duniani sijapata on mwanamke mwenye upendo wa dhati kama The secretary,i love you,mmmmmmwwwwwaaaaaa na shavu la pili mmmmmmwwwwaaaaaa....na kwenye kitovu mmmmmwwwwwaaaaaaaa na chini ya kitovu nyamnyamnyam.....chezea the secretary wewe thidanganyiki hata kwa guta we uliona ni mzizi wa mbuyu huwezi kuutoa ukaona ujitangazie dili eti umeniacha nilishasema nimeshasema i do kwa bishanga kwako we ni idont tukunti you undestood?
..hahahahahaha,,Pacha we pambana bana..kamchoka kweli au anazuga tu,,?Pacha, umepona ile Hati Konkesheni Pacha?
Karibu sana Jamvini..
Mimi bado nipo napambana na huyu Jamaa Bana.. Eti Mara hii ameshamchoka Preta..
....hizi NIA ,SABABU na UWEZO zilikuwa wapi kwa PretaNia ninayo mamii. Sababu ninayo, na uwezo mkubwa tu ninao...
hata mimi naamini kabisa, hivyo vyote unavyo, na mashairi kwa kweli unajitahidi nayo.........................Nia ninayo mamii. Sababu ninayo, na uwezo mkubwa tu ninao...
fp do somethingdear fp,
View attachment 66887
i am so glad to inform u that i have fallen in love with you since the first day when i saw your avatar. I would like to present myself as a prospective lover. Our love affair would be on probation for a period of two weeks. Upon completion of probation, there will be performance appraisal leading to promotion from lover to spouse.
please reply at your earliest possible convenience.
your's faithfully
tanmo.
sana ...na sio kuwa away tu ....ata kutembelea baadhi ya majukwaa tu ...kuna majukwaa yana mamboyaani kuwa away 4rm network unakosa mengi
haki ya nan nataman siku kuwe na pati ya wanajf live ....kuondoa utata au kama vipi FP na TANMO fanyeni kitu cha engagement part ...muwakutanishe wanajf
Nimepata sweetie, kwani si na wewe umelipata la kwangu?Hey bebi. Umepata kiss langu nililokurushia kwa piiemu? Missing you crazy....
Umeona eeeeeeeeeeeh!fp do something
soon mpalu, mambo mazuri hayataki haraka, lol!haki ya nan nataman siku kuwe na pati ya wanajf live ....kuondoa utata au kama vipi FP na TANMO fanyeni kitu cha engagement part ...muwakutanishe wanajf
Umesema vema my dear, soonMkuu vuta subira kidogo..
Very soon wadau mtaalikwa kwenye Harusi yangu na Binti Mrembo kama Malaika FP...
Hey bebi. Umepata kiss langu nililokurushia kwa piiemu? Missing you crazy....