hornet

  1. Tayukwa

    Natafuta soko la kuuza konokono na jongoo wa shambani

    Rejea na somo hapo juu, nahitaji msaada wa kupata soko la mtu mmoja mmoja au kampuni ambayo inaweza kununua konokono na jongoo wa shambani na sio wale wa baharini. Ukinisaidia kupata soko utakuwa umenisaidia sana. Soko liwe ndani au nje ya Tanzania.
Top