TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,210
- 13,050
uuuuuuuuuuuuwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
i see, we mkaleeeeeeee! sasa hiyo nyumba itakuwa balaa, wote wasanii................... mimi mistari yangu nimeihifadhi kwanza, lol!
- I love your smile and the way you make me smile.
- I love the way you walk, talk and laugh.
- You just make me feel so good.
- I will call you honey, darling, sweetheart...
- You are the best, you are amazing!
- I can't get enough of you...You drive me wild!
- I love you with my heart and soul.
- I love everything about you, inward and outward
Baby FP skiza vizuri, wateme wote uje kwangu, wala hutojuta kabisa. Just think twice ulipokuwa unaitwa FIXED POINT walikuangalia tu. Sasa umependeza watt wanakugombania? ACHANA NA LAWAMA
Baby FP skiza vizuri, wateme wote uje kwangu, wala hutojuta kabisa. Just think twice ulipokuwa unaitwa FIXED POINT walikuangalia tu. Sasa umependeza watt wanakugombania? ACHANA NA LAWAMA
i see, we mkaleeeeeeee! sasa hiyo nyumba itakuwa balaa, wote wasanii................... mimi mistari yangu nimeihifadhi kwanza, lol!

maamuzi yalikuwa yanakusubiri wewe shangazi mkubwa
mmppppphhhhhhhhuuuuuuuuuuuuu, afadhari rafiki yangu AshaDii umekuja labda utanisaidia, si unaona hawa watu wanavyogombana? sasa sijui nifanyeje, mimi nimewaachia wajomba na mashangazi waamue. ila wewe kama rafiki unaweza kunishauri, please
Afadhali Shangazi yangu umekuja..
Hebu naomba ulonge na huyu Mkweo ili akubali kuja Mndenyi aisee...
mbona kama kuna harufu ya wivu ndanimo?
mbona kama kuna harufu ya wivu ndanimo?
Mamndenyi mi naona huyu chaguo letu anajizungusha kutoa jibu sasa mi naona nikiendelea kuwa humu kwenye huu mjadala naweza kufumaniwa na Amyner halafu iwe noma!
Ngoja nitulie kwanza then FP yakimshinda atakuja tena. Asprin naomba umwambie Katavi anichekie kule mapokezi kama kuna
mgeni wa kukagua ili atulize mtima wangu.
Kwa wote mloniletea fitna na majungu naomba mjijue.... platozoom ,
Kongosho , moto2012 ,
cacico ,
charminglady , The secretary , Remmy , Filipo , sweetlady mathematics nawaambia jiandaeni kumjua b52 ni nani ntawalamba ban hadi muhame chitchat
Nawashukuru sana Judgement Dark City beibe nasty
Mamndenyi kwa kuwa fair kumshauri FP
Niko zangu naenda kwa Amyner kupetiwapetiwa kwa raha zangu nimegundua Tuko Wangapi inafanya kazi!