Mkuu naomba kuuliza nawezaje kuedit thread title?? au haiwezekani kufanya hivyo??Ndugu wadau wa Jukwaa pendwa la Matangazo Madogo,
Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara ndogo ndogo.
Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa kuzingatia vigezo vya kuweka matangazo yao hivyo kupelekea matangazo yao kuondolewa hewani.
Yafuatayo ni masharti na vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo lako;
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.
- Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
- Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
- Taja bei
- Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.
- Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
- Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Karibuni kwa maswali na ufafanuzi zaidi..
Hiyo sababu uliyoitaja ipo kinyume na sheria za JF. Adhabu yake ndio hiyo(Ban)Naomba ufafnuzi wa hili "You have been banned for the following reason: We do not allow Spamming and Hotlinking[OFA YA MWEZI: Jipatie Website kwa Bei Nafuu!!!" hiyo ni akaunti ya jama microsafi imefungwa
JamiiForums Rulesje adhabu inaisha lini, na naomba kujua hiyo sheria sijaielewa
Swali langu kuna akaunti ya jamaa microsafi imefungiwa kwasababu ya hot link ya matangazo, je lipoje ili nimfikishie
pia huo uzi wa zamani unaupataje, kwani unakuta umepost wiki imepita
Naomba ufafnuzi wa hili "You have been banned for the following reason: We do not allow Spamming and Hotlinking[OFA YA MWEZI: Jipatie Website kwa Bei Nafuu!!!" hiyo ni akaunti ya jama microsafi imefungwa
Mkuu naomba kuuliza nawezaje kuedit thread title?? au haiwezekani kufanya hivyo??
Hiyo namba 2 na 3 ndo pasua kichwa kwa makanjanja, utaletaje tangazo bila bei, ikiwezekana muwapige ban kabisaNdugu wadau wa Jukwaa pendwa la Matangazo Madogo,
Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara.
Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa kuzingatia vigezo vya kuweka matangazo yao hivyo kupelekea matangazo yao kuondolewa hewani.
Yafuatayo ni masharti na vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo lako;
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.
- Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
- Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
- Taja bei
- Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.
- Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
- Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Karibuni kwa maswali na ufafanuzi zaidi..
Pia naomba kuuliza baadhi ya matangazo licha ya kuwa yamekidhi vigezo huwa yanafutwa, ni kwanini na ukiangalia katika uzi husika hulikuti
kwahyo kama nikitaka kuchange thread title naweza kuwaona moderators??Ni moderators pekee ndiyo wenye uwezo wa kufanya hivyo. Wapo online, watumie ujumbe kueleza suala lako.
Je, una swali lolote kuhusiana na Jukwaa la Matangazo?
Karibu..
Ndiyo mkuu. Sahihi.kwahyo kama nikitaka kuchange thread title naweza kuwaona moderators??
Mathalani, Tangazo langu na taka kulirejea wiki nzima yaani kwa siku mara 1, je uzi ule niliotumia naweza kuupataje
Asante sana mkuu.Ndiyo mkuu. Sahihi.
HahhaaaaAsante mkuu ila twende hilo jukwaa husika tujadili pliz.