Na MUONGO namba moja na mzushi aliyebobea ni wewe unayejiita mshana jr...
Wakati mnanyanganywa mnaangalia tu, au mlikuwa mmefungwa kamba!? ndio maana mnaonekana nyie ni wachovu... mwenye nguvu mwite Power...Ndio sisi watanzania Sasa! Tufanyeje?
Si ndio nikakwambia wewe ni Mkuu wa chuo cha machizi?
Siku watz Tulionyang'anywa na Nyie WAKRISTO tukija kuamua Cha kufanya Ntakubipu. We nipe Address unapoishi tu na nyumba namba.
Ntakuja mwenyewe na Shada la maua Kukuvisha.
Teh teh teh!
Naona leo mihogo mikavu Inakusumbua.
MSABATO KAIBA we bado Unajifanya Huelewi.
Kikubwa kadamnasi Imekusoma ya kuwa HUJAKEMEA hata kidogo tendo hili bali Unaruka ruka tu.
Siku Nikikuona Unashabikia Uzi wa Mtu wa Imani Ingine Aliyefanya Makosa km haya badi Urafiki unakufa Jumla.
Na wewe utaingia ktk Lile kundi la Telefunken au Ishmael.
Ni bakora tu kwenda mbele.
We cheka tu! Leo Amekwiba MSABATO we unakaa Pembeni!
Kesho akiiba MKATOLIKI Unaanza kupiga vigelegele.
I am watching you now!
Mkuki kwa Nguruwe kwa binaadamu mchungu.
Alafu wewe kahtaan usinifanye nikatoa maneno mengine hapa tuanze kupishana!!
Alafu wewe kahtaan usinifanye nikatoa maneno mengine hapa tuanze kupishana!!
Wakati nyie mnaibiwa mlikuwa wapi!? halafu ni wapi nilipowasifu wezi!? Halafu hizo hela unazodai mimi mwenyewe sijapata huo mgao...Sawa sisi watanzania Kuibiwa na Nyie WAKRISTO kwa Kusaidiwa na Benki ya Kanisa Mnatuona Sisi wajinga.
Iko siku Hao wezi wote mnaowasifu kuwa Mahodari Mkono wa sheria Utawatia mbaroni.
Na hapo ndipo mtakapo tambua nguvu ya Dola Ni kitu gani.
Siku hio ikifika mtaimba hizo kwaya zenu wakati mko nyuma Ya Zile Nondo za keko na Ukonga.
Hahahahahahah...Halafu ntuzu mi nataka Tupange siku mimi na wewe tupelekeshane mpaka tuone nani Mwenye hoja na nani mwenye Kuhorojeka.
Manake siku nyingi Hatujaingia Ulingoni.
Au we unasemaje! Manake naona Vitisho vyako vingi siku hizi.
Teh teh teh!
Bagesha Leo nimekubana pabaya mno.
Unajua kuwa ktk zile nyuzi za vibaka wa kikatoliki na Balaa zao Mimi huwa nakuwa upande wako na rafiki yangu wa karibu sana Bwana lusungo lkn leo Kibao Kimegeuka.
Na wewe japo ni Msukuma Mwenzangu Lkn Kwenye ukweli Ni Sichagui, nakupa kavu kavu tu.
Km nilidiriki kusema Yule Shehena mkuu wa BAKWATA ni Kibaraka Tu wa Ccm ambae kawekwa hapo kwa maslahi ya CCM basi Huyu MWIZI WA KISABATO sintomuonea Haya hata Kidogo.
Sura yake Mbovu ka tabia zake.
We km Umekereheka Kanywe Mapuya kidogo Utatulia tu.
Ukweli tatizo lake UNAUMA! ee baba!
USABATO ninaoufahamu mimi HAKUNA wizi Lkn Kumbe WAMO!
Na Waliomo WANAIBIA wananchi Maskini kabisa.
Kumbe afadhali GWAJIMA!
yeye anaibia Watoa Sadaka Halafu anatafuna wale wanaolegea legea.
Huyu MSABATO KAIBA Pesa Zenye Kuweza kulisha Mkoa wote WA MWANZA na Shinyanga Kwa MWAKA mzima WALI NA KUKU kwa Juice ya MAEMBE.
HAIFAI namna hii.
Huyu sisi wasukuma Tuna MTULIJJA KABISAAAA!
Halafu ntuzu mi nataka Tupange siku mimi na wewe tupelekeshane mpaka tuone nani Mwenye hoja na nani mwenye Kuhorojeka.
Manake siku nyingi Hatujaingia Ulingoni.
Au we unasemaje! Manake naona Vitisho vyako vingi siku hizi.
Hahahahahahah...
Maneno meeengi lkn bado unazunguka palepale tu.
Labda nikupeleke taratibu.
Je!Huyu mwizi wa mali ya ummah ni MSABATO au La!
Mwingine huyu hapa........
View attachment 205004
Naona umeamua kumkaba jamaa hachomoki mpaka akubali tehe tehe!!!!!!
Hana hoja jamaa yako na hoja zake za udini kwa kila kitu!