Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Miss u too darling..............Yes Pliz, tena nimelipata kwa muda mwafaka kweli..
That's ma Babe... Mwaaaaaaaaaaaah View attachment 67253
Miss u too darling..............Yes Pliz, tena nimelipata kwa muda mwafaka kweli..
That's ma Babe... Mwaaaaaaaaaaaah View attachment 67253
Fumba macho bwana, lolAstaghafulilah unakiss mtoto wa watu wazi wazi namna hii?
Ni kweli dia, ila sasa tunamsubiri anko Mzee Tupatupa alisafiri kidogo akirudi ndo vikao vya ukoo vikae hapo ndo wataniuliza kama nakufahamu. si ile siivii ulishapeleka? natumaini uliambatanisha na picha yako.Nimekutana na Babu Asprin akielekea kwa Mama Muuza akaniuliza harusi lini?
Nimemwambia asubiri kwanza nijadiliane na wewe..
Japokuwa napendekeza tuifanye as soon as possible ili tujipe muda wa kutosha kwenda hanemuni visiwa vya Fiji..
View attachment 67256
Au unaonaje Dia?
Ni kweli dia, ila sasa tunamsubiri anko Mzee Tupatupa alisafiri kidogo akirudi ndo vikao vya ukoo vikae hapo ndo wataniuliza kama nakufahamu. si ile siivii ulishapeleka? natumaini uliambatanisha na picha yako.
babu Asprin mwambie avute subra
h haaaaaaaaaaaaaa, wale wazee pale kilabuni kwa Kongosho nina uhakika ulitoa rushwa ya pombe, wale ukiwanunulia dumula 2 tu kwishneyNiliituma, na nilivyoongea na baadhi ya "wazee" kilabuni kwa Kongosho, wameonesha kunikubali.. Labda wewe ukane kunifahamu 🙂
h haaaaaaaaaaaaaa, wale wazee pale kilabuni kwa Kongosho nina uhakika ulitoa rushwa ya pombe, wale ukiwanunulia dumula 2 tu kwishney
TANMO andika kwa kiswahili tujusaidie kupiga debe !
Hebu acha visa Bana, Makorokocho ndiyo manini?
Sent from my Nokia Tochi 2100 using JamiiForums
Si huyo lugha inayoongelewa hapo me naijulia wapi? Kimanga kinaninshinda ntaweza lugha za wazungu mie
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
mtamua kwa wivu Erickb52 jamaniUmeona eeeeeeeeeeeh!