My favourite Tanzanians....

My favourite Tanzanians....

teh teh teh si n'chezo inategemea n'ntu na n'ntu

nimekaa kimya kwa kuwadharau now mnaona nimewaogopa
so be very carefull kama unajua maana ya ip no
basi ujue nitakushika na utajuta kuzaliwa...
All i need is one phone call and you punk can be history.......
 
Hehehehe mzee kamkamate ze utamu kisha mtafute Fidel80 unanitishia Nyau naweza nikakupa namba zangu na usinifanye kitu hunijui sikujui kama umechukia jipotezee mazee.
 
hehehehe mzee kamkamate ze utamu kisha mtafute fidel80 unanitishia nyau naweza nikakupa namba zangu na usinifanye kitu hunijui sikujui kama umechukia jipotezee mazee.

we will see....
I am a man of few words.....
 
nimekaa kimya kwa kuwadharau now mnaona nimewaogopa
so be very carefull kama unajua maana ya ip no
basi ujue nitakushika na utajuta kuzaliwa...
All i need is one phone call and you punk can be history.......

Bosi kama uneichukulia personal samahani, i didnt mean anything personal; but i wouldnt go for Lundenga [dalali wa ukahaba] wala mkipanya [for no reason]

enjoy your thread
 
Hivi watanzania gani ambao sio wanasisa wala viongozi ambao tunaweza kusema wemeifanyia nchi makubwa...au tunaweza sema

Ni watanzania ambao tunawapenda na kuwakubali kwa wanayoyafanya....

Mi nawa nominate watu hawa...

Michuzi
JamiiForums
Lundenga
Clouds FM
TCCIA
IPP Media
Azaki
Kipanya

wengine mnaweza wataja.....

Hapo kwenye nyekundu kuna mushkeli kidogo... lakini kama MTM alivyosema hayo ni maoni yako. Naomba unitajie vitu vitano vikubwa ambavyo hawa waungwana wamevifanya.
 
bosi kama uneichukulia personal samahani, i didnt mean anything personal; but i wouldnt go for lundenga [dalali wa ukahaba] wala mkipanya [for no reason]

enjoy your thread

mimi na wewe ni peace tu my friend...
Sijachukia lolote.
Actually nimefurahia mchango wako humu...

Kuhusu lundenga ni kweli ana matatizo hayo but industry imekuwa kubwa i mean vodacom wanatoa one bilion tsh kwenye urembo huwezi sema lundenga hajacchangia mafanikio hayo.
 
hapo kwenye nyekundu kuna mushkeli kidogo... Lakini kama mtm alivyosema hayo ni maoni yako. Naomba unitajie vitu vitano vikubwa ambavyo hawa waungwana wamevifanya.

kipanya ana mchangi mkubwa kwenye katuni zake..
Usisahau yeye ndie first political cartoonist tanzania.

Kwenye vipindi vya tv

atleast watanzania wanaweza kutazama ubunifu wake na wakacheka au kufurahi....

Remember nimesema favourite na sio hero....
 
mimi na wewe ni peace tu my friend...
Sijachukia lolote.
Actually nimefurahia mchango wako humu...

Kuhusu lundenga ni kweli ana matatizo hayo but industry imekuwa kubwa i mean vodacom wanatoa one bilion tsh kwenye urembo huwezi sema lundenga hajacchangia mafanikio hayo.

Kama nilivyosema yeye ni dalali wa ukahaba...

  • Voda wanaochangia hiyo hela kuna interest za watu fulani mazee, lakini pia wanatumia mashindano kama bango la matangazo
  • kuna ufisadi mkubwa sana hapo kuhusu hao mabinti, siwezi sema mengi lakini private [hidden sponsors] ni wengi zaidi, its is more of abuse than..******
  • Ukija kwake mwenyewe, unajua tabia yake halisi???
  • Kwa kipanya sidhani kama amefikia kuwa role model

Lakini hii ni thread yako na unajua kwanini ulianza na hao hapo na kuacha wengine wazito kwa taifa letu
 
Michuzi ndie muanzilishi wa blog maarufu kuliko zote tz,huoni mchango wake hapo???????????
 
kipanya ana mchangi mkubwa kwenye katuni zake..
Usisahau yeye ndie first political cartoonist tanzania.

Kwenye vipindi vya tv

atleast watanzania wanaweza kutazama ubunifu wake na wakacheka au kufurahi....

Remember nimesema favourite na sio hero....

Nakataa, nikiwa primary early eighties palikuwa na chakubanga na alihamasisha mengi kisiasa... angalia michu leo kamtoa!!! Siamini hata yeye kuwa political cartoonist wa kwanza

Kumbuka hata Gado alianza kabla ya kipanya wakati akiwa sinza

wewe nawe!
 
kama nilivyosema yeye ni dalali wa ukahaba...

  • voda wanaochangia hiyo hela kuna interest za watu fulani mazee, lakini pia wanatumia mashindano kama bango la matangazo
  • kuna ufisadi mkubwa sana hapo kuhusu hao mabinti, siwezi sema mengi lakini private [hidden sponsors] ni wengi zaidi, its is more of abuse than..******
  • ukija kwake mwenyewe, unajua tabia yake halisi???
  • kwa kipanya sidhani kama amefikia kuwa role model
lakini hii ni thread yako na unajua kwanini ulianza na hao hapo na kuacha wengine wazito kwa taifa letu

actually mimi pia nilikuwa na msimamo kama wako...

But think about it.
Kuna watu wangapi wana abuse wanawake hapa tanzania kwenye nafasi zao....???
At least lundenga kama anawa abuse ni wale wanaokubali
i mean wana uhuru wa kukataa...
All in all siamini kwamba unahitaji kuweka bilioni moja ili
tu utembee na wasichana wengi wa kitanzania....
Wapo watu wana abuse wasichana na hawatoi hata shilingi umenipata?????????
 
Halafu mkisoma vizuri nimesema ni nawa nominate......i mean sijawachagua but napendekeza muwajadili so go on....
 
Abuse ni abuse, period!!!! Huwezi sema huyu ni bazazi poa, huyu sio...
 
Halafu mkisoma vizuri nimesema ni nawa nominate......i mean sijawachagua but napendekeza muwajadili so go on....

Nomination ikishakuwa soo basi hata yatokanayo huenda hivyohivyo
 
so be very carefull kama unajua maana ya ip no
basi ujue nitakushika na utajuta kuzaliwa...
All i need is one phone call and you punk can be history.......

we will see....
I am a man of few words.....

Either tunaangalia sana Mafia Movies au tunasikiliza Gangster Rap....!!

**Kwenye nyekundu natumaini ulikuwa unamaanisha IP Address.
 
abuse ni abuse, period!!!! Huwezi sema huyu ni bazazi poa, huyu sio...

sasa mbona hiyo abuse haipo oficiall??
Nani alilalamika wapi????????
I mean huwezi kwa kuwa kuna malalamiko yasiyo rasmi basi
tunhukumu kuwa ni bazazi hata kama kwa rasmi tunaona kazi yake ina manufaa....
 
Mwalimu Nyerere
Mr.Reginald Mengi
Dr. Slaa
Mr E. Sokoine
 
Back
Top Bottom