My Letter to FP

My Letter to FP

waambie kabisa waandae jembe,mbuzi mwenye mimba,jogoo,shoka,shuka,kitenge,unga debe,bila kusahau kanga na shanga kwa ajili yako mlongo wangu!ngoja nimuulize moto2012 kama kuna kitu nimesahau anikumbushe
afadhali shangazi umekuja utanitetea maana naona dalili zote za mjomba Dark City kunitoa jumla, lol!
 
Last edited by a moderator:
Kama huziwezi mila za kwetu hakika hupati kitu! Dada yetu si dot.com, ukiona vyaelea ujue vimeundwa!!

Ataongeza KIMBAPARA, Ndeve, na mablanketi matatu! Ataleta na myakaya wa mahoka! Asije amevaa Tisheti na Jins
afadhali kaka mwenyewe umekuja kusaidia kutaja fwika, maana hapa naona wazee wanaweza hata kunitoa bure,lol!
mashemeji wenyewe ndo hao, wewe kama kaka mpendwa unamchagua nani kati ya TANMO na Erickb52 ? mnaweza kuteta na dada snowhite halafu mkanipa jibu. ila angalieni huko mtakakoenda kuteta asiwaone mtani platozoom
 
Huyo TANMO simjui kabisa, lakini jina lake kama Mmakonde au Mmawia, sipendi akakulishe panya!!Labda Erickb52, ati dada huyu naye mbona kama Mkongo?
 
Umeridhika naye?

Mnachumbiana tu au mnaoana?

Na mahari unataka nini?
The Boss anajua hili?

Mie sitii neno, sitaki kuwa shangazi kinaa.
tatizo hapa shangazi kuna wawili, sasa wewe unaona nani angalau tabia inaridhisha? wote wanataka kuoana kabisaaaaaaaaa, sasa si unajua kwetu ukishaondoka marufuku kurudi? nichagulie ambaye anafaa isije ikawa ndoana. The Boss sijamsikia kabisaaaaaaaaaaa, sasa sijui anajua, na anashauri vipi hata sijui
 
kaka huyo TANMO ndo alianzisha, Erickb52 akajiingiza naye kwenye mpambano. tatizo hawa wote ni serengeti boys, sijui wanadanganywa na muonekano wangu wanafikiri na mimi ni serengeti mwenzao?
labda tuweke wazi hapa, ambaye atataka kuoa mmama anyoshe kidole juu
 
userengeti boi si tatizo, sababu inaaminika bado wananguvu na wajuzi, ila shaka yangu unahakika sio ma MARIOOO hao! Itakuwa aibu wakianza kwenda vijweni kujisifu!!
 
Mwingine nani tena?

Mjomba ako The Boss anajua, ndo kanituma nikuulize kama umeridhia?

tatizo hapa shangazi kuna wawili, sasa wewe unaona nani angalau tabia inaridhisha? wote wanataka kuoana kabisaaaaaaaaa, sasa si unajua kwetu ukishaondoka marufuku kurudi? nichagulie ambaye anafaa isije ikawa ndoana. The Boss sijamsikia kabisaaaaaaaaaaa, sasa sijui anajua, na anashauri vipi hata sijui
 
Umeridhika naye?

Mnachumbiana tu au mnaoana?

Na mahari unataka nini?
The Boss anajua hili?

Mie sitii neno, sitaki kuwa shangazi kinaa.

Pole sasa dada mkuu Kongosho,

Hivi unajua kinachoongelewa hapa?

Mie nimeshindwa kumwelewa FP kwa sababu, hao jamaa wamevutiwa na Avatar na yeye anataka kuwapa eti hiyo tu!

Uko tayari kuona wadogo zako wanauziwa kivuli wakati mtu mwenyewe yupo?

Hapo ndipo babu kaanza kupata kigugumizi cha mikono na miguu!!

Babu DC!!
 
hujawahi kusikia watu wanavutiwa na sauti tu kwa mtu babu? hao dawa yao ni kuongea nao kwa simu tu hakuna kuonana. sasa wewe subiri hiyo avatar ya FP ibadilishwe utaona kama kuna mtu ataandika letter hapa
 
userengeti boi si tatizo, sababu inaaminika bado wananguvu na wajuzi, ila shaka yangu unahakika sio ma MARIOOO hao! Itakuwa aibu wakianza kwenda vijweni kujisifu!!
uuuwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, tukienda huko kwenye umario sasa si itakuwa balaa? unyagoni kule tunafundishwa mambo ya chumbani yanaishia kwenye zile kuta, sasa hao akina marioo si ndo nasikia wanapelekaga hadi kwenye magazeti ya udaku? sasa kaka wewe basi fanya utafiti wako, marioo mpige chini
 
Back
Top Bottom