Mwitikio wa Serikali na Wengine juu ya Mengi kutaja mafisadi!

".......mbona vituo vingine kama DTV, chanel Ten nk vimerusha kile kilichojiri bila upendeleo"

*********************

M-Bongo:

Hivyo vituo vinamilikiwa na akina Tanil Somaya na Rostam, iwapo hauna habari. Kwa nini wasiwaalike wanahabari wao tu?
 
anko obama anaita hii ni 'distraction from real issues'. mnataka tuanze kujadili waandishi wameandikaje! the real issues ambazo zinatuathiri watz ni mafisadi, na wametajwa na mengi. mambo ya waandishi wa habari na uandishi mbaya sio issue.

The real distraction, which I am surprised you are not mentioning, not sure if it is deliberate or unintentional, is rebranding the war against ufisadi into the war against wahindi.

This is so obvious, so wrong, on so many levels that I am entertaining the thought that the plague of racism is cleverly camouflaged by the seductively colorful clothes of anti-corruption.
 
Leo JK, ktk hotuba yake ya Mei Mosi kwa wafanyakazi wa Tanzania kupitia kwa Dr Shein ametamka kuwa vita dhidi ya ufisadi ni lazima iendeshwe ki-maadili, bila kupakana matope.

Swali: Hivi wale waliofanya ufisadi ktk EPA, Radar, Deep Green walifanya hivyo kupitia maadili yepi? Walikuwa na nia njema kwa Watz? Huyu jamaa vipi?

Lakini nilifurahishwa na hotuba ya TUCTA, ambayo bila kigugumizi, iliwaponda wote wale wanaowatetea mafisadi kwa njia moja au nyingine, kwani wao ndiyo wanawafanya wafanyakazi wa nchi hii kuwa na kipato duni. Hongera TUCTA!!!!!
 
Where are leaders like Edward Sokoine during times like this? I guess they are there kama wakina Dr. Slaa but we need a man like that who is within the government. Which leader within the government is going to stand up & say enough is enough. Nadhani neno "uzalendo" halipo kwenye vocabulary zetu tena.

Sokoine was not a leader, he was an overrated tyrant, a populist apparatchik.

He would not survive in today's competitive free market accountable arena.
 
nimesikia na mzee wa upako nae amingia kwenye game, on Mengi's defence?
 
Sasa kwa kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameshatoa msimamo rasmi wa serikali na kusema kuwa Mengi ana haki ya kikatiba ya kujieleza, huyu Sofia Simba ana uchaguzi wa kufanya moja kati ya mawili haya.

1.Kukubali kwamba alikosea, kumuomba radhi Mengi, na kuchukua msimamo rasmi wa serikali yake.
2.Kukataa msimamo wa serikali yake uliotolewa na PM na kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri ili kuendana na misingi ya "collective responsibility"

Zaidi ya hapo atakuwa anathibitisha kwamba serikali ya Tanzania haina muelekeo na kila kiongozi anajisemea anachojua yeye mwenyewe bila kufuata miongozo ya serikali.
 
Mengi amefikisha ujumbe. Amefanya kile ambacho hata Viongozi wa nchi ameshindwa kukifanya, kuwataja mafisadi papa kwa majina. Hao wengine wanaosha vinywa tu. Inafahamika kwamba RA amegharamia wabunge wengi wa CCM kuingia bungeni..hivyo hao wote wako ndani ya himaya yake, wamezibwa midomo.

Viongozi wengi wa vyama vya upinzani, watu kama wakina Lipumba hawako kwenye upinzani kwa dhamira ya dhati ya kupigania maslahi ya watanzania ila kwa ajili ya kulisha familia zao na kupata ruzuku tu.

Waosha vinywa hawawezi kuzuiwa kufanya hivyo kwani wana uhuru wa kikatiba kufanya hivyo...lililo muhimu ni kuchambua mchele na pumba kuawaachia wao wahangaike nazo.
 
Wewe NIbo wacha ufezuli ,hivi unamjua Lipumba au unamsikia tu,eti wapo kwenye upinzani kwa kulisha familia zao,Lipumbwa analipwa dola ndugu kama huelewi kutokana na ile elimu aliyonayo ambayo inasemekana ni watu wachache sana hapa duniani wenye kuweza kufikia na kuwa na kipaji alicho nacho ,huu unaosema wewe si dharau bali ni uchafu ,Mengi nini Mengi nani Mengi anaishi kwa kuuza magazeti na kudanganya umma ,leo amepata ulua na kufadhiliwa na hao hao mafisadi wenzake ,leo amekuwa mtu kwa WaTz sababu anawakoromea wenzake kwa kutumia vyombo vya redio.

Mengi na hao wahindi na wengine ambao ameogopa kuwataja wote ni chungu kimoja,Mengi anatumia umasikini wa WaTanzania kuwadhalilisha kwa kuwagaia vijipesa na kutaka kuwatawala akili zao ,Mengi hana lolote zaidi ya kutaka kujionyesha msafi kwa kuwageukia wenziwe ,wote ni nzige ndani ya Tanzania , mengi amezidiwa kete ndio anageuka ili tumuone ni bora na mtetezi lakini ukweli amekoseshwa tonge ndio hasira zake,Mengi kawataja watu watano tena kutoka upande wa wenye asili ya kiasia ,hivi alishindwa nini kuwataja wenye asili ya Congo ,Mengi ametafuta ubaguzi kwa kugawa weusi na weupe .kwa ufupi anawalinda mafisadi weusi na kuwakandamiza weupe ,hili si la kuachiwa hata sekunde moja Mengi ni mbaguzi kwa kitendo hiki anatumia dau la mafisadi kutaka kuwagawa WaTanzania ambao ni watu kutoka mataifa mbalimbali,kama Mengi haelewi Tanganyika ilikuwa ni mbuga tu iliyotawaliwa na wanyama wakali na ukiitafuta historia ya wapi waTanganyika walitokea utafungua akili yako na kuondokana na tabia chafu ya ubaguzi tabia ambayo ilimuondoa Salim Ahmed mtu ambae alishika nyadhifa nyingi tena nyeti katika nchi hii ,ubaguzi ndio uliomhuzunisha na kumfadhaisha na kuwafanya waTz wote kuonekana hatuna maana ,Mengi ni adui wa Taifa hili ambae anataka kutumia rangi kutugawa na kututawala na vipesa vyake vya kuuzia magazeti sie walala hoi kwa nini asiwe kama mwenziwe muuza Icecream ambae ametulia ,Mengi baada ya kukusanya vipesa vya magazeti sasa anataka kufanya jeuri ,amewatenga watu weusi ili awavutie kwake na kuanza kuwanyanyasa na kuwatumia kutokana na umasikini wao,Mengi anataka kutumia vipesa vyake vya kuuza magazeti kuwarubuni wale aliowaacha kuwataja ili waweko upande wake ,kwa ufupi amezidi kuwagawa mafisadi ,yaani amewatenga mafisadi weupe na kuwalinda mafisadi weusi ,mengi mwoga amewataja hawa wahindi mavi kitambaani je angewataja na weusi si angekuwa ameshakamatwa na kuwekwa jela kwa kuvunja sheria ,Mengi amevunja sheria hilo halina mjadala mtajaribu kulikoroga na kulipamba lakini wahindi wameshaliona na wameshapata information za juu kabisa kuwa wakienda mahakamni basi Mengi hatoki ,endeleeni kumpa kichwa Mengi kama hakuuza makaratasi yake yote na fedha yake ikawa fedheha. Jamaa kadai shilingi tu,hivyo weka akili zenu vizuri sio mnamtomeza na yeye kujigamba na vyombo vyake vya redio shauri lake akiwasikiliza watu kama Nibo basi ajue hawamtakii mema ,hao wahindi haohao watamliza tu.
 
Hayo majibu ya ufasaha mbona huyaweki hapa tuyachambue kama ni kweli? Nadhani huo ni mtazamo wako. Sisi wengine hatujaona hiyo habari ni bora ukatuwekea ili tuone kama kweli yalijibiwa kwa ufasaha kama ww ulivyoona, kwa sasa acha kutulisha mtazamo wako.
Hata hivyo sina uhakika na uwezo wa hao walioitisha hiyo press conference, kwa kuwa hata Rostam mwenyewe hana hiyo courage kwa sasa, wao wameipata wapi? How far do they know this guy? Wana uhakika gani na biashara za Rostam na usafi wake? Anawashirikisha vipi katika biashara zake? Hii inatuachia majibu mengi kuliko maswali, CCM is part of the equation. CCM=ufisadi +.....
 
Sasa kwa kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameshatoa msimamo rasmi wa serikali na kusema kuwa Mengi ana haki ya kikatiba ya kujieleza, huyu Sofia Simba ana uchaguzi wa kufanya moja kati ya mawili haya.

1.Kukubali kwamba alikosea, kumuomba radhi Mengi, na kuchukua msimamo rasmi wa serikali yake.
2.Kukataa msimamo wa serikali yake uliotolewa na PM na kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri ili kuendana na misingi ya "collective responsibility"

Zaidi ya hapo atakuwa anathibitisha kwamba serikali ya Tanzania haina muelekeo na kila kiongozi anajisemea anachojua yeye mwenyewe bila kufuata miongozo ya serikali.

Nani wa kuona kwamba anawajibika kwa kauli zake? sofia? Mi nashangaa mtu kama huyu wa kauli za kitchen party anatafuta nini kwenye baraza la mawaziri! only in TZ
 
Wewe NIbo wacha ufezuli ,hivi unamjua Lipumba au unamsikia tu,eti wapo kwenye upinzani kwa kulisha familia zao,Lipumbwa analipwa dola ndugu kama huelewi kutokana na ile elimu aliyonayo ambayo inasemekana ni watu wachache sana hapa duniani wenye kuweza kufikia na kuwa na kipaji alicho nacho ,huu unaosema wewe si dharau bali ni uchafu ,Mengi nini Mengi nani Mengi anaishi kwa kuuza na yeye kujigamba na vyombo vyake vya redio shauri lake akiwasikiliza watu kama Nibo basi ajue hawamtakii mema ,hao wahindi haohao watamliza tu.

Du! Mwiba rudi shule ukasome ujifunze ili upanue uelewa wako. Eti Lipumba analipwa dola kwa elimu yake aliyonayo. Sasa hiyo ndo nini? Kwani mimi nikilipwa shilingi milioni 6 kwa mwezi na Lipumba akalipwa dola 2000 nani mwenye pesa zaidi? Hebu tutajie hiyo elimu gani aliyonayo Lipumba ambayo watu wachache sana duniani waliyonayo? Kumbuka hii JF ina wasomi ndugu yangu wenye uelewa mkubwa wa mambo.
Kwa maneno yako haya yaonekana wazi kabisa kwamba wewe ni mnufaika wa huu wizi wa mali zetu watanzania. Haya endelea maana ndo unatetea mkate wako hivyo at the expense of the poor Tanzanians.
 
Wewe NIbo wacha ufezuli ,hivi unamjua Lipumba au unamsikia tu,eti wapo kwenye upinzani kwa kulisha familia zao,Lipumbwa analipwa dola ndugu kama huelewi kutokana na ile elimu aliyonayo ambayo inasemekana ni watu wachache sana hapa duniani wenye kuweza kufikia na kuwa na kipaji alicho nacho ,huu unaosema wewe si dharau bali ni uchafu
.
hizo dola analipwa na nani wewe, eti elimu aliyokuwa nayo ni ya watu wachache kwa nini alichokifanya, rekodi yake ni hipi kuna ma prof kibao duniani na rekodi zao zipo, lipumba amna mtu yeyote anayejua rekodi yake zaaidi ya porojo ni "mmoja ya watu wachache"
Mengi nini Mengi nani Mengi anaishi kwa kuuza magazeti na kudanganya umma ,leo amepata ulua na kufadhiliwa na hao hao mafisadi wenzake ,leo amekuwa mtu kwa WaTz sababu anawakoromea wenzake kwa kutumia vyombo vya redio.
MENGI NI WARREN BUFFET WA TZ
ameweza kufanya biashara TZ na akafanikiwa
ndio mfanya biashara mkubwa mweusi TZ, ndio idol wa TZ weusi , ukikubali ukikataa ni hali halisi
anabiashara mbalimbali kuanzia "KULIKONI" mpaka "KILIMANJARO"


hata kabla hajaanza biashara alikuwa managing partner wa PCW tz, na huwezi ukawa managing partner kama wewe sio accountant mzuri

weka lipumba rekodi, prof porojo
 
Leo JK, ktk hotuba yake ya Mei Mosi kwa wafanyakazi wa Tanzania kupitia kwa Dr Shein ametamka kuwa vita dhidi ya ufisadi ni lazima iendeshwe ki-maadili, bila kupakana matope.
Swali: Hivi wale waliofanya ufisadi ktk EPA, Radar, Deep Green walifanya hivyo kupitia maadili yepi? Walikuwa na nia njema kwa Watz? Huyu jamaa vipi?

Lakini nilifurahishwa na hotuba ya TUCTA, ambayo bila kigugumizi, iliwaponda wote wale wanaowatetea mafisadi kwa njia moja au nyingine, kwani wao ndiyo wanawafanya wafanyakazi wa nchi hii kuwa na kipato duni. Hongera TUCTA!!!!!

Kwa maneno mengine Kikwete anachosema Vita dhidi ya mafisadi lazima iendeshwe KISANII bila kufanya lolote lile dhidi ya mafisadi ili waendelee kupeta. Ni lipi kubwa alilolifanya Kikwete katika vita hii dhidi ya mafisadi zaidi ya USANII!? Mafisadi wanatufisadi Watanzania kwa karibu trillioni moja halafu tusiwapake matope!!!!? Duh! huyu jamaa ni msanii wa kutupa!!!
EPA 133 billioni
Meremeta 155 billioni
Rada 40 billioni
Richmond/Dowand 200 Billioni
Nyumba za serikali 200 billioni
Twin Towers zaidi ya 200 billioni

Mapesa yote haya karibu Shilingi Trillioni 1 yaliyofisadiwa na mafisadi halafu tusiwapake matope!!!!
 
Nimekuwa nikifuatilia habari mbali mbali toka Mengi atoe tamko la "mafisadi papa". Nilicho gundua ni kwamba tokea atoe tamko hilo watu na hata makundi mbali mbali kila leo yanaitisha mikutano na vyombo vya habari. Wengi wao huongea pumba tupu na kuonekana ni kutaka tu umaarufu.

EVERYBODY IS SEEKING THEIR 15 MINUTES OF FAME!!!!!!

jE WOTE HAO WANA NIA NJEMA AU KITU CHA MAANA CHA KUSEMA? AU NI KUTAKA TU KUONEKANA NA KUSIKIKA?

Maana sawa ni vyema tamko la Mengi lime hamasisha watu kuongea iwe wana kubaliana na Mengi au la. Lakini. unakuta kuna watu wana jitokeza wanaongelea yale yale yaliyosha semwa na wengine au wana jitokeza na kuongea pumba tupu.

nimeona thread kuhusu wazee wa Yanga kumtetea Manji. Sawa kila mtu ana haki na mawazo yake lakini je ilikua na ulazima wao kutoka kwenye vyombo vya habari na kuongea?

Mara una sikia vikundi mbali mbali vya CCM. Leo sijui umoja wa vijana wa wapi kesho sijui kiongozi wa kundi gani. Jamani kuna ulazima wote mtokee muongee? Si muunde kauli moja kama chama badala ya kila mmoja kuji tokeza?

Katika hali yote hii nimeona kuna kupendelea kwenye tamko la watu wengi. Kuna BIAS kubwa sana. Leo wazee wa Yanga wanao fadhiliwa na Manji watokee kumtetea Mengi tena kwa kujiamini ina maanisha nini? Au kufanyika survey na kituo kinacho milikiwa na IPP na kuonyesha kwenye tv yao watu wote wakimsupport Mengi. Yote haya yana changia kupungu a kwa credibility.

NI WAKATI MUAFAKA WA KUSIKIA WATU AMBAO HAWA TETEI MASILIHI YAO WALA UPANDE WOWOTE ULE. MAANA WENGI TUNAO WASIKIA NI WATU WANAO JULIKANA MOJA KWA MOJA KUWA WATA TETEA UPANDE FULANI.

Jamani waTAnzania tuache kutafuta umaarufu wa kipuuzi. Tuache ushabiki tu. Haswa hawa wanaoji tokeza kwenye vyombo vya habari ongeeni kwa kutumia akili maana ukishaenda wazi kwenye umma unaweza kunakiriwa na unacho ongea wewe kika tumika dhidi yako baadae.

TUACHE UPAMBE NA KUJI PENDEKEZA. KAMA UTATETEA UPANDE MMOJA AU KUPONDA UPANDE MWINGINE FANYA HIVYO KWA KUTUMIA FACTS. KAMA UNA TOA PERSONAL OPINION BASI ISIWE YA KUPENDELEA(BIAS) AU ANGALAU IWE NA MISINGI

Tatizo ni kwamba kwenye matatizo kama haya ya kinchi kuna makundi mawili:

1.Wenye nia ya kweli na nchi(wachache sana)

2.Wanao tetea maslahi yao kwa kujidai wana tetea maslahi ya nchi(wengi sana)

Haya maoni yangu tu wana JF sijui nyie maoni yenu nini.


Are you DOING THE SAME????? By the way Kila mtu ana haki ya KUONGEA hata huyo Mengi alichokiongea au wahindi aliowataja hakuna jipya.

Ningefurahi kuonga upepo wa mafisadi unageuka tuwaongelee na nyie wafanya kazi MNAOTUSALITI kwani nyie ndio mnashiriki moja kwa moja kusogeza hayo mafile ya UFISADI. SHAME ON YOU NA mEI MOSI YENU.
 
Ok, tuchukulie NIPASHE wamechemsha kama unavyotaka, ni sawa ni kosa dogo la kiuandishi na labda kiuhariri. Sasa, back to square one, hawa mafisadi ni watu wazuri? Kwanza mimi naweza nikaenda mbali zaidi kwa kurejea hoja za Mtikila za MAGABACHOLI.

Hebu niambieni, hawa wahindi wanajenga wapi jamani? zaidi ya viwanda-uchwara vya kuchumia nguvu na rasilimali zetu, ni maendelezo gani ya nchi hii wanayafanya kama si kutorosha hela tu? wote ni PAPA tu bana!
 
Are you DOING THE SAME????? By the way Kila mtu ana haki ya KUONGEA hata huyo Mengi alichokiongea au wahindi aliowataja hakuna jipya.

Ningefurahi kuonga upepo wa mafisadi unageuka tuwaongelee na nyie wafanya kazi MNAOTUSALITI kwani nyie ndio mnashiriki moja kwa moja kusogeza hayo mafile ya UFISADI. SHAME ON YOU NA mEI MOSI YENU.

1. I'm a university student siyo mfanya kazi so know a person before you talk au utaumbuka tu.

2. I'm not saying people shouldn't talk. I'm talking about the interests gruops which are battling out in the media for air time

3. ninge taka umaarufu ningetumia jina langu na kuonyesha picha yangu. Labda unieleze hapa napataje umaarufu?

4. On the other hand you are right, kila mtu ana haki ya kusema. Thats why na wewe umesema ulicho kisema. If I didn't want people to talk i wouldn't have posted the thread on a public forum.

Una lingine mkuu?
 
Waweza liita ni kosa dogo la ki-uandishi lakini madhara yake ni makubwa mno kwa jamii. Independent yeyote atapata taabu kuhitimisha kuwa ni kosa kwani mhusika mkuu wa kadhia hii ni "Mwenyekiti mtendaji wa IPP" na gazeti linamilikiwa na moja ya makampuni yake.....
 
Zak Malang said:
Leo JK, ktk hotuba yake ya Mei Mosi kwa wafanyakazi wa Tanzania kupitia kwa Dr Shein ametamka kuwa vita dhidi ya ufisadi ni lazima iendeshwe ki-maadili, bila kupakana matope.
Swali: Hivi wale waliofanya ufisadi ktk EPA, Radar, Deep Green walifanya hivyo kupitia maadili yepi? Walikuwa na nia njema kwa Watz? Huyu jamaa vipi?

Lakini nilifurahishwa na hotuba ya TUCTA, ambayo bila kigugumizi, iliwaponda wote wale wanaowatetea mafisadi kwa njia moja au nyingine, kwani wao ndiyo wanawafanya wafanyakazi wa nchi hii kuwa na kipato duni. Hongera

Kwa maneno mengine Kikwete anachosema Vita dhidi ya mafisadi lazima iendeshwe KISANII bila kufanya lolote lile dhidi ya mafisadi ili waendelee kupeta. Ni lipi kubwa alilolifanya Kikwete katika vita hii dhidi ya mafisadi zaidi ya USANII!? Mafisadi wanatufisadi Watanzania kwa karibu trillioni moja halafu tusiwapake matope!!!!? Duh! huyu jamaa ni msanii wa kutupa!!!
EPA 133 billioni
Meremeta 155 billioni
Rada 40 billioni
Richmond/Dowand 200 Billioni
Nyumba za serikali 200 billioni
Twin Towers zaidi ya 200 billioni

Mapesa yote haya karibu Shilingi Trillioni 1 yaliyofisadiwa na mafisadi halafu tusiwapake matope!!!!

Kwani nyinyi mlitegemea Jipya kutoka kwa JK, Tusubiri UFISADI mwingine kwenye maafa ya Mbagala, zitajengwa Nyumba hewa nyingi sana!!!
 
Back
Top Bottom