sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
jamani mimi stress siziwezi jamani. kama mnavyojua sina kashfa, hii ni kwa sababu sipendi pressure, nimejitulia zangu kimya nasubiri mtu wa maana ndo nimpe moyo wangu
Plz mpe moyo my pacha TANMO na nakuhakikishia kuwa hutojutia!
Last edited by a moderator:

