Sababu nimeshaijua mwali, take it easy and chill down...Ila kuna watu sijui akili zao zipoje
They’re trying to provoke me kwa sababu mnazozijua nyinyi
Poleni sana.
Take it sissy n ignore them..SIMPLE!Ila kuna watu sijui akili zao zipoje
They’re trying to provoke me kwa sababu mnazozijua nyinyi
Poleni sana.
Take easyYaah nimeona watu wanatafuta any ways za kuconect dots
Nawapa pole kwa kweli
They’re too low.
Akili za wengi ambazo hazisaidii chochote bali ni unafiki mkubwaHaya mashimo tunafukua ni ya nini?
Achana Nao Hawajielewi wasikutoe kwenye Mstari Wewe Ni Shujaa....Yaah nimeona watu wanatafuta any ways za kuconect dots
Nawapa pole kwa kweli
They’re too low.