MWONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!

KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
738
Likes
693
Points
180
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
738 693 180
NIliweka tangazo juu ya huduma za mikopo zinazotolewa na kampuni yetu kwa watumishi wa umma
nilieleza kwa upana na uhalisia pasipo kuficha jambo lakini uzi ukafutwa mara zote
hadi nikwa burned kwa mda
sasa naomba kuuliza kwanini tangazo lilifutwa?(na nimeona mnasema matangazo ni bure)
Na kama nahitaji liwekwe nifanye nini?
 
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2018
Messages
4,471
Likes
6,653
Points
280
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2018
4,471 6,653 280
Tumeshaeleza kwenye maelezo ya Jukwaa pale chini kwamba JamiiForums haihusiki na mauziano yanayofanywa bila kutushirikisha.

Ni vyema muuzaji na mnunuzi wakawa makini wanapoafikiana kufanya biashara.

Asante.
Naomba kufahamu hili

Nilipost Tangazo kwenye account yangu ya yna12 nikasahau password. .je!naweza post Tangazo kwenye account hii?
 
uta

uta

Member
Joined
May 1, 2012
Messages
58
Likes
24
Points
25
uta

uta

Member
Joined May 1, 2012
58 24 25
Ndugu wadau wa Jukwaa la Matangazo Madogo,

Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara.

Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa kuzingatia vigezo vya kuweka matangazo yao hivyo kupelekea matangazo yao kuondolewa hewani.

Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
 1. Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
 2. Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
 3. Taja bei
 4. Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.
 5. Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
 6. Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.

Kuna baadhi ya matangazo hayaruhusiwi kabisa JamiiForums. Mfano matangazo ya kurasa za Blogs, Facebook, Instagram, Twitter au mtandao wowote yataondolewa mara moja.

Karibuni kwa maswali na ufafanuzi zaidi..
asante
 
madindigwa

madindigwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Messages
574
Likes
461
Points
80
madindigwa

madindigwa

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2017
574 461 80
Ndugu wadau wa Jukwaa la Matangazo Madogo,

Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara.

Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa kuzingatia vigezo vya kuweka matangazo yao hivyo kupelekea matangazo yao kuondolewa hewani.

Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
 1. Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
 2. Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
 3. Taja bei
 4. Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.
 5. Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
 6. Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.

Kuna baadhi ya matangazo hayaruhusiwi kabisa JamiiForums. Mfano matangazo ya kurasa za Blogs, Facebook, Instagram, Twitter au mtandao wowote yataondolewa mara moja.

Karibuni kwa maswali na ufafanuzi zaidi..
Asante mkuu kwa muongozo ila mimi nimeanzisha uzi nauza vifaa vya kielecronic nikaweka no zangu mbili za simu 0712525280 0785970087 nikaweka bidhaa nazo uza nikataja na eneo napo patikana na cjaanzisha uzi zaid ya mmoja ila Post yangu imefutwa tatizo nn hapo mkuu nifahamishe
 
SmitiSadat

SmitiSadat

Member
Joined
Dec 12, 2018
Messages
26
Likes
15
Points
5
SmitiSadat

SmitiSadat

Member
Joined Dec 12, 2018
26 15 5
Ninetaka kuendeleza kwenye uzi nilioanzisha nikashindwa nafaje ili niendeleze pale pale
 
MWALIM WA KIJIJINI

MWALIM WA KIJIJINI

Member
Joined
Aug 22, 2013
Messages
49
Likes
38
Points
25
Age
31
MWALIM WA KIJIJINI

MWALIM WA KIJIJINI

Member
Joined Aug 22, 2013
49 38 25
Ikkkmk
NIliweka tangazo juu ya huduma za mikopo zinazotolewa na kampuni yetu kwa watumishi wa umma
nilieleza kwa upana na uhalisia pasipo kuficha jambo lakini uzi ukafutwa mara zote
hadi nikwa burned kwa mda
sasa naomba kuuliza kwanini tangazo lilifutwa?(na nimeona mnasema matangazo ni bure)
Na kama nahitaji liwekwe nifanye nini?
O
 
Forum statistics

Threads 1,250,501
Members 481,371
Posts 29,735,802