Mmezoea kuingia kwenye boma ya mama mkwe ndo maana mnakula ban.
Nilikuwa nishang'oa mzigo ki- JF JF, ila ban nayo ikaja wakati usio muafaka, nikajikuta nakosa mwana na maji ya moto.
Just show up once mpenzi, halafu nitakuruhusu uende tena, forever!
Umerudi eeh karibu jamvini,hebu tujulishe uzoefu wako kwenye ban...skendo ipi ilikupeleka selo? G.mpolee kaenda shule..kama unataka kugombana na Kawambwa try it!!
ahsante mkuu.
Nimesha-declare interest kuwa sitazungumzia ban yangu kwa sasa, mpaka uzi mwingine uanzishwe. Kwa sasa naomba azungumzwe GM wangu tu.
Sawasawa?