MWONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!

nal young

nal young

Member
Joined
May 27, 2019
Messages
12
Points
195
nal young

nal young

Member
Joined May 27, 2019
12 195
brand new tecno spark 3pro for sale

CPU: Quad-core 2.0 GHz
RAM: 2 GB
Storage: 32 GB
Display: IPS LCD, 6.2 inches
Camera: Dual 13 MP, 2 MP
OS: Android 9.0 (Pie)
bei 290,000tsh
ipo kwenye warranty mwaka mmoja na mwezi mmoja no 0738929307
img_3587-jpg.1122451
 
S

Slimmyweezy

Senior Member
Joined
Nov 1, 2014
Messages
170
Points
225
S

Slimmyweezy

Senior Member
Joined Nov 1, 2014
170 225
Smartphones and accessories
Glass protectors
~5D tempered glass protector for all iphones 10000tsh
~ 5D glass protector for all samsung
Price 8000
~ 2.5D glass protector(Normal) for all phones tecno,samsung,iphone,
Price 2500tsh

0753063142, 0653316087, 0687418839
Whatsapp 0687418839
All accessories are original 100%
Location Mlimani city
 
VMD

VMD

Member
Joined
Jan 3, 2017
Messages
14
Points
45
VMD

VMD

Member
Joined Jan 3, 2017
14 45
*BIG Offer*

32GB FLASH DISK FOR TSh. 20,000

Pata Flash disk yenye uwezo wa kusoma kwenye Laptop, TV, Radio etc kwa bei nafuu ya 20,000 kwa uwezo wa 32GB

Brand: DM PD076

Location : Near Mkuki House, Gerezani - Kariakoo


Bei:

32GB - 20,000

Call/Text/WhatsApp
0742968517


Follow us on Facebook and Instagram : @dmlifestore
View attachment 1004152View attachment 1004153
Vipi Mkuu naweza pata hiyo flash ya DM?
 
Clearing Agent

Clearing Agent

Member
Joined
Jun 28, 2019
Messages
11
Points
95
Clearing Agent

Clearing Agent

Member
Joined Jun 28, 2019
11 95
Ndugu wadau wa Jukwaa la Matangazo Madogo,

Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara.

Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa kuzingatia vigezo vya kuweka matangazo yao hivyo kupelekea matangazo yao kuondolewa hewani.

Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
  1. Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
  2. Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
  3. Taja bei
  4. Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.
  5. Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
  6. Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.

Kuna baadhi ya matangazo hayaruhusiwi kabisa JamiiForums. Mfano matangazo ya kurasa za Blogs, Facebook, Instagram, Twitter au mtandao wowote yataondolewa mara moja.

Karibuni kwa maswali na ufafanuzi zaidi..
Habari, Mimi ni mgeni kidogo huku na natumia mtandao huu kutangaza biashara yangu ya clearing and forwarding sasa sijajua nafanyaje kuongezea details kwny tangazo la zaman ili tangazo lisipostiwe mara kwa mara , pia je siruhusiwi kuonesha biashara yangu inatumia majina gan ktk mitandao mingine km Instagram? Ili kuonesha uhalali wa biashara na kumfanya mteja asihisi ni matapeli!!!. Asanteni
 
Shmaider HK Kitama

Shmaider HK Kitama

New Member
Joined
Jul 6, 2019
Messages
4
Points
20
Shmaider HK Kitama

Shmaider HK Kitama

New Member
Joined Jul 6, 2019
4 20
Namashaka na biashara za mtandaooni
 
Mbela95Fioso

Mbela95Fioso

Member
Joined
Dec 31, 2018
Messages
32
Points
95
Mbela95Fioso

Mbela95Fioso

Member
Joined Dec 31, 2018
32 95
IPHONE 6

STORAGE 64GB

BRAND NEW

FULL BOXED

SPACE GREY

TSH 450,000/=

12 MONTHS WARRANTY

0714 981607
0758 294766
20190623_125608-jpeg.1150384
20190623_125547-jpeg.1150386
 

Forum statistics

Threads 1,314,983
Members 505,127
Posts 31,844,456
Top