa gani?

Anyway, tunatofautiana sana aisee! Wengine nyumba zao hazijengengeki bila faranga za kutosha (that is their happiness may be)

BHT nimeipenda sana sana
Kuna watu wanawaza kuwa ndoa ni kuwa na mali na kuishi maisha ya kifahari au maisha ya juu wanasahau kuwa ndoa ni upendo ndoa ni amani ya moyoni ndoa ni zaidi ya kula vizuri na kuwa na maisha ya juu
Pesa na mali ni supliments tuu kwenye ndoa la muhimu ni ile upendo na amani ndani ya nyumba hata kama mnalalia dagaa na matembele ila amani na upendo ukiwepo kila mtu atatamani maisha yenu

Nasahau swali moja kubwa sana hapa
TF uko kwenye ndoa au ndo unachukua uzoefu hapa kujiandalia maisha ya ndoa

Comment ya BHT has just made my day

Nasahau swali moja kubwa sana hapa
TF uko kwenye ndoa au ndo unachukua uzoefu hapa kujiandalia maisha ya ndoa
Ha ha ha nilijua tu at any time ningekutana na swali hili lol, Mkuubado banaa ndio tunachukua mauzoefu kujiandalia maisha ya ndoa

Nashangaa mkuu umejieleza na unazidi kujieleza as if uko kwenye ndoa
Ila just note that marriage is how u make it in your own way na sio kuiga BHT au Rocky au AshaDii

Back
Top Bottom