Hapa naona tunakaribia kumwita Prof Safari na utaalamu wake wa natural justice.
Mimi sipingi hilo kwa sasa kuna dada hadi tunapoongea anaweza kuwa macho yamemtoka kwa kukabwa kama kibaka. Sasa tusitoe ushauri hadi huyo kaka amalize kuwa kichapo au? Na kaka mwenyewe hataki kuongea..Ni dizainii za Idd Amin (may be).
Kwa nini huyo dada asiondoke kwanza halafu ndo labda huyo kijana atakubali kufunua huo mdomo wake ambao kwa sasa unafunguka tu kwa siku 5 anazokuwa likizo?
ndo maana nasema katika ''family-level'' lazima utakuwa na TIPS fulani kuhusu hiyo ndoa....yaani haiwezekani kwamba jamaa hajawahi hata kumwambia mtu yoyote kuhusu mikikimikiki anayoifesi kwenye ndoa ake.......!IMEBAKIA KUSIKIA YULE DADA MMEWE ALISHAMCHARANGA INGAWA HATUOMBEI WANAOSEMA TUVUNJE UKIMYA KWA MAONGEZI HAWAKUKOSEA ILA JAMAA KAMA HALITAKIA KUTOA USHIRIKIANO INAKUWAJE BABA GIFT?
fl1Jamaa hataki kuongea Mbu huyu dada afanye nini?
Kama mie ningerudi kwetu mpaka hapo atakapojisikia kuongea utakaaje na mtu ndani hakusemeshi je akikuvizia akakuchinja ?
Jamaa hataki kuongea Mbu huyu dada afanye nini?
Kama mie ningerudi kwetu mpaka hapo atakapojisikia kuongea utakaaje na mtu ndani hakusemeshi je akikuvizia akakuchinja ?
...la la la! asithubutu kuondoka/kumkomoa, ...kosa litamrudia.
Ndio maana nasema ushauri uzingatie pande zote husika.
Kwani huyu dada hana mzee wa busara kumshtakia ambaye ni wa karibu na mume?
Haiwezekani, Unless walioana tu kivyao vyao bila baraka za wazazi.
Sasa hiyo ni AUTOMATIC DISMISSAL!yani akiondoka ndo amejiproov guilt sasa!hata hivyo ninachokiamini mimi HUYO AKIONDOKA HAWEZI KWENDA KWA WAZAZI WAKE,LAZIMA WATAMKIMBIZA HARAKA SANA ARUDI KWA MUMEWE!Hapa naona tunakaribia kumwita Prof Safari na utaalamu wake wa natural justice.
Mimi sipingi hilo kwa sasa kuna dada hadi tunapoongea anaweza kuwa macho yamemtoka kwa kukabwa kama kibaka. Sasa tusitoe ushauri hadi huyo kaka amalize kuwa kichapo au? Na kaka mwenyewe hataki kuongea..Ni dizainii za Idd Amin (may be).
Kwa nini huyo dada asiondoke kwanza halafu ndo labda huyo kijana atakubali kufunua huo mdomo wake ambao kwa sasa unafunguka tu kwa siku 5 anazokuwa likizo?
...la la la! asithubutu kuondoka/kumkomoa, ...kosa litamrudia.
Ndio maana nasema ushauri uzingatie pande zote husika.
Kwani huyu dada hana mzee wa busara kumshtakia ambaye ni wa karibu na mume?
Haiwezekani, Unless walioana tu kivyao vyao bila baraka za wazazi.
Sasa hiyo ni AUTOMATIC DISMISSAL!yani akiondoka ndo amejiproov guilt sasa!hata hivyo ninachokiamini mimi HUYO AKIONDOKA HAWEZI KWENDA KWA WAZAZI WAKE,LAZIMA WATAMKIMBIZA HARAKA SANA ARUDI KWA MUMEWE!
probably ataenda kwa ''huyo hawara'' anaesababisha jamaa aikimbie tarbenakle
Thanks DC...FL1, kuna vitu unaweza kukaa ukajadili na kujiuliza mara mia mia lakini siyo pale ambapo maisha yako yanakuwa hatarini. Ndo maana namshangaa huyo dada anasubiri nini hadi sasa?
Jamaa hataki kuongea Mbu huyu dada afanye nini?
Kama mie ningerudi kwetu mpaka hapo atakapojisikia kuongea utakaaje na mtu ndani hakusemeshi je akikuvizia akakuchinja ?
ha ha ha ha habari yako banaaaaaa
FL1, kuna vitu unaweza kukaa ukajadili na kujiuliza mara mia mia lakini siyo pale ambapo maisha yako yanakuwa hatarini. Ndo maana namshangaa huyo dada anasubiri nini hadi sasa?
mkuu,Hivi wakati unaandika haya picha ya dada zako, mama wadog na mwisho mtoto wako wa kumzaa inakujia kichwani? Au kwa vile tunamwongelea kama dada tu yuko huko anaonja joto la jiwe?
WANAUME WENGI WANAOSUSA SUSA HASA WAKIGOMBANA NA WAKEZO HUWA WANAISHIA KUCHUKULIWA WAKE ZAO NA MA-LOVERBOY
Thanks DC...
unajua hapa tunaangalia ile dhana ya mahusiano, lakini hatujaangalia athari ya mahusiano mabaya kama haya ya huyo bidada... kuna vitu vitatu vikubwa kuangalia
Nawakilisha tena
- accident to any may hold a partner liable kwenye jamii na hata mbele ya Mungu
- The man staying outside the house for 5 days is almost confirming that the guys is infidelitizing highly... siamini kama unalala na mwanamke for 5 days uendelee kuvaa kinga kwa miezi kadhaa... hapa kuna kaugonjwa kananyemelea
- nafasi ya mwanamke kwenye ndoa... with all these abuse, why wont she have freedom and right to seek happiness elsewhere?
Kwa hiyo huyo dada aendelee kukaa na muemewe na kukimbiwa >5day (bila kujua yuko wapi) + kipigo cha mbwa mwizi? Kama angekuwa binti yako bado ungekuwa na msimamo huo?
The man staying outside the house for 5 days is almost confirming that the guys is infidelitizing highly... siamini kama unalala na mwanamke for 5 days uendelee kuvaa kinga kwa miezi kadhaa... hapa kuna kaugonjwa kananyemelea
Kwa hiyo huyo dada aendelee kukaa na muemewe na kukimbiwa >5day (bila kujua yuko wapi) + kipigo cha mbwa mwizi? Kama angekuwa binti yako bado ungekuwa na msimamo huo?
mkuu,
katika jamii za kiafrika....MWANAMKE ALIYEOLEWA KWA KUFUATA TARATIBU ZOTE HAWEZI KUIKIMBIA NYUMBA YAKE NA KWENDA KWA WAZAZI WAKE NA AKAPOKELEWA TU!mi sijawahi ona hiyo........!yani the moment anafika anaulizwa kilichohappen na anarudishwa the very moment na kama ni usuluhishi utafanywa huko huko!HII HAITAMWANGALIA DADAANGU,MAMAANGU,MWANANGU,AU NANI!wanawake walioolewa watanisaidia hapa