Mwizi no 1 wa ESCROW huyu hapa

Mwizi no 1 wa ESCROW huyu hapa

MPAA eaven on Earth;11213676]Haaaa Mpwa huo mgao sikupata Mpwa....

Nimekumiss mpwa[/QUOTE]

Ujanimiss kamamimimpwawangu

Mpwa
 
Mkuu mshana jr, aliyemfuatia huyu kwa karibu ni mwizi namba mbili, Tumbili.

Impact ya uwajibishwaji itakuwa ndogo kwakuwa ndani ya system hata wale tuliokuwa tunadhani wana afadhali kidogo kumbe ndio vinara

Na kwakweli kama bunge litaweza kusimama kidete na kuchukua maamuzi magumu kabisa nchi itatikisika manake kirusi kimekula hadi mfupa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mpaka sasa sijalewa nani kaibiwa na nani ni mwizi katika hii kashfa ya escrow. Kitu nasikia kuna watu wamepokea mabilon pasipo sababu za malipo hayo
 
Mpaka sasa sijalewa nani kaibiwa na nani ni mwizi katika hii kashfa ya escrow. Kitu nasikia kuna watu wamepokea mabilon pasipo sababu za malipo hayo

Na ndio drama inaanzia hapo
 
Kwanini ume publish ona sasa hadi presha imenipanda mshana
 
Last edited by a moderator:
Najiuliza sana jamani, Hivi haya yanayotokea hapa kwetu yanatokea hata nchi zingine? Mbona nchi hii inakuwa kama nchi ya kusadikika? Nagikiri hivi karibuni tutaingia kwenye rekodi ya nchi yenye maajabu ya kiutawala na utendaji duniani. Watu wachache wanapiga mihela mingiiii halafu hakuna hatua zozote zinazoweza kuchukuliwa dhidi yao. Ee Mungu tufungue macho sisi watanzania tuyaone haya.
 
Naam naona umeniita. Kuna nini tena Hapa?


Ngoja nimuite msabato mwenzake hapa aje atusaidie.
Mi basi nikadhani WASABATO waungwana Kumbe wao na Wakatoliki baba mmoja Mama wawili!..duhh!

Calling Ntuzu mwana wa Mkuu wa chuo cha machizi ibn paroko mpenda makalio Eiyer.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom