Kwani mtu akiwa tiss Ni lazima awe muovu na muuaji au roho mbaya?
Mungu anaweka watu wake popote
Umemaliza mkuu Bora umemwambia ukweli huyu kilazaHuna Akili kumfananisha Mwalimu Mwakasege na huyo Mtume Wenu ni sawa na Kumfananisha Lionel Mwakasege Messi wa PSG FC ( France ) na Clement Mwamposa Mzize wa Yanga SC ( Tanzania ) sawa?
Una majungu ya kike weweNilimsikia kwenye ile semina ambayo aliifanya kabla hajaenda Dar juzi Kati.
Nimesema anamponda Mwamposa kwà siri sana...bila kumtaja but kwà kutaja mambo anayoyafanya....anatumia akili kubwa sana kuingiza mabango yake kwà waumini wake ili wasiende kwà Mwamposa...aka the BULLDOZER
Kwa hiyo kuna uhusiano gani kati ya Yesu kugeuza maji kuwa divai na keki ya upako?Yesu alibadiri maji kuwa divai...hapo vipi?
Jamaa anafundisha kweli ya Mungu ( experience )
Mwakasege yeye anafundisha kweli ya Neno ( History )
And remember, experience is the best teacher.
Sijabisha....lakini ukweli ni kwamba ukweli uliomo kwenye Neno la Mungu hauwezi kamwe kukuweka huru..., Ukweli unaoweza kukuweka huru ni ule utokao kwà Mungu mwenyewe live...., Sio ule wa kwenye kitabu chake...
Siku ukijua tofauti Kati ya Holy Spirit na Holy Ghost, then hapo utajua Kati ya Mwakasege na Mwamposa...nani anatumia Holy Spirit na nani anatumia Holy Ghost
So kumbe mnakubali kuwa jamaa ni mtu ambae anawapa ukweli wa kwenye vitabu...ambao mtu yeyote anaweza kujifungia akasoma na akaupata tu kirahisi? Acheni uvivu...
Tafuteni Ufalme wa Mungu na haki zake....mtaijua kweli kutoka kwenye sauti yake. Hata mkisikia yeyote mwenye sauti ya Mungu mtajua anachokisema ni kweli.
Mwalimu wa SHERIA au sio? Kama wale viongozi wa dini waliowaconvis waumini waseme YESU asurubiwe......#Teachers of the Laws.....ambao walikua hawajui hata kuzaliwa mara ya pili maana yake nini....
Wewe una shida na Mwl. Mwakasege. Mwakasege ana focus. Umetumwa wewe.Hahahahahah Mwakasege bana.....
Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwà waumini wake kisirisiri......afu akimaliza anawaomba sadaka.
Kuna siku nilimsikia akisema...siku akitoa somo la birthdaycake..watu watashangaa sana....akasema ni mambo ya giza na ya ajabu sana...afu baada ya hapo akachomekea...watoe sadaka....nikabadiri kabisa na chanel yake...
Hivi mnapata nini kuchonganisha waumini? Mbona Mwamposa huwa hawasemi vibaya kama mnavyomsema?
Sema nini....sio case...Mwamposa anaupiga mwingi sana...mtasubiri saaaaana!!!
Kama mmenielewa semeni ..." AYAYAYA!!!!"
Hili nalo naunga mkono. Huwezi kuwafananisha hawa watuUnafananisha vitu 2 tofauti, hao ni watu wanaotumikia falme 2 tofauti kaka...
Neno la Mungu litasimama. He is the alpha & the omega, the beginning & the end, the first & the last...
Hata leo mitume na manabii wanaendelea kuzaliwa.
Usijifunze kwà kutumia Akili zako au kwà kupitia youtube.....utapotea bob!
ACHA KUKARIRI ANZA KUAMINI na Amini ya kwamba Mtume Mwamposa atakufungua kwà jina la YESU..., sema AYAYAYA!!!
🤣🤣🤣🤣🤣Hawa jamaa nivichekesho Sana mkuu😅😅😅😅Mtume anafungua hoteli inauza pombe?
Muujiza hata wacahwi wa misri walitengeneza nyoka mbele ya Musa achana na miujiza fake hiyo ya mafuta hadi inaua watu angalia neno la Mungu kwanza kwanini utumie viambatanishi kwani jina La Yesu halitoshi?Vipi kuhusu nyomi? Check la Mwamposa....daah kama la Yesu kabisa yani!
Nani mtenda miujiza?? Utasikia watu " YESU"
Na wewe nasema pokea watoto mapacha!!!! AYAYAYA!!!!
🤣🤣🤣🤣Mbona ndoa ilimshinda?. Ajifungue yeye kwanza.
Hizi story kitambo sana
Je,umeokoka?
Yesu ni Bwana na Mwokozi kwako?