Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Hapana mimi naona kama namuelewa ila kuna kitu kidogo sana kila mtu kashikilia,kwamba nikikubali nitaonekanaje hii ni kwa pande zote mbili ila mambo mengi mnakubaliana
Kipi hicho hebu niambie na Mimi nikifahamu? Alafu ufatilie hoja zake zote ata alizokua anawajibu wengine uone ni nini anasimamia? Yeye anataka kuniingiza kwenye ngoma ambayo Siku zote Mimi naipinga na Yeye anaishabikia....! Sasa iweje leo aje aniombe niipinge hiyo ngoma Wakati nilipokua nikiipinga Yeye alikua anaicheza?