My Letter to FP

My Letter to FP

Ona huyu mzembe yaani akikuwaza tu anaishia kusinzia, wakati mimi nikikuwaza tu naamka usingizini...
Manake there's nothing more that i need than your Image in my Mind...

Pambana pacha wangu......ushindi unakaribia kuja upande wetu.....si umeona hata AshaDii aka lovely wifi anavutia kamba upande wetu eeh?
 
Last edited by a moderator:
haya sasa FP huyu hapa, nimesikia kilio cha TANMO na Erickb52
kama mnavyojua, mimi ni binti halisi wa kiafrika, sitataka kabisa kuchakachua hilo. Naendeleza zile mila zetu..... kwa vile kila kilio kimeishia kwenye kapo, nawatuma kwa shangazi zangu wakiongozwa na akina snowhite, cacico, Kongosho wao watawaambia na wengine. na wajomba zangu akina Dark City, babu Asprin wao watawaambia wazazi wangu.
msisahau kwenda na cv zenu, maana siku hizi wakaka mmekuwa matapeli msije mkaniuza kuchunwa ngozi.
nategemea majibu toka kwa akina shangazi

Mbona nimesoma kuwa mwenzio kavutia na avatar yako @FP??

Hivi akikiona live atabaki na mtazamo huo?

Sorry, bila uhaika wa hilo, sitaweza kue-endorse hii application,

Babu DC!!
 
babu wewe wape wanachotaka, haitakuwa kesi yako kama hawatapata walichokikusudia. kwenye endorsement letter specify kabisa kuwa wameomba avatar na unawapa hiyo.........................
 
Unaonaje sasa @FP, if you don't mind nibadili mawazo na ku-endorse full package ili wapate kila kitu...avatar na kitu chenyewe??

Just being curious?? (sitaki kuonekana naziba riziki za watu mie..lol)!!

haiwezekani ku-endorse full package wakati wao wamependa avatar, utakuwa hujawatendea haki, wape kitu roho inapenda/ walichoomba. au mwite mzee mwenzako The Boss mshauriane
 
Last edited by a moderator:
haiwezekani ku-endorse full package wakati wao wamependa avatar, utakuwa hujawatendea haki, wape kitu roho inapenda/ walichoomba. au mwite mzee mwenzako The Boss mshauriane

Unajua nini @FP?

Nimepata huruma kama mzazi...kwa nini wajukuu zangu wapewe kitu ambacho kiukweli hakipo wakati kitu halisi cha ukweli tena original (siyo mchina) kipo??

Nahisi kama natahitaji kuwapigia debe ili wafaidi hata kama ni kwa muda mfupi!!!!

Nadhani hata mzee mwenzangu The Boss ataliona hili!!

Babu DC!!
 
haya sasa FP huyu hapa, nimesikia kilio cha TANMO na Erickb52
kama mnavyojua, mimi ni binti halisi wa kiafrika, sitataka kabisa kuchakachua hilo. Naendeleza zile mila zetu..... kwa vile kila kilio kimeishia kwenye kapo, nawatuma kwa shangazi zangu wakiongozwa na akina snowhite, cacico, Kongosho wao watawaambia na wengine. na wajomba zangu akina Dark City, babu Asprin wao watawaambia wazazi wangu.
msisahau kwenda na cv zenu, maana siku hizi wakaka mmekuwa matapeli msije mkaniuza kuchunwa ngozi.
nategemea majibu toka kwa akina shangazi
waambie kabisa waandae jembe,mbuzi mwenye mimba,jogoo,shoka,shuka,kitenge,unga debe,bila kusahau kanga na shanga kwa ajili yako mlongo wangu!ngoja nimuulize moto2012 kama kuna kitu nimesahau anikumbushe
 
Last edited by a moderator:
Mh hizi dalili za kunyimwa mke aisee snowhite
hapo sasa si bora mi wa mujini nimesema ngoja aje Mzee Tupatupa ataje kishika uchumba cha kingoni ndo utajua mabinti wa kingoni tulivyo aghali i see!baba zetu wanajua utaenda kufaidi!so wanajilia faida mapemaaaaa!kwa hiyo we kama umefika bei kwa mlongo wangu hapo jipinde!
 
Uzuri vyote siku hizi vinapatikana mijini so sina hata wasiwasi kabisaaa
 
Back
Top Bottom