Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
sweetlady si ulikuwa na nitonye ukahamia kwa Vin Diesel then umerudi tena kwa nitonye ingawa zamani pia ulikuwa na klorokwini wakati uporoto yuko na Kabakabana
Bisha.....tena wakati ule Husninyo alikuwa na @jugdement full malovedove
Filipo lazma umuaimi sweetlady coz ushakufa umeoza na husikii wala huambiliki hadi yatakapokukuta kama ya Vin Diesel kumwagwa kama gunia la chumvi lol
waambie kabisa waandae jembe,mbuzi mwenye mimba,jogoo,shoka,shuka,kitenge,unga debe,bila kusahau kanga na shanga kwa ajili yako mlongo wangu!ngoja nimuulize moto2012 kama kuna kitu nimesahau anikumbushe
Hukawii kwenda aiseee lol
Hahahahaa Vin Diesel pamoja na sweetlady kuwa na kashfa ZA bado mnakomaa nae na naona Filipo nae kaunga tela lolkashfa ya.... au kashfa za.....kwi kwi kwi...
AFADHALI UWAAMBIE WAGAWANE KAMA MIMI NA ruttashobolwa tumavyomgawanya Madame B.
Hahahahaa Vin Diesel pamoja na sweetlady kuwa na kashfa ZA bado mnakomaa nae na naona Filipo nae kaunga tela lol
Dear FP,
View attachment 66887
I am so glad to inform u that I have fallen in Love with you since the first day when i saw your Avatar. I would like to present myself as a prospective lover. Our love affair would be on probation for a period of two weeks. Upon completion of probation, there will be performance appraisal leading to promotion from lover to spouse.
Please reply at your earliest possible convenience.
Your's faithfully
TANMO.
Hahahahaa Vin Diesel pamoja na sweetlady kuwa na kashfa ZA bado mnakomaa nae na naona Filipo nae kaunga tela lol