My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

Kwa nini alikubali Mume wa kutafutiwa? Manake sio rahisi mambo yawe hivyo kwa waliokubaliana kuoana kwa hiari na mapenzi yao wawili... Its too early kwa hayo mambo kutokea!! So huyo mume anamfanyia makusudi maana alikuwa hamtaki alilazimishwa na wazazi kama sikosei. Unless otherwise.
 
FL, mwambie dada aanze mbele asijizeeshe bure kwa huyo "mkurya" wa kuchonga!, si unajua tabia haina dawa? huyo habadiliki tena !
 
kuna watu wamepata wake wa kuwachezea kweli, yaani hapana kabisa, kwa mie kama nimeona kabisa cwezi kuishi bila wewe japo ningefikiria kitu cha kukuhuzunisha maisha yako yote, nadhani cjui ningekukata p.u.m.b.u....inaudhi kabisa.

Hiyo sasa ni murder..utaozea jela na akiwahi hospitali akapona anaweza kuwa anakuja kukusalimia akiwa na gari lako lakini amesindikizwa na mrembo aliyejaza nafasi.

havitoshi mkuu wangu!

i mean havinipi justifications kwamba hapo palikuwa na ndoa,na kama ilikuwepo ni ndoa ipi?na kama ni LOVE MARRIAGE tena ya miaka miwili ya mapenzi,huyo mwanamama alishindwaje kujua walau asilimia 40 ya tabia za mumewe ikiwa pamoja na kurudi hm baada ya siku 5?,na inakuwaje anashindwa kuvunja ukimya kwa mtu aliyekuwa bf wake for two yrs?na kama ni ndoa kwa maana ya ndoa ninayoijua ameshindwaje kuwaomba ushauri hata wasimamizi wa ndoa yake?

Kwani ndoa nini Boss? Hoa jamaa walifunga ndoa na wanaishi katika maisha ya ndoa hadi sasa. Tatizo liko kwenye uhusiano wao katika hiyo ndoa. Hakuna mtu anaweza kujitoa hapo (iwe ME au KE) bila kuomba talaka. Vinginevyo watakuwa wazinzi tu.
 
siyo faking.................... nimemaanisha mnayamalizia chumbani, yaani kila mtu anatoka akiwa na roho nyeupe, na amani................ siyo bado hamjayamaliza mnatabasamu tu for sake ya kutabasamu.
wewe nawe... sasa mtu harudi nyumbani siku tano kuna cha kumalizia chumbani hapo?
 
Ndo madhara ya ndoa za kulazimishana hizo, unakutana na mtu anakupa lifti mara namba ya cm, mara urafiki, mara unataka ndoa, humjui wala hakujui, jamani akina dada msijirahisishe hivyo!!! BYTHEWAY, hio Couple they shd understand that, they were meant not to be!!! kama hamjazalishana bado, kimbia mapema sana, nenda kwa pastor mweleze then stand on ur own!
 
kwamba wife wamemchakachua ama jamaa amepanda small haouse?
sasa mimi nasimamia kwenye hiyo bolded part hiyo

kuna KOSA KUBWA SANA ambalo bidada wa festiledi ''amelifanya'' linalopelekea jamaa kutotamani kabisa UNYUMBA!unajua nini........watu hukosana sana lakini ukiona mwanaume AMEKISUSA KITANDA NA UNYUMBA basi moja kwa moja mwanamke ana matatizo
 
Good day all,
Nimejaribu kuwa mwanamke mwema kwa mme wangu , but on every little row we have, he leaves home for 5 days without coming back, when i call he doesnt pik up,neither does he calls. i dont knw whr he sleeps nor eats. & he coms bk later on,no apology, no explanations,even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it. we dnt have a kid yet. & we ar not a yr old in marriage yet!!! pls wives, wot have i done wrg? dont u guys also have rows , i feel like gettin away from him, i cant trust him anymore.i think he doesnt lov me again. pls your advise...

NB;Not me ..huyu mwanamama anaomba msaada wenu kimawazo

Sidhani kama hiyo ni ''fun action''. Jitahidi ujue kwanini ana tabia kama hizo usikae ndani ukaletewa magonjwa. ndoa bado ni changa pole sana.
 
FL, mwambie dada aanze mbele asijizeeshe bure kwa huyo "mkurya" wa kuchonga!, si unajua tabia haina dawa? huyo habadiliki tena !

Hivi anaweza kuondoka bila kupewa Talaka au Notice ya maandishi akikaa huko akapata mwenza mpya wa kumchakachua jamaaa si atarudi fasta kama yule aliyefungua kesi mahakamani anadai mke?:tape:
 
Siku tano bila maelezo ya wapi aliko? No way! Anabadilisha nguo au ni ile ile for 5 days? Ameajiriwa au amejiajiri?

Mkuu ni hatari... Hivi mwanaume unaporudi hom baada ya siku tano nje ya nymba yako na mwanandani wako mpenzi huwa unaingia je ndani?? kinyumenyume?
huwa unasalimia au unapita kama teksi?
hivi huwa unafunguaje mlango au unagonga?

na unapata wapi courage ya kunyanyua kofi?
hivi ukiitwa wewe fyatu utalalama?

kweli kua uyaone

Huyo dada is being abused big time... she needs to reasess herself kama anamtakia mema kweli huyo kaka kwa kumuacha anarandaranda hivyo

The lady need to establish kama jamaa ana ndoa nyingine, maana anaweza hata akafa huko wewe hujui mwisho ndugu wa mume wakauona wewe ndiye uliyeua maana uklitelekeza mume kiasi kwamba hata amekufa hujui whereabouts zake
 
sasa mimi nasimamia kwenye hiyo bolded part hiyo

kuna KOSA KUBWA SANA ambalo bidada wa festiledi ''amelifanya'' linalopelekea jamaa kutotamani kabisa UNYUMBA!unajua nini........watu hukosana sana lakini ukiona mwanaume AMEKISUSA KITANDA NA UNYUMBA basi moja kwa moja mwanamke ana matatizo

kumbe? haiwezeakni ikawa tu mkaka ka mkinai tu., mie ndio mana nahic labda huyu kaka alitafutiwa mchumba na wazazi, yeye akiwa na wake sasa akaona icwe tabu, sas ahivi karudi kwa wake.
 
kaka huyu dada ndio mzembe anajitesa mwenyewe.
huyo dada kuna kitu amefanya mama!.....

wakati mwingine muwe fair jamani!...

why don't you try and investigate ''the other side of life?'',i mean tumwombe festilediwani(OPRAH WA JF) afanye mahojiano na huyo kijana anaekimbia ''unyumba'' nyumbani kwake?
 
Mkuu ni hatari... Hivi mwanaume unaporudi hom baada ya siku tano nje ya nymba yako na mwanandani wako mpenzi huwa unaingia je ndani?? kinyumenyume?
huwa unasalimia au unapita kama teksi?
hivi huwa unafunguaje mlango au unagonga?

na unapata wapi courage ya kunyanyua kofi?
hivi ukiitwa wewe fyatu utalalama?

kweli kua uyaone

Huyo dada is being abused big time... she needs to reasess herself kama anamtakia mema kweli huyo kaka kwa kumuacha anarandaranda hivyo

The lady need to establish kama jamaa ana ndoa nyingine, maana anaweza hata akafa huko wewe hujui mwisho ndugu wa mume wakauona wewe ndiye uliyeua maana uklitelekeza mume kiasi kwamba hata amekufa hujui whereabouts zake

yaani ni shughuli kubwa sana, imefika saa 5 mtu hajatuma sms/call unajiuliza mara mbili mbili na kumcal mfululizo kujua kama kapata tatizo, ijekuwa cku 5 nje?
 
Mkuu ni hatari... Hivi mwanaume unaporudi hom baada ya siku tano nje ya nymba yako na mwanandani wako mpenzi huwa unaingia je ndani?? kinyumenyume?
huwa unasalimia au unapita kama teksi?
hivi huwa unafunguaje mlango au unagonga?

na unapata wapi courage ya kunyanyua kofi?
hivi ukiitwa wewe fyatu utalalama?

kweli kua uyaone

Huyo dada is being abused big time... she needs to reasess herself kama anamtakia mema kweli huyo kaka kwa kumuacha anarandaranda hivyo

The lady need to establish kama jamaa ana ndoa nyingine, maana anaweza hata akafa huko wewe hujui mwisho ndugu wa mume wakauona wewe ndiye uliyeua maana uklitelekeza mume kiasi kwamba hata amekufa hujui whereabouts zake

hahahaha Acid me hata siku moja utafune namna ya kuingia kama kinyumenyume ,unaanza kupiga pushapu kwanza au unakuja kama ulikuwa kwenye mbio za marathon majibu yangu uwe umeandaa :doh:
 
wewe nawe... sasa mtu harudi nyumbani siku tano kuna cha kumalizia chumbani hapo?

wa kwangu hajawahi kuacha kurudi nyumbani hata siku moja, ndo maana hayo mengine tunaweza kuyamalizia chumbani. yeye wake wa kukaa siku 5 nje si ndo maana nimemwambia arudi kwao? kwani alifukuzwa?
 
huyo dada kuna kitu amefanya mama!.....

wakati mwingine muwe fair jamani!...

why don't you try and investigate ''the other side of life?'',i mean tumwombe festilediwani(OPRAH WA JF) afanye mahojiano na huyo kijana anaekimbia ''unyumba'' nyumbani kwake?

sawa baba G...lakini kama kuna kitu amefanya huyu mkaka anahinda kumpa hata dk 10 za maongezi mke wake waongee? sasa watatatuaje tatizo?
 
kumbe? haiwezeakni ikawa tu mkaka ka mkinai tu., mie ndio mana nahic labda huyu kaka alitafutiwa mchumba na wazazi, yeye akiwa na wake sasa akaona icwe tabu, sas ahivi karudi kwa wake.

sasa Luv kama ndo ivo basi hapa kimsingi HAKUNA NDOA>.....hiyo tunaideclare kwamba ni null and void....kama 'amevunja mkataba' so grossly (kulala 'nje' siku tano bila maelezo) nadhani inatosha kumfanya bi dada achape mwendo akaangalie usawa mwingine

by the way quality ya unyumbe ikoje? anafurahia hiyo huduma ama?
 
hawa watakuwa walichaguliwa na wazazi, kama mlitafutana wenyewe na hamkujuana vzr lakini kuna busara za kikawaida tu za ku solve prblms mkaendelea na maisha...btw hakunaga kujuana vizuri kabla hamjaingia ndani,, humu ndio kila kitu, hata mkikaa uchumba wa 110yrs hamtajuana kama mkiingia kwenye game...wewe ukiona kwako kunaungua kwa mwenzio kunateketea, hili game halitabiriki kabisa.

lakini huyu baba amezidisha, hata kama umepata mwingine kuna kuwa na utu tu. hawa ndio waswahili wanasema kalogwa na aliemloga amesha fariki. natamani awe member huku au mpitaji tu aone ulimwengu unavyomshangaa.
 
hakika wanaume ni wabaya kupindukia wakati fulani! Why this to innocent lady! Mie nadhani huyu dada ajipange kivingine kabla halijamchwea
 
kumbe? haiwezeakni ikawa tu mkaka ka mkinai tu., mie ndio mana nahic labda huyu kaka alitafutiwa mchumba na wazazi, yeye akiwa na wake sasa akaona icwe tabu, sas ahivi karudi kwa wake.

Siku zote huwa nasema hapa watu wanaolewa au kuoa kwa kutimiza wajibu imradi na yeye aonekane katika jamii kaoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom