My favourite Tanzanians....

My favourite Tanzanians....

either tunaangalia sana mafia movies au tunasikiliza gangster rap....!!

**kwenye nyekundu natumaini ulikuwa unamaanisha ip address.

which film comes to ur mind????????
Goodfellas??????????

Ooh yes ni ip address......
 
nimesema usitaje wanasiasa.....

Ina maana bubu huna watanzani unaowakubali na sio wanasiasa????????


Sikuelewa Mkuu I am very sorry. Mhhh! naona hili gumu mno maana naona wengi ni mafisadi tu. Ngoja nijaribu kuwakumbuka, naona hapa JF wako wengi sana ambao nawakubali hasa katika vita hivi dhidi ya mafisadi na kutetea maslahi ya Tanzania dhidi ya "Wachukuaji".
 
nakataa, nikiwa primary early eighties palikuwa na chakubanga na alihamasisha mengi kisiasa... Angalia michu leo kamtoa!!! Siamini hata yeye kuwa political cartoonist wa kwanza

kumbuka hata gado alianza kabla ya kipanya wakati akiwa sinza

wewe nawe!

ok how about impact?????????

Au wewe labda unieleze kitu gani negative kuhusu
kipanya......

I mean he is a hero but u cant say he is nothing.....
 
Michuzi ndie muanzilishi wa blog maarufu kuliko zote tz,huoni mchango wake hapo???????????

Watanzania wangapi wanasoma blog ya Michuzi? Na kwenye blog yake kuna nini cha zaidi mbali ya picha na matangazo?
orky84.jpg
 
ok how about impact?????????

Au wewe labda unieleze kitu gani negative kuhusu
kipanya......

I mean he is a hero but u cant say he is nothing.....


i mean he is not a hero......
 
watanzania wangapi wanasoma blog ya michuzi? Na kwenye blog yake kuna nini cha zaidi mbali ya picha na matangazo?

orky84.jpg


hata kama hakuna cha maana
but amesaidia sana watu...
Hasa watanzania wa kawaida....
Kuwa na interest na masuala ya bloggs na website....
Nimesema tena he is not a hero but mchango wake sio mdogo....

Tatizo watu mnapenda kumtazama kila mtu katika
mtazamo mmoja tu....

Mi nikimwangalia michuzi na kiwango chake cha elimu na machango wake au tuseme impact ya ubunifu wake kwa watanzania ni zaidi ya watanzania wengi wenye elimu kubwa sana kumzidi......
 
haya Boss naona unalia sana
haya, Hasheem Thabit, uyo je?
 
Watanzania wangapi wanasoma blog ya Michuzi? Na kwenye blog yake kuna nini cha zaidi mbali ya picha na matangazo?
orky84.jpg

Ha ha ha ha ha Duh! Watu wanoko kweli wameihifadhi hii picha kumtoa nishai Michuzi kila mara watu wanapompa ujiko. Atajuuuuuuta! kwa nini alipiga picha kama hii.
 
haya boss naona unalia sana
haya, hasheem thabit, uyo je?


ok
sijalia
ninachosema
je hakuna watanzania tanaowakubali kwa wanayoyafanya
kwenye maeneo yao????

Mashujaa wetu ni wanasiasa tu??????
 
ok
sijalia
ninachosema
je hakuna watanzania tanaowakubali kwa wanayoyafanya
kwenye maeneo yao????

Mashujaa wetu ni wanasiasa tu??????

Peter Tino aliyetupeleka Nigeria mwaka 1980 kama sikosei katika Fainali zetu za kwanza za kombe la Mataifa ya Afrika na ile timu nzima. Nilikuwa naufuatilia ule mchezo redioni na alipofunga goli ilikuwa ni furaha kubwa sana kwa Watanzania wote. Filbert Bayi, Suleiman Nyambui, Juma Ikangaa na wana michezo wengine ambao walipandisha chati Tanzania katika Ulimwengu wa michezo.
 
ok how about impact?????????

Au wewe labda unieleze kitu gani negative kuhusu
kipanya......

I mean he is a hero but u cant say he is nothing.....

Sikumbuki kusema kipanya is nothing, nilichopinga ni kusema he was the first political cartoonist

we have different opinions here but its ok as long as there is no offense!!
 
Hivi watanzania gani ambao sio wanasisa wala viongozi ambao tunaweza kusema wemeifanyia nchi makubwa...au tunaweza sema

Ni watanzania ambao tunawapenda na kuwakubali kwa wanayoyafanya....

Mi nawa nominate watu hawa...

Michuzi
JamiiForums
Lundenga
Clouds FM
TCCIA
IPP Media
Azaki
Kipanya

wengine mnaweza wataja.....
rekebisha iwe dar es salaam sio tanzania!
 
Erasto B. Mpemba of "The Mpemba Effect"

[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Mpemba_effect[/ame]

[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Mpemba_effect"]http://en.wikipedia.org/wiki/Mpemba_effect[/ame]
 
Back
Top Bottom