Mwizi no 1 wa ESCROW huyu hapa

Mwizi no 1 wa ESCROW huyu hapa

kahtaan you are so brainwashed...!!!

Damn right you are!
Ma brain is washed and Is clean like a shining glass.

How about yours mshana jr is it Still Dirty? Full of Pig manure?

I can wash 4 u! For free!
So what are you waiting for!
 
Last edited by a moderator:
Ukibishana na mpumbavu watu watashindwa tofautisha nani mpumbavu kati yenu! Hivyo, endapo unabishana na mpumbavu, kaa kimya, ili watu wakiwaona, wamtambue kiurahisi kuwa ni yeye!! Ni hayo tu.
 
hahahahahah kahtaan inabidi akomae na ka duka kake achome chome vi udi, asubiri na wateja wa kuwapigia falaq, akombe kombe na vile vi michango vya wenzake ili aje awakomeshe na wagalatia kwenye mitandao, yeye na mwenzake gavana, maana wenzao ndio wanawaamia ati hawa ndio viboko ya wagalatia...

Awasubiri na wateja wake wa al badr na visomo, sijui kama hata huko ulaya anapata wateja maana wazungu sidhani kama wana huo ujinga, yeye akomae na kuogesha vikongwe tu huko... Mambo ya siasa za tanzania aachane nazo tu...


roho mtakatifu anawaongoza mpaka kwenye kuiba ??? Tunasubiri roho mtakatifu aje kuwasaidia kwa lugha tofauti tehtehteh
 
Imejulikana leo kuwa singasinga huyu kwa kushirikiana na viongozi wetu ndio mwizi no moja
 
ASKOFU WAWILI na MCHUNGAJI 1 Wameiba MALI za Wananchi wa NCHI YAKO.

We ulitaka Niandike Vipi wakati Mpaka ACCOUNT ZAO kwenye Hio Benki ya KANISA zimeandikwa

Askofu Method kachukwa milioni 80

Askofu Eusebius Nzigir kachukuwa milioni 40.

MCHUNGAJI Alphonso Twimman kachukua Mil 40.

HAWA NI VIONGOZI wa UKRISTO.
Full stop.
Na WAMEIBA kwa Kupitia huo huo UKRISTO.
Vipi Unasema Tusitaje DINI YAO wakati Wao wenyewe Ndio WAMEITUMIA KUTUIBIA??

Waambie Warudishe Pesa za Wananchi.
Hivi hayo MAKANISA bila wizi Hayawezi Kwenda?

Mbona Mnakuwa Wagumu Kuelewa?
Kanisa Halina Mikono ya Kuiba. Bali Viongozi wake ndio WEZI.
Na Kwa Tafsiri ya Wakristo Wenyewe KANISA sio JENGO bali Ni MTU.
Kwa maana hio basi HAPA MAKANISA YAMETUIBIA!
Au hawa kina Mkuu wa chuo cha machizi na Huyu Msabato Mficha wezi Ntuzu au wale kina dada Telefunken aka TanzaniaLaw au Paroko Eiyer n.k Leo Watakataa kuwa maana zao za KANISA sio MTU TENA?

manake Kuwa Mgalatia Lzm Uwe na tabia Km Ya KINYONGA.

NO Offence pal.
Bogus reply.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom