Kwenye Hii Issue UDINI lzm UWEPO.
Majizi wote hapa Kwanza wana majina ya WAKRISTO.
Na ndani ya Hio LIST WAMO MAPADRI.
Sasa PADRI AKIIBA we utasemaje hapo?
Mi Nasema PADRI KAIBA!
We km Utamuita MTAKATIFU JOSEPH ni Juu yako.
Kwangu mimi MWIZI abadan Hawezi kuwa mtakatifu wala Mtakatisa!
View attachment 205383
Soma LIST Ya VIBAKA hio Uone mwenyewe Kina baba
Ntuzu na baba
Mkuu wa chuo walivyojaa humo.
YAANI ni wala Viti moto kwenda mbele.
Askofu Method Kilaini kachukwa milioni 80
Askofu Eusebius Nzigir kachukuwa milioni 40.
Ntuzu msabato bado ANAPIGA VIGELEGELE!
WAKRISTO wametuibia jamani!
Tunataka Serikali Iwaweke Ndani Wanyama hawa wasio na Huruma Na taifa letu.
Matumbo yao YAPASUKE was Kula vya HARAMU.
Sema Amen. Km wewe unaitakia Mema Nchi Yako TZ.