Mwizi no 1 wa ESCROW huyu hapa

Mwizi no 1 wa ESCROW huyu hapa

hivi amejioaka nn usoni?
Aliwhi kuugua ukoma wa ngozi ya uso. Mpaka sasa anatumia dozi na ndiyo inayomfanya wakati mwingine akiwa bungeni asinzie. Hiyo ni kwa mujibu wa maelezo yake aliyoyatoa miaka kadhaa kuhusu kusinzia bungeni...
 
Ingekuwa sensitive isingetolewa kunyonyesha mtoto ndani ya daladala, ushawahi kuona mwanaume anapewa chakula yake ndani ya daladala?

Hahahahaa mkuu ukishasema chakula ya mwanaume umehusisha faragha sasa kwenye daladala sio faragha
 
Hahahahaa mkuu ukishasema chakula ya mwanaume umehusisha faragha sasa kwenye daladala sio faragha
Mkuu wamama wanaojielewa wenye ufahamu nini madhara ya kuweka nje chakula ya mtoto humnyonyesha mtoto faragha, hata kama yuko kwenye daladala basi mtoto na titi watafanya yao wakiwa ndani ya mtandio,kitenge au kanga.

Kumbe kila kitu kinastahili faragha, kikubwa chakula ya baba ndiyo inaheshima kubwa kwani hata Mungu alikataza kunyimana bali kunyonyesha hakuna sheria katika kitabu kitukufu.
 
Eee Mungu Baba piga hawa watu tumbo la uharisha miaka sita mfululizo
 
We hata ukikataa Mi ntakuuliza tu.
Hakuna aliyesema Waislamu WOTE wasafi. Hilo umesema wewe!

Hapa Tunamdadavua MSABATO km Wewe mkuu. Kwanini hutaki hata KUKEMEA alichokifanya huyu NDUGU YAKO?
Hayo ya Waziri wa fedha yamefikaje hapa?
Nataka kuskia Kauli YAKO kuhusu HUYU MSABATO ambae huwa Mnajiita WAKWELI.
Mbona leo Mkuu UKWELI umeukalia?

Kemea Hapa Usilete kona.

Teh teh teh teh!
Wanaijiita Waislamu wakifanya Balaa Mimi nakemea Wazi.
We unarusha Mpira?

Dahhh!

Sasa hoja yako ilikua nini hasa baada ya Wasabato na wa RC kuwaweka chungu kimoja? Hapo Maana Yake ulitaka kutuambia Kua waislamu wasafi kwasababu hakuna alietajawa...!

Wakati ule napenda mijadala ya siasa Nilikua napiga kelele sn Kua CCM Yote haifai kwa mambo Yake mengi yasio mazuri.... Lkn sio nyinyi na wenzako ndo mlikua mnashabakia CCM na siasa zake chafu za Udini
Na ukabila na kuwagawa watu sasa iweje Leo unitake nikemee haya? Nyie endeleeni kucheza ngoma ambayo mlikua mnaishabikia.

Sasa km waislamu wote sio wasafi Huoni km Hiyo kauli yako ni Jibu tosha kwa kile unachokomalia kwa huyo unaedai msabato?
 
Kuna dini inayoruhusu wizi!? Wizi ni tabia ya mtu...

Na hio yako inayosema "aliyenacho ATAONGEZEWA na Asienacho ATANYANG'ANYWA.

Haya chakachua hapo tuene je KUNYANG'ANYA kwa KIKRISTO ni KUIMBA KWAYA?
 
Na hio yako inayosema "aliyenacho ATAONGEZEWA na Asienacho ATANYANG'ANYWA.

Haya chakachua hapo tuene je KUNYANG'ANYA kwa KIKRISTO ni KUIMBA KWAYA?

kwani imeandikwa aliyenacho atajiongezea!? asiyenacho utamnyanganya kitu gani!? wakati hana...
 
Najiuliza sana jamani, Hivi haya yanayotokea hapa kwetu yanatokea hata nchi zingine? Mbona nchi hii inakuwa kama nchi ya kusadikika? Nagikiri hivi karibuni tutaingia kwenye rekodi ya nchi yenye maajabu ya kiutawala na utendaji duniani. Watu wachache wanapiga mihela mingiiii halafu hakuna hatua zozote zinazoweza kuchukuliwa dhidi yao. Ee Mungu tufungue macho sisi watanzania tuyaone haya.
Tanzania ni shamba la bibi
 
Sasa hoja yako ilikua nini hasa baada ya Wasabato na wa RC kuwaweka chungu kimoja? Hapo Maana Yake ulitaka kutuambia Kua waislamu wasafi kwasababu hakuna alietajawa...!

Wakati ule napenda mijadala ya siasa Nilikua napiga kelele sn Kua CCM Yote haifai kwa mambo Yake mengi yasio mazuri.... Lkn sio nyinyi na wenzako ndo mlikua mnashabakia CCM na siasa zake chafu za Udini
Na ukabila na kuwagawa watu sasa iweje Leo unitake nikemee haya? Nyie endeleeni kucheza ngoma ambayo mlikua mnaishabikia.

Sasa km waislamu wote sio wasafi Huoni km Hiyo kauli yako ni Jibu tosha kwa kile unachokomalia kwa huyo unaedai msabato?

Maneno meeengi lkn bado unazunguka palepale tu.

Labda nikupeleke taratibu.

Je!Huyu mwizi wa mali ya ummah ni MSABATO au La!
 
na huyo anayenyanganywa inabidi afanyaje!?

Ndio sisi watanzania Sasa! Tufanyeje?
Si ndio nikakwambia wewe ni Mkuu wa chuo cha machizi?

Siku watz Tulionyang'anywa na Nyie WAKRISTO tukija kuamua Cha kufanya Ntakubipu. We nipe Address unapoishi tu na nyumba namba.
Ntakuja mwenyewe na Shada la maua Kukuvisha.
 
Last edited by a moderator:
Maneno meeengi lkn bado unazunguka palepale tu.

Labda nikupeleke taratibu.

Je!Huyu mwizi wa mali ya ummah ni MSABATO au La!

Huna hoja wewe ktk hili! Sema tu ni nini umekusudia ktk huo usabato wa huyo jamaa!
 
Huna hoja wewe ktk hili! Sema tu ni nini umekusudia ktk huo usabato wa huyo jamaa!

Teh teh teh!

Naona leo mihogo mikavu Inakusumbua.
MSABATO KAIBA we bado Unajifanya Huelewi.
Kikubwa kadamnasi Imekusoma ya kuwa HUJAKEMEA hata kidogo tendo hili bali Unaruka ruka tu.

Siku Nikikuona Unashabikia Uzi wa Mtu wa Imani Ingine Aliyefanya Makosa km haya badi Urafiki unakufa Jumla.
Na wewe utaingia ktk Lile kundi la Telefunken au Ishmael.
Ni bakora tu kwenda mbele.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom