Mwizi no 1 wa ESCROW huyu hapa

Mwizi no 1 wa ESCROW huyu hapa

Mjadala unaelekea kuhama toka Escrow hadi kwenye dini
 
Msome huyo Amavubi ameandika nini hapo.
We si msabato? Una nini ktk Kuchangia hapa?
Au kwa sababu jamaa wamekugusa?
Funguka kidogo

Nifunguke kuhusu nini? Hebu Nisaidie. Na ktk hili hakuna kilichonigusa.
 
Last edited by a moderator:
Nifunguke kuhusu nini? Hebu Nisaidie. Na ktk hili hakuna kilichonigusa.

Kwa kauli yako hapo juu una maana HUYU MSABATO anaetuhumiwa kuiba pesa za wananchi we hata Hujali sio?
Asante sana Mwana wane. Naendelea kusoma tabia zenu.
Basi mi nikadhani Wasabato wapenda ukweli. Kumbe kazi yenu kuwadadavua wAlokole tu! Issue ikiwa ya wasabato wenzenu Aaaaaa! Haikigusi.
Wabheja sana.
Bagesha Nakumanya Mudogo mudogo
 
Wewe rafiki yangu unafurahisha sn. Lkn hicho unacholazimisha Mimi kukijadili Hapa siwezi. Haya mambo ya siasa nimeshawaachia nyie muwe mnayajadili muwezavyo...!

Lkn ktk maswala km haya ya ufisadi hakuna cha Waislamu Au Wakristo.... Wote mafisadi tu...! Kiongozi Mkuu wa nchi hii ni dini gani? Makamu wake Na yeye? Jaji Mkuu waliokwenda Marekani? Unataka kuniambia vidagaa km kina Huyo unaedai ni msabato walijichotea pesa bila hawa wakulu wa juu kufahamu?
 
Najiuliza sana jamani, Hivi haya yanayotokea hapa kwetu yanatokea hata nchi zingine? Mbona nchi hii inakuwa kama nchi ya kusadikika? Nagikiri hivi karibuni tutaingia kwenye rekodi ya nchi yenye maajabu ya kiutawala na utendaji duniani. Watu wachache wanapiga mihela mingiiii halafu hakuna hatua zozote zinazoweza kuchukuliwa dhidi yao. Ee Mungu tufungue macho sisi watanzania tuyaone haya.

Aaah! We unashangaa hapa TZ?
Kuna nchi Duniani wakubwa wakaacha kupiga pesa za Nchi?

We hujiulizi kwanini kila nchi wakati wa Uchaguzi watu hutumia pesa zao za Mfukoni kwa mamilioni kwa ajilo ya Kampeni?
We unadhani Kina obama kutumia zaidi ya 300 Milion us $$ kufanya kampeni Wanakwenda Ikulu (white house) kupika mbege?

Madaraka kwa ulimwengu wa sasa ni km Duka la Jumla kubwa sana inategemea na Cheo chako.
Yaani inakwenda km hivi.

Katibu kata ni km meza ya karanga.
Mjumbe ni kama Toroli la ice cream za AZAM.
Katibu Mtendaji pamoja na Wenyeviti wa mitaa ni kama Vioski vilivyoko Mitaani.
Wenyeviti wa wilaya ni km vioski vilivyoko Town Center.
Wabunge wa mikoa maskini ni km Maduka Ya rejareja ya mitaani.
.wabunge wa mikoa tajiri ni km maduka ya jumla.
Mawaziri ni km Viwanda.
Na Rais ndio Yuko Jikoni kabisa Zinakotokea hizo Promi zote.

We piga kelele tu.
Wenzako wanakwiba mpaka Asubuhi.
Hapa Solution sio kuimba Kwaya.
Na kupiga yowe.
 
Wewe rafiki yangu unafurahisha sn. Lkn hicho unacholazimisha Mimi kukijadili Hapa siwezi. Haya mambo ya siasa nimeshawaachia nyie muwe mnayajadili muwezavyo...!

Lkn ktk maswala km haya ya ufisadi hakuna cha Waislamu Au Wakristo.... Wote mafisadi tu...! Kiongozi Mkuu wa nchi hii ni dini gani? Makamu wake Na yeye? Jaji Mkuu waliokwenda Marekani? Unataka kuniambia vidagaa km kina Huyo unaedai ni msabato walijichotea pesa bila hawa wakulu wa juu kufahamu?

Kwa hivyo unataka kusema AIBE JOSEPH alaumiwe JUMA sio?

Halafu unasema HuTaki siasa.

Rais na makamu wake wameingiaje hapo.?
Ndio udadavue sasa, sio Kurusha maneno tu halafu unawaacha wasomaji ktk vichwa vya habari.

Km Rais Kahusika Au Makamu wake au Jaji Mkuu Weka MAMBO HAPA Jukwaani Watu wakusome.

Ndioa maana hasa ya hili JUKWAA kuwepo HAPA.
Sio kurusha maneno ka Wale kina mama. Halafu ukitoa uso nje wanaingia ndani na kufunga milango.

Funguka sasa RAIS kaingiaje hapa?

Na Je Huyo MSABATO mwenzako Vipi? Unaweza kumfikishia Ujumbe Kuwa WATANZANIA tunataka MALI ZETU ALIZOIBA ARUDISHE.
Au USABATO WAKE ni UNAFIKI TU na Wote Wanaomtetea.
 
Unachotaka kulazimisha Mimi nijadili Hapa nimeshakwambia siwezi. Na Hiyo mijadala nimeshawaachia nyie kule ktk majukwaa ya siasa.

Lkn kile ulichotaka kumaanisha kwamba Waislamu ni wasafi sio kweli kamanda....! Waziri wa fedha ni dini gani? Pesa zinaweza kupigwa bila yeye kufahamu?

Ktk hili waislamu na wakristo Au sijui huyo unaedai msabato hawachomoki...! Nafikiri umenielewa..!
 
We hata ukikataa Mi ntakuuliza tu.
Hakuna aliyesema Waislamu WOTE wasafi. Hilo umesema wewe!

Hapa Tunamdadavua MSABATO km Wewe mkuu. Kwanini hutaki hata KUKEMEA alichokifanya huyu NDUGU YAKO?
Hayo ya Waziri wa fedha yamefikaje hapa?
Nataka kuskia Kauli YAKO kuhusu HUYU MSABATO ambae huwa Mnajiita WAKWELI.
Mbona leo Mkuu UKWELI umeukalia?

Kemea Hapa Usilete kona.

Teh teh teh teh!
Wanaijiita Waislamu wakifanya Balaa Mimi nakemea Wazi.
We unarusha Mpira?

Dahhh!
 
anajiita mlokole wa kisabato

Siku hizi ndio zao wanatumia makanisa na misikiti kuficha uchafu wao kwa kutoa sadaka kubwa hadi wachungaji wanaduwaa,wakati hata sura haionyeshi kumuogopa Mungu
 
Makinda yupo kwenye list kwa sababu anavyotetea wezi wa ccm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom