My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
hakuna kitu kinachoitwa HIV ni propaganda tu za wazumgu.fanya mambo uako endelea na maisha yako usije ukadanganyika ukaingia kwenye mtego wao wa kuw mteja wa kudumu wa vile vidonge
Deception
wew huwa unaelewa anavoviandika huyo jamaa? sijawahi kumwelewa.
 
Kwa miongozo inayotumika sasa hivi ukipima na kukutwa na maambukizi unaanza dawa haraka iwezekanavyo baada ya kufanyiwa vipimo vya viral load, CD4, liver and renal profiles pamoja na full blood picture, imekuwaje wewe hukupitia utaratibu huu?
Inashangaza.
 
Habari zenu wote?

Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno. Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,

Majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno. Nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.

Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.

My take ;
Usimpime mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.

#lets stay positive.
Baba wa watu USHAMUUUA Maskini dah...

Anyway UHAI NI BORA ,NA USHAURI WA DAKTAR NI BORA ZAID ILI KULINDA AFYA.]
Screenshot_20200929-015423.jpg

2017

View attachment 1583992
 
Nakupa pole Hornet si kwa sababu umepata HIV bali ningekupa pole hata ungesema unaumwa malaria!!!

Sote tuliochangia mada hii am certain we already had a higher probability, hata ya 100% ya kupata HIV kama wewe sema tu ndo vile sio kila anayeng'atwa na mbu kesho ataamka na malaria... it's just a matter of chance or probably lucky!!

And guess what... I won't say "stay strong" ila tu nitasema keep staying strong coz' I know tayari unaishi strong ndo maana umeweza kutoa ushuhuda hapa JF kwa kutumia ID yako ile ile tunayoijua sote jambo ambalo si la kawaida!!

Nimezoea kuona JF, watu wakidhani wanatua mzigo kwa jambo lililowakaba kohoni lakini wanafanya hivyo kwa kufungua new unknown ID!!

Huwezi kutua mzigo kwa kutumia unknown fake ID!!
 
Wewe ni tatizo kwa jamii! Na hapa chini umesema nini:-
Btw, nini kilikusukuma kufukua threads zake za nyuma?! Ulikuwa unajaribu ku-verify nini hasa?!

Man, I hate to say this but to be honest, your soul is fake!!
Thank you.
 
Mm sijamchukia ila nilimwambia nampenda,ila wewe unasema unanichukia kwa hoja tu,wakat hunifaham au namfaham vipi, mpk unaenda mbali kusema my soul is fake,that's ridiculous.Your soul is too weak.Thanks though kwa Ku re-quote
 
Wapi nimesema "nakuchukia"?! Na wapi nimesema umesema unamchukia?!

Nasema your soul is fake kwa sababu mtu umemwambia kabisa kwamba amemuua mumewe halafu unajifanya kukana!! Na kama hiyo haitoshi, bado unaenda kufukua threads zake za nyuma ili kujaribu kuhusisha thread husika na kuathirika hapo kwake na hapo hapo unajifanya kusema unampenda baada ya kukuuliza unajuaje kwamba hajaambukizwa na mumewe!!

So, it might be ridiclous or my soul is weak but I repeat, your soul is fake kwa sababu umejaa unafiki! Huwezi kumtuhumu mtu kumuua mumewe halafu anakuuliza una uhakika gani, hapo hapo unakana na kudai unampenda!!
 
Watu wanasema tuu, eti ukimwi ni kama malaria lkn kukubaliana na ugonjwa huu sio rahisi kihivyo
Mkuu hongera kwa ujasiri huu, mie nilimuamin mtu akanifanyia ndivyo sivyo, nilikaa mwaka mzima naogopa kupima

Mwezi uliopita nimepima nipo negative, nikamtumia msg pamoja na yote nashukuru hukunipa ukimwi 😃😃😃😃
Sasa hivi akili imenikaa sawa.
Tusipimane kwa macho
Jamaa alikula kavu sio?!
 
Wapi nimesema "nakuchukia"?! Na wapi nimesema umesema unamchukia?!

Nasema your soul is fake kwa sababu mtu umemwambia kabisa kwamba amemuua mumewe halafu unajifanya kukana!! Na kama hiyo haitoshi, bado unaenda kufukua threads zake za nyuma ili kujaribu kuhusisha thread husika na kuathirika hapo kwake na hapo hapo unajifanya kusema unampenda baada ya kukuuliza unajuaje kwamba hajaambukizwa na mumewe!!

So, it might be ridiclous or my soul is weak but I repeat, your soul is fake kwa sababu umejaa unafiki! Huwezi kumtuhumu mtu kumuua mumewe halafu anakuuliza una uhakika gani, hapo hapo unakana na kudai unampenda!!
Tafuta hela uondoe msongo wa hasira,ili uelewe kuwa unaweza kumpenda mtu na ukamwambia ukweli mchungu.Nmemaliza
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom